UK statement following the Presidential Elections in Tanzania

UK statement following the Presidential Elections in Tanzania

Transparent Investigation

Hapa mutu anakwenda kuvuliwa nguo hadharani....Dunia ni kijiji MMEKWISHAA
 
Ndugu wahisani shikirieni hapo Hapo tuko pamoja na Nyie. Watu wawajibishwe plus Muweke MASHARTI Watake wasitake 2025 Tuingie Tukiwa na katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na matokeo ya Uraisi kupingwa mahakamani.
 
Nyumba zitauzwa milioni 5 na hakutakuwa na mnunuzi
Kuna ya rafiki yangu alianzia milion 100 akashuka 80 akashuka tena 60 bado tu mwaka umeisha hakuna mnunuzi. Anadaiwa bank deni linakua limefika 30m. Sasa anesema akipata 50m anauza. Napo bado.
 
Ndugu wahisani shikirieni hapo Hapo tuko pamoja na Nyie. Watu wawajibishwe plus Muweke MASHARTI Watake wasitake 2025 Tuingie Tukiwa na katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na matokeo ya Uraisi kupingwa mahakamani.
Sahau hayo, mambo yamebadilika sana si kama uwazavyo.

Haohao wahisani nyuma ya pazia wanaendeleza kazi kama kawaida.
 
pre-filled ballot boxes

Nitawashangaa sana viongozi wa dini wakishiriki kalamu ya kuhalalisha UFOYOMONDO uliofanyika
Shekhe ubwabwa alikuwa Dodoma akiambatana na yule askofu ambaye ni mbunge batili mekenua meno kama yote.

Tanzania hatuna viongozi wa dini. Tuna wasaka tonge wa dini.
 
Kuna ya rafiki yangu alianzia milion 100 akashuka 80 akashuka tena 60 bado tu mwaka umeisha hakuna mnunuzi. Anadaiwa bank deni linakua limefika 30m. Sasa anesema akipata 50m anauza. Napo bado.
Kuna watu walinunua viwanja milioni 30 wameshindwa kujenga. Wakitaka kuviuza bei inachezea milioni 8. Nadhani mwakani bei itachezea milioni 1. Huyu jiwe Mungu anamuona.
 
Wanapoteza muda tuu hahahaha uchaguzi umeshakwisha na mshindi ameshapatikana!
 
Kuna ya rafiki yangu alianzia milion 100 akashuka 80 akashuka tena 60 bado tu mwaka umeisha hakuna mnunuzi. Anadaiwa bank deni linakua limefika 30m. Sasa anesema akipata 50m anauza. Napo bado.

ipo wapi hiyo nyumba mkuuu
 
UK statement following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020.

Foreign, Commonwealth & Development Office

Following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020, Minister for Africa, James Duddridge, has made a statement.

Minister for Africa, James Duddridge said:

Published 1 November 2020
Kila siku wazungu inabidi siku watuogope sana wana tamko na sisi tunatamka tunasonga mbele
 
Back
Top Bottom