PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 722
- 2,225
Jamaa una mapenzi na USA na NATO mpaka basi. Wewe unafikiri Russia ni mwepesi sana. Na ujue mpaka sasa indirect urusi anapigana na mataifa mengi yenye nguvu ndani ya NATO.Umeongea utafikir ni rahisi UK au USA kupeleka jeshi Ukraine, kuna makubaliano ya kimataifa ya kusaidiana indirect, baina ya nchi kwa nchi lakini pia hutegemeana na mahusiano ya nchi hizo kama zikiafikiana ,hao ni wanajeshi wa kujitolea,kama NATO ikiingia direct ,Uruss mda huu ungeona magofu na wakimbizi ,sasa hivi wanamlia timings ajichanganye waingie direct, mzee Putin ndio mwisho wake utakumbuka nayosema
Unakumbuka ni kwa nini USA alipotumia bomu la Nyukilia kule Japani vita iliisha!!