UK: Mbunge adaiwa kuangalia ngono akiwa Bungeni

Mwacheni, mbona hata Mwigulu alikywa anatazama koneksheni akiwa bungeni na tena ni waziri
 
Pressure inapanda mbunge muangalia ngono bungeni kuondolewa bungeni na kufikia wa kuvuliwa uwanachama wa chama chake.

Wabejing wanasema mtu tulietegemea kutunga sheria za kuwalinda wanawake wanaonyanyasika kingono yuko bungeni anaangalia ngono.
 
Kama angekuwa Mbunge Mweusi wa Afrika watu wangeongea ujinga kibao,Sema sababu ni Mweupe sawa tu.
 
Na bado tunaambiwa eti wazungu Ni watu civilised na tujifunze kutoka kwao.
 
Raia wanataka afukuzwe bungeni kabisa.
Waache mbunge afaidi mambo yake, afu huyo mbunge mwingne aache umbea wake lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pressure inapanda mbunge muangalia ngono bungeni kuondolewa bungeni na kufikia wa kuvuliwa uwanachama wa chama chake.

Wabejing wanasema mtu tulietegemea kutunga sheria za kuwalinda wanawake wanaonyanyasika kingono yuko bungeni anaangalia ngono.
kapoteza sifa za kuwa Mbunge aachie ngazi tu.
 
Kuna yule waziri wa Kongo alikuwa anapiga Nyeto ofisinii
 
kosa lake ni lipi ?
wenyewe huko si wana uhuru wa kupitiliza?
 
Kama angekuwa Mbunge Mweusi wa Afrika watu wangeongea ujinga kibao,Sema sababu ni Mweupe sawa tu.
Sawa kivipi wakati kakaliwa kooni ateme mzigo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…