UK na US waanza kupoteza askari Ukraine wakati Urusi ikikazia kutumia Nyuklia

Jamaa una mapenzi na USA na NATO mpaka basi. Wewe unafikiri Russia ni mwepesi sana. Na ujue mpaka sasa indirect urusi anapigana na mataifa mengi yenye nguvu ndani ya NATO.
Unakumbuka ni kwa nini USA alipotumia bomu la Nyukilia kule Japani vita iliisha!!
 
Anapigana nao kivip mkuu,kuna ndege ,manowari,askari,meli,umeona zinafanya mashambuluzi,kumbuka hapo silaha alizopewa Ukraine ni silaha nyepesinyepesi,sasa hivi wanampa nzito.sasa nyepesi zenyewe mrusi kajamba,nzito sijui itakuaje
 
Anapigana nao kivip mkuu,kuna ndege ,manowari,askari,meli,umeona zinafanya mashambuluzi,kumbuka hapo silaha alizopewa Ukraine ni silaha nyepesinyepesi,sasa hivi wanampa nzito.sasa nyepesi zenyewe mrusi kajamba,nzito sijui itakuaje
Mkuu hakika vita si kitu cha kushangilia na Mungu asaidie hili liishe mapema.

Nacho amini hao NATO na Marekani wanaujua uwezo wa Russia katika Technology na Uwanja wa vita na kwamba ni taifa lenye nguvu ya juu sana kivita.

Ona hata jinsi ambavyo NATO wanahaha, hakuna official statement ya NATO kujibu mapigo ya Russia as a union.

Kwa hiyo ni vita ya wababe wa Vita Duniani. Kwa vyovyote vile tofauti na njia ya diplomasia basi madhara ya vita hii yatakua makubwa sana Duniani bila kujarisha nani atashinda
 
Hao waliokufa yawezekana hawakutumwa moja kwa moja na serikali zao lakini bado ni wapiganaji na walipoondoka waliaga majumbani kwao na bila shaka serikali walipoondoka na paspoti zao walijua,Kwa kuwaachia kwenda huko kupigana ni kuwa wameridhia hivyo.
 

Wanachohofia ni zile nukes alonazo
 
Wanachohofia ni zile nukes alonazo
@KweliKwanza*

Sasa mkuu kama ni nyukilia, mbona tofauti ya jumla ya nuclear heads za NATO na USA ni kiduchu sana!! Na kimahesabu ina maana Russia atatumia Nuclear zake versus Many countries (Ukrain$NATO) wakati NATO watatumia kumlenga Russia tu. Huoni kimahesabu NATO wanayo faida zidi ya Russia? Mimi naamini yawezekana Russia ni Superpower over the world. Na kwa nini hao NATO wameshindwa kukubali ombi la siku nyingi la ukrain kujiunga na NATO? Si angekuwa Mwanachama ili apate full access za NATO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…