n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Watanzania wengi wanahoji, hawa kina Mbowe na genge lake wamekula vya hao mabeberu sio bure.Lipeni advance za watu mazee hamkujua vya bure gharama?. Watanzania tumewakataa, iwatoshe.Hivi kwann watanzania tunakua wajinga kwa kuzipa vipaumbele kauli za hao watu wa mataifa ya ulaya na marekani? Ni lini tanzania iliwahi kuingilia maswala yao au wao ni malaika? Tuache ulimbukeni nchi yetu ilipata uhuru mwaka 1961.
Ukipewa Advance yakupasa uitulize kwanza benki au uchagoni kisha vumbi likitulia ndo waanza kuchomoa kidogokidogo.Watanzania wengi wanahoji, hawa kina Mbowe na genge lake wamekula vya hao mabeberu sio bure.Lipeni advance za watu mazee hamkujua vya bure gharama?. Watanzania tumewakataa, iwatoshe.
Ni lini kapuku akaingilia masuala ya Tajiri?Hivi kwann watanzania tunakua wajinga kwa kuzipa vipaumbele kauli za hao watu wa mataifa ya ulaya na marekani? Ni lini tanzania iliwahi kuingilia maswala yao au wao ni malaika? Tuache ulimbukeni nchi yetu ilipata uhuru mwaka 1961.
Hivi umeiona hiyo phrase ya "pre-filled ballot boxes" hapo juu lakini? Kwa wenzetu, hiyo ni allegation mbaya sana.Careful worded statement, nothing more.
Copy: NEC
Ameingizwa mkenge na Lisu na genge lake.Ukimbona Robert Amsterdam amevimba ghalfa kama panyabuku.
Kila akiongeacho ni povu tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uchaguz ulishakwisha tarehe 28 ...wanazoendeleza n vuruguWanapoteza muda tuu hahahaha uchaguzi umeshakwisha na mshindi ameshapatikana!
Hivi kwann watanzania tunakua wajinga kwa kuzipa vipaumbele kauli za hao watu wa mataifa ya ulaya na marekani? Ni lini tanzania iliwahi kuingilia maswala yao au wao ni malaika? Tuache ulimbukeni nchi yetu ilipata uhuru mwaka 1961.
Kwani Zimbabwe haikupata uhuru.Iran haikufanya mapinduzi .Muda tu ndio utakwambia ukweliHivi kwann watanzania tunakua wajinga kwa kuzipa vipaumbele kauli za hao watu wa mataifa ya ulaya na marekani? Ni lini tanzania iliwahi kuingilia maswala yao au wao ni malaika? Tuache ulimbukeni nchi yetu ilipata uhuru mwaka 1961.
Hao viongozi wa dini wenyewe mf, Kakobe kasema watakao andamana kesho shauri zao kitakacho wakuta.pre-filled ballot boxes
Nitawashangaa sana viongozi wa dini wakishiriki kalamu ya kuhalalisha UFOYOMONDO uliofanyika
Hatuwezi kupangiwa Cha kufanya na Nchi iliyo bado kwenye utawala wa kifalme.Mzungu Oyee
Following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020, Minister for Africa, James Duddridge, has made a statement.Uzuri Sina wasiwasi na misimamo ya rais Wangu hivyo Hawa ashazoeaga kucheza nao na hata wao wanajua kuwa Watanzania tuna Rais jiwe kweli kweli.
As a longstanding supporter of Tanzania, the UK is concerned by widespread allegations of interference in the country’s elections, including pre-filled ballot boxes and party agents being denied entry to polling stations. We are also deeply troubled by the reports of violence and heavy-handed policing in the elections, including the arrest of opposition political leaders.
Tanzania’s future stability and prosperity require a credible democratic process, underpinned by a free media. We join others in calling for a transparent investigation by the electoral authorities into reported irregularities, and for all involved, including the security forces, to act with restraint to ensure the peaceful resolution of tensions.
Punguza povu mkuu Mambosasa kafanya yake huko Dar.Hivi umeiona hiyo phrase ya "pre-filled ballot boxes" hapo juu lakini? Kwa wenzetu, hiyo ni allegation mbaya sana.
Eti "nothing more". Akili za matope hizi.
Huru tangu lini meko!!Tanzania ni dola huru,na uchaguzi ulikuwa wa huru na haki.msitake kutafuta huruma za kipuuzi.
Akina SabayaMungu aepushe. Zimbabwe imhusu Mafulugi na genge lake la wezi wa kura.
Waafrika bila Wazungu wataangamizwa na viongozi wao hadi wataisha. Viongozi wa Kiafrika akili ndogo na makatili wa kutisha wa watu wao wenyewe.Hivi kwann watanzania tunakua wajinga kwa kuzipa vipaumbele kauli za hao watu wa mataifa ya ulaya na marekani? Ni lini tanzania iliwahi kuingilia maswala yao au wao ni malaika? Tuache ulimbukeni nchi yetu ilipata uhuru mwaka 1961.
Unauthorised demonstration are not allowed.Meanwhile, under the Constitution, the legitimacy of presidential elections results cannot be questioned in any court of law regardless of the irregularities, illegality or fraud, leaving civil disobedience as the only way to reject flawed poll results.
My take.
Go out tomorrow for a nationwide protest.