Ujumbe Wangu wa Jumapili Kwenu

Ujumbe Wangu wa Jumapili Kwenu

Tulianza kupishana humu ndanii kama mabasi ya kwenda mikoani heheheehe
Usijali kabisa wala sikuwa na shida na wewe kabisa najua kila nikiangalia notification naona shunie hewaa sio kama zamanii hata jukwaa la wakubwa siitwi tenaa
Ni vyema wagombanao ndo wapatano hata hivyo
Hahahahaaa. Ndugu yangu uliogopa maana huyu dada alikua ajitia motooo
 
Comrade huyo uliyenaye hapo ndio mzigua nenda kamshike bega
Mi nimeenda lini Moshi we nyau. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Moshi nikiingia leo kesho naambiwa niondoke
 
Back
Top Bottom