Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtafute shemeji yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nikinywa nakua na upendooo. Hata yule mtu ambae simtaki namtafuta namwambia asinichukie kwa kumkataa
Nalifahamu hilo lakini kwa beer hizo umechangamka changamka wakunyumbaMscheeeww. Mi kuelewa sio rahisi sana wakunyumba na unajua
Tulianza kupishana humu ndanii kama mabasi ya kwenda mikoani heheheehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana my dear usijal tupo pamoja kuna siku ulipost kitu ukasema hutaki mazoea na baadhi ya wadada wa humu kabisa wala hutaki wakutag popote nikaamua kujikalia pembeni nisije nikakutag ukaja na povu halafu na mm kuvumilia siwezi kabisa yaani Mungu atupe mwisho ulio mwema maisha ni mafupi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] matusi ulinitukana juzi mfyuuuuuuu kesho huwezi nitukana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ntakutukana kesho
Nilikuwa nimelewa nna savanah kama saba kichwani na vishots kadhaa unadhani mchezooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ndo maana nilikua nakujibu kawaida tu maana nilijua kichwa chako kimepata moto. Tumeshasameheana yamepita mama.
Kuna mdada jirani ya mimi hapa, namuona anakunywa Heineken alafu yupo bize sana na sim... tehteehhhMzigua ndugu yangu ushapata heineken nini, maana umeongea maneno ya busara.[emoji23] [emoji23]
Kweli kabisa mkuu,Ujumbe mzuri shem. Asante
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti shunie hewa nimecheka sana ile post ndugu mana na mm nilikuwepo na mm nikatoa ushauri zile vitu zisipostiwe sawa sawa nadhalilishwa mm khaaa bada ya mda ukaja na gazeti kuhusu wadada nikasema mweeh acha nijikalie pembeni mm mwenyewe najijua usije ukawa unamchekea mtu anakuchunia ya nini yote Mungu ni mwema sana mpaka leo tupo hapa tupendane tu jamaniTulianza kupishana humu ndanii kama mabasi ya kwenda mikoani heheheehe
Usijali kabisa wala sikuwa na shida na wewe kabisa najua kila nikiangalia notification naona shunie hewaa sio kama zamanii hata jukwaa la wakubwa siitwi tenaa
Ni vyema wagombanao ndo wapatano hata hivyo
Ndio mimi hapa, yule mkaka ninae fanya kazi pale counter.....Nenda na Pub Alberto kamsalimie yule mkaka wa counter
Comrade huyo uliyenaye hapo ndio mzigua nenda kamshike begaKuna mdada jirani ya mimi hapa, namuona anakunywa Heineken alafu yupo bize sana na sim... tehteehhh
Ameeeeen shetani kashindwaaaaa analiaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti shunie nimecheka sana ile post ndugu mana na mm nilikuwepo na mm nikatoa ushauri zile vitu zisipostiwe sawa sawa nadhalilishwa mm khaaa bada ya mda ukaja na gazeti kuhusu wadada nikasema mweeh acha nijikalie pembeni mm mwenyewe najijua usije ukawa unamchekea mtu anakuchunia ya nini yote Mungu ni mwema sana mpaka leo tupo hapa tupendane tu jamani
Umesahau mnamshare na L [emoji23][emoji23]Tusameheanee maisha mafupi jamanii,,siku hizi hata Shunie haniiti kwenye ubuyuuuu au kule jukwaa letu pendwa tunapishana kama mabasi
Halaf wote simba naomba tumpinge mtani wetu mzigua aka tea mitulinga