UK: Mbunge adaiwa kuangalia ngono akiwa Bungeni

UK: Mbunge adaiwa kuangalia ngono akiwa Bungeni

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011

Mbunge aliyekaa nae jirani aliona mbunge mwenzake akiangalia website ya ngono katikati ya kikao cha bunge huko Uingereza.

Ofisi ya Kambi ya Upinzani imesema swala hili litachunguzwa na kamati huru ya uchunguzi.

Kiongozi wa Kambi ya upinzani ndiye mwenye jukumu la kuhakikisha uchunguzi katika swala hili unafanyika.
 
Acha achekintu Hakuna nmna hata mm leo nimezama Twitter kucheka update mpya na mibinuko ya kungonoka naweka link hapa mkimnoe huko
 
akili za wazungu wengi especially western ni irrational when we come to sex.....
ingekuwa N. korea, au china au Russia au India sidhan kama huwa wanaweza kuwa na tabia hizi mbele ya bunge tena vikao vinaendelea ....
na inasadikika ALIYEKUWA jirani ni mbunge mwanamke tena mrembo sijui intentions yake ilikuwa nn
 
Akili zako zinakutosha mwenyewe. Soma uelewe. Umeambiwa ni Uingereza, sasa JMT na CCM inaingiaje?
... hiyo habari kuanzia heading hadi contents imefanyiwa editing several times. Maneno UK na Uingereza hayakuwepo kwenye release ya awali. Pamoja na ujinga wangu sijafikia kiwango cha ujinga cha kutokuelewa endapo habari ingekuwa clear to that extent.
 
Back
Top Bottom