Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwacheni, mbona hata Mwigulu alikywa anatazama koneksheni akiwa bungeni na tena ni waziri![]()
Tory MP ‘caught watching porn in House of Commons’
Colleague says behaviour ‘unacceptable in any workplace’www.independent.co.uk
Mbunge aliyekaa nae jirani aliona mbunge mwenzake akiangalia website ya ngono katikati ya kikao cha bunge huko Uingereza.
Ofisi ya Kambi ya Upinzani imesema swala hili litachunguzwa na kamati huru ya uchunguzi.
Kiongozi wa Kambi ya upinzani ndiye mwenye jukumu la kuhakikisha uchunguzi katika swala hili unafanyika.
Ha ha ha dogo acha kunichekesha 😂😂😂... ni mbunge wa wapi huyo? JMT au? Chama gani? CCM au?
Nipe link hiyo fastaaaaa!.Acha achekintu Hakuna nmna hata mm leo nimezama Twitter kucheka update mpya na mibinuko ya kungonoka naweka link hapa mkimnoe huko
Ha ha haaaa ! Mimi nikajua ni mudi wa stend kuu kumbe moderators wa JF?Ndiomaana minawalaumu hawa mudi, wangekua wamerudisha lile jukwaa pengine haya yasinge tokea...😎
Sisi weusie ndo civilized wanapaswa wajifunze kwetu.Na bado tunaambiwa eti wazungu Ni watu civilised na tujifunze kutoka kwao.
Nakubali bro kwa 100%.Sisi weusie ndo civilized wanapaswa wajifunze kwetu.
Huo uraibu aliuanza kitambo ila kilichomkuta ni 'ajali kazini' au '40 ya mwizi 'Raia wanataka afukuzwe bungeni kabisa.
Waache mbunge afaidi mambo yake, afu huyo mbunge mwingne aache umbea wake lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Raia wanataka afukuzwe bungeni kabisa.
kapoteza sifa za kuwa Mbunge aachie ngazi tu.Pressure inapanda mbunge muangalia ngono bungeni kuondolewa bungeni na kufikia wa kuvuliwa uwanachama wa chama chake.
Wabejing wanasema mtu tulietegemea kutunga sheria za kuwalinda wanawake wanaonyanyasika kingono yuko bungeni anaangalia ngono.
Sawa kivipi wakati kakaliwa kooni ateme mzigo?Kama angekuwa Mbunge Mweusi wa Afrika watu wangeongea ujinga kibao,Sema sababu ni Mweupe sawa tu.