Watu hawajui tu ila kati ya vitu naepuka na sipendi ni ugomvi kwa sababu siwezi kubeba hasira kifuani. Ndo maana nikiona mtu anataka tugombane namkwepa tu. Najifanya mjinga ili yaishe. Kuna maisha baada ya JFKuna ugomvi uliibuka hapa jamvini, mmoja wa wagimbanao akataka kukuingiza Na wewe kwenye ugomvi huo, Mungu ni mwema ulitumia hekima sana kujiepusha
Unauliza embe kibada tena.. Tayar huyo!?[emoji23] [emoji23]Wakunyumba umelewa?
Aiseee nikilewa nane itokee nifikie hizo nakuwa shunie mwingine kabisa shunie ambaye najiamini na siogopi chochote maka akee acha tuKama nakuona vile uliwa umejitwanga heineken zako 8.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Makavel una maneno huwa sikuwezii aisee na kweli anakunywaa kabisa bora anywe tu sasa tuhakikishe kregi za bia zimejaaBora asije.. Alipo namuongezea na nyingine 5, ili azidi kumwaga nondo, pombe zikimuisha anakuwa kichwa empty , hakuna tena madini na maneno ya busara set[emoji23] [emoji23]
Hivi ni hizo beer mbili ninazokunywa wakunyumba nitakuwa nimelewa kweli mbona niko ya pili tu jamaniWakunyumba umelewa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora asije.. Alipo namuongezea na nyingine 5, ili azidi kumwaga nondo, pombe zikimuisha anakuwa kichwa empty , hakuna tena madini na maneno ya busara set[emoji23] [emoji23]
Wacha wee, itabidi nikuagizie hizo 8, nimuone huyo shuni asiye muoga na mwenye kujiamini.. Maana nimekachoka haka kashunie akee kaoga na kasikojiamini[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aiseee nikilewa nane itokee nifikie hizo nakuwa shunie mwingine kabisa shunie ambaye najiamini na siogopi chochote maka akee acha tu
Tusameheanee maisha mafupi jamanii,,siku hizi hata Shunie haniiti kwenye ubuyuuuu au kule jukwaa letu pendwa tunapishana kama mabasiWakunyumba asante sana kwa ujumbe sasa naomba uanze kupatana na mm kwa nini upo hivyo lakini kosa langu ni nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maka ebu niache mieWacha wee, itabidi nikuagizie hizo 8, nimuone huyo shuni asiye muoga na mwenye kujiamini.. Maana nimekachoka haka kashunie akee kaoga na kasikojiamini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bujibuji una macho sana weweKuna ugomvi uliibuka hapa jamvini, mmoja wa wagimbanao akataka kukuingiza Na wewe kwenye ugomvi huo, Mungu ni mwema ulitumia hekima sana kujiepusha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ndo maana nilikua nakujibu kawaida tu maana nilijua kichwa chako kimepata moto. Tumeshasameheana yamepita mama.Kama siku ile nimekuandikia pm nilikuwa motoooooo nime elewa balaaa halaf najibu comment [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha tu
Tusameheane tunaoweza kusameheana
Ni kweli ukilewa unaongea maneno ya busara?Unanijua sana ujue [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana my dear usijal tupo pamoja kuna siku ulipost kitu ukasema hutaki mazoea na baadhi ya wadada wa humu kabisa wala hutaki wakutag popote nikaamua kujikalia pembeni nisije nikakutag ukaja na povu halafu na mm kuvumilia siwezi kabisa yaani Mungu atupe mwisho ulio mwema maisha ni mafupi sanaTusameheanee maisha mafupi jamanii,,siku hizi hata Shunie haniiti kwenye ubuyuuuu au kule jukwaa letu pendwa tunapishana kama mabasi
Halaf wote simba naomba tumpinge mtani wetu mzigua aka tea mitulinga
Hapo amelewa sio yeyeNi kweli ukilewa unaongea maneno ya busara?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nikinywa nakua na upendooo. Hata yule mtu ambae simtaki namtafuta namwambia asinichukie kwa kumkataaAkinywa ndio anaongea maneno ya busara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]