Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
- Thread starter
- #141
Hahahahaaa. Ndugu yangu uliogopa maana huyu dada alikua ajitia motoooTulianza kupishana humu ndanii kama mabasi ya kwenda mikoani heheheehe
Usijali kabisa wala sikuwa na shida na wewe kabisa najua kila nikiangalia notification naona shunie hewaa sio kama zamanii hata jukwaa la wakubwa siitwi tenaa
Ni vyema wagombanao ndo wapatano hata hivyo