Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Msemaji mkuu wa chombo cha habari cha Urusi RT bi Margarita Simonyan, amesema wakati mataifa ya Nato yakitafuta kuishinda Urusi katika vita lakini wajue kuwa Urusi haitakuwa na njia nyengine isipokuwa kuangamiza sehemu iliyobaki ya Ukraine kwa sialaha za nyuklia.
Wakati huo huo Marekani na Uiengereza tayari zimepoteza askari mmoja mmoja katika vita hivyo waliokuwa wakipigana kwa siri upande wa Ukraine.
Willy Joseph Cancel kutoka Marekani.
Scott Sibley kutoka UK.