UK statement following the Presidential Elections in Tanzania

UK statement following the Presidential Elections in Tanzania

Hivi kwann watanzania tunakua wajinga kwa kuzipa vipaumbele kauli za hao watu wa mataifa ya ulaya na marekani? Ni lini tanzania iliwahi kuingilia maswala yao au wao ni malaika? Tuache ulimbukeni nchi yetu ilipata uhuru mwaka 1961.
Watanzania wengi wanahoji, hawa kina Mbowe na genge lake wamekula vya hao mabeberu sio bure.Lipeni advance za watu mazee hamkujua vya bure gharama?. Watanzania tumewakataa, iwatoshe.
 
Watanzania wengi wanahoji, hawa kina Mbowe na genge lake wamekula vya hao mabeberu sio bure.Lipeni advance za watu mazee hamkujua vya bure gharama?. Watanzania tumewakataa, iwatoshe.
Ukipewa Advance yakupasa uitulize kwanza benki au uchagoni kisha vumbi likitulia ndo waanza kuchomoa kidogokidogo.

Ila jamaa wamekula advance yote.
 
Hivi kwann watanzania tunakua wajinga kwa kuzipa vipaumbele kauli za hao watu wa mataifa ya ulaya na marekani? Ni lini tanzania iliwahi kuingilia maswala yao au wao ni malaika? Tuache ulimbukeni nchi yetu ilipata uhuru mwaka 1961.
Ni lini kapuku akaingilia masuala ya Tajiri?
 
Wanapoteza muda tuu hahahaha uchaguzi umeshakwisha na mshindi ameshapatikana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uchaguz ulishakwisha tarehe 28 ...wanazoendeleza n vurugu
 
Hivi kwann watanzania tunakua wajinga kwa kuzipa vipaumbele kauli za hao watu wa mataifa ya ulaya na marekani? Ni lini tanzania iliwahi kuingilia maswala yao au wao ni malaika? Tuache ulimbukeni nchi yetu ilipata uhuru mwaka 1961.

Hivi kwann watanzania tunakua wajinga kwa kuzipa vipaumbele kauli za hao watu wa mataifa ya ulaya na marekani? Ni lini tanzania iliwahi kuingilia maswala yao au wao ni malaika? Tuache ulimbukeni nchi yetu ilipata uhuru mwaka 1961.
Kwani Zimbabwe haikupata uhuru.Iran haikufanya mapinduzi .Muda tu ndio utakwambia ukweli
 
pre-filled ballot boxes

Nitawashangaa sana viongozi wa dini wakishiriki kalamu ya kuhalalisha UFOYOMONDO uliofanyika
Hao viongozi wa dini wenyewe mf, Kakobe kasema watakao andamana kesho shauri zao kitakacho wakuta.
 
Uzuri Sina wasiwasi na misimamo ya rais Wangu hivyo Hawa ashazoeaga kucheza nao na hata wao wanajua kuwa Watanzania tuna Rais jiwe kweli kweli.
 
Uzuri Sina wasiwasi na misimamo ya rais Wangu hivyo Hawa ashazoeaga kucheza nao na hata wao wanajua kuwa Watanzania tuna Rais jiwe kweli kweli.
Following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020, Minister for Africa, James Duddridge, has made a statement.
Minister for Africa, James Duddridge said:
As a longstanding supporter of Tanzania, the UK is concerned by widespread allegations of interference in the country’s elections, including pre-filled ballot boxes and party agents being denied entry to polling stations. We are also deeply troubled by the reports of violence and heavy-handed policing in the elections, including the arrest of opposition political leaders.
Tanzania’s future stability and prosperity require a credible democratic process, underpinned by a free media. We join others in calling for a transparent investigation by the electoral authorities into reported irregularities, and for all involved, including the security forces, to act with restraint to ensure the peaceful resolution of tensions.

Share this page​

Alaaniwe mtu aliyeleta demokrasia na mfumo wa vyama vingi barani africa
 
Tanzania's stability and prosperity (economically) requires credible democratic process.

Naona watawala hawaielewi hiyo statement, ndio ile tunaambiwa nchi imeingia kwenye middle income econony lakini extremist poverty rate between individuals imeongezeka, kweli Bongo nyoso 😁😁
 
Hivi umeiona hiyo phrase ya "pre-filled ballot boxes" hapo juu lakini? Kwa wenzetu, hiyo ni allegation mbaya sana.

Eti "nothing more". Akili za matope hizi.
Punguza povu mkuu Mambosasa kafanya yake huko Dar.
 
Mtaani kutakua kukavu mifuko itatoboka yote vibubu vitaokotwa jalalani fixed account zitafanyiwa maombi kupunguzwa mda balaa
 
Hivi kwann watanzania tunakua wajinga kwa kuzipa vipaumbele kauli za hao watu wa mataifa ya ulaya na marekani? Ni lini tanzania iliwahi kuingilia maswala yao au wao ni malaika? Tuache ulimbukeni nchi yetu ilipata uhuru mwaka 1961.
Waafrika bila Wazungu wataangamizwa na viongozi wao hadi wataisha. Viongozi wa Kiafrika akili ndogo na makatili wa kutisha wa watu wao wenyewe.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Meanwhile, under the Constitution, the legitimacy of presidential elections results cannot be questioned in any court of law regardless of the irregularities, illegality or fraud, leaving civil disobedience as the only way to reject flawed poll results.

My take.
Go out tomorrow for a nationwide protest.
Unauthorised demonstration are not allowed.

You are required by Tanzanian law to ask for permission to go on demos within 48 hours.

Are you aware of this?
 
Back
Top Bottom