Kwan ww ulishawai kuwapelekea wazungu misaada au ulishawai kuwakopesha. Kama ukishawai bas unahaki ya kuingilia mambo yaoHivi kwann watanzania tunakua wajinga kwa kuzipa vipaumbele kauli za hao watu wa mataifa ya ulaya na marekani? Ni lini tanzania iliwahi kuingilia maswala yao au wao ni malaika? Tuache ulimbukeni nchi yetu ilipata uhuru mwaka 1961.
Subirini zianze kuja drones nakuanza kazi kwa wahalifuSpana za Lissu zimeisha nguvu?
GoodZimbabwerism on THE WAY....
Good advice. A neutral comment with no biasUK statement following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020.
Foreign, Commonwealth & Development Office
Following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020, Minister for Africa, James Duddridge, has made a statement.
Minister for Africa, James Duddridge said:
Published 1 November 2020
China ni Mjamaa mwenzetu hao wa West tambua hata wao wana interest na sisi ,nakukumbusha katiba inatulinda hakuna kitakachotokea nakuambia tena hakuna kitakachotokea.Hao ni USA Allies, nyie wala siyo. Nyie ni wa Communist, mnapigia kura zote China. Umewahi kusikia Egypt, Rwanda, Kenya, Saudi Arabia wanapigia kura China au Urusi? Nyie ni vishoka kama Cuba, Venezuela, Zimbabwe, North Korea, Burundi,Afghannistan, Pakistan, Iran, Sri Lanka, nchi mbaya mbaya tu, mnapigia kura China. China Allies.
Kula West lakini mnapigia kura East. Sasa mnaambiwa muende mkale hukohuko East na kura mpeleke huko. Ndiyo mtapata akili.
Nyumba iko wapi hiyoKuna ya rafiki yangu alianzia milion 100 akashuka 80 akashuka tena 60 bado tu mwaka umeisha hakuna mnunuzi. Anadaiwa bank deni linakua limefika 30m. Sasa anesema akipata 50m anauza. Napo bado.
Huyu ngosha kwa sifa za kijinga %%% eti kishindo ,wananchi tutajuta pamoja.Kuna ya rafiki yangu alianzia milion 100 akashuka 80 akashuka tena 60 bado tu mwaka umeisha hakuna mnunuzi. Anadaiwa bank deni linakua limefika 30m. Sasa anesema akipata 50m anauza. Napo bado.
habari yako mbunge mteule wa Kyela.Mungu wabariki wazungu
Walishawekwa mfukoni na jiwepre-filled ballot boxes
Nitawashangaa sana viongozi wa dini wakishiriki kalamu ya kuhalalisha UFOYOMONDO uliofanyika
Mataga na Meko ki inglishi waga hakipandi kabisa ngoja tuwasaidie...UK statement following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020.
Foreign, Commonwealth & Development Office
Following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020, Minister for Africa, James Duddridge, has made a statement.
Minister for Africa, James Duddridge said:
Published 1 November 2020
Iko Bunju DSM. Unahitaji? Nitamcheki kujua progress maana nina kama mwezi hatujawasiliana.ipo wapi hiyo nyumba mkuuu
Ni hatari kabisa. Yaani mwenye pesa sasa ndiyo wakati wakununua mijumba na mashamba/viwanja kwa bei ya kutupwa. Watu wanadaiwa bank na wengine mitaji imekata wanataka wabadili fursa mitaji hawana na bank hawakopesheki hivyo Njia pekee ni kuu za assets nazo hazinunuliki.Kuna watu walinunua viwanja milioni 30 wameshindwa kujenga. Wakitaka kuviuza bei inachezea milioni 8. Nadhani mwakani bei itachezea milioni 1. Huyu jiwe Mungu anamuona.
Wamesema hivi!Nimeshindwa kuchangia chochote hii lugha mie huwa naona madudu tu
Subirini zianze kuja drones nakuanza kazi kwa wahalifu
Mwaka huu mpaka Quinene itageuka panadol, kusanya statement za mabeberu wooote, sisi hatuyumbishwi. Mbona hawatoi statement ya kukemea maandamano?UK statement following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020.
Foreign, Commonwealth & Development Office
Following the Presidential Elections in Tanzania on 28 October 2020, Minister for Africa, James Duddridge, has made a statement.
Minister for Africa, James Duddridge said:
Published 1 November 2020