Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

nungwi is back................hahaha ah! kalaghabagho!

naona nyie mmeamua kuwa wabishi tu!!
NAJUA DAr kuna vuguvugu kubwa la ukabila hasa kwa waswahili kuwatenga WAKUJA..na hili si utani kuna kampeni iliyoanza miaka mingi iliyopita ya watu wanaojiita WANAMZIZIMA [SAIGON CLUB]member mwenzao mh.ditopile leo yuko ndani[alipata kuwambia wananchi kwenye mkutano wa hadhara kuwa "dar es salaama haiwezi kuongozwa na wakuja wenye tongo tongo,kwani "inawenyewe..."]kauli ya mwaka 1990..pia kwenye kundi hili wapo kitwana kondo na wazee wengine wanaojiita wanamzizima...sasa naona wamewachia mikoba kina mswahili]

kuna swali nilimuuliza mswahili hajajibu...tangu 1967 mikoa mingi imejenga shule nyingi zaidi ya zile walizotaifisha...sasa nampa challange aseme hawa wanamzizima tangu...kirundu ramadhan[mar] hadi kitwana kondo wamejenga chekechea gani dar,achilia mbali shule?....leo hii dar ni ya watanzania wote ,ndio maana wabunge karibu wote wa dar wametoka mkoa ..meya pia ..na mabadiliko pale city hall yameonekana toka keenja shule zimejengwa,kazi zinafanyika ,majengo yanakarabatiwa ets ets..na sasa kwa mara ya kwanza shule zinajengwa dar tena kila kata ...nimelisema hili ili tujue nchi inajengwa pamoja ..na sio kwa kujenga chuki dhidi ya makabila baadhi kwa hoja dhaifu..
 
Mzee mwanakijiji,

Kama umesoma vizuri maelezo yangu toka huko tulikotoka utakuta kwamba nimekuwa nikitazama sura zote mbili ktk hili swala la tafsiri.. Kila mara nawakumbushia kuwa iwe Ukabila ama Undugunization TRA kuna tatizo la ajira kwa vijana wetu!.
Na kila wakati mmekuwa mkipiga chenga wakati mpira upo kwa mchezaji mwingine kama vile mnachukua position ya pasi. Mmeshindwa kukubali kuwepo kwa tatizo TRA bila kufanya uchunguzi!.. Nimewapa hadi mfano wa tuhuma za JK kuajiri watu wake... Nina hakika JK anaweza kutumia mifano yako na hakuna mtu akayeweza kuwa na ushahidi unaopingana. Nimekupa mifano ya South kwa wazungu kuajiri wazungu nje kabisa ya Apartheid kwa tafsiri yako kwa sababu wazungu wamesoma kuliko watu weusi. Amerika, Rwanda na kote ni sababu hizi hizi zilizokuwa zikitumiwa kupima tatizo lolote.

Yote hayo tuyaache nje, iwe ukabila, kujuana ama Urafiki tatizo kubwa ni kigezo kinachotumika kutoa ajira!.. Kwa nini hata hili hamtaki kulisikia?
 
Nimewawekea ripoti nyingi ya:

a. Autonomy, Incentives, and Patronage - A study of Corruption in the Tanzanian and Ugandan Revenue Authorities.

Katika ripoti hiyo yenye kurasa 102 hakuna mahala hata pamoja ambapo Ukabila unatajwa isipokuwa kuhusu Uganda. Na huu ni uchunguzi huru, kama waliweza kujua kuna ukabila kwenye taasisi kama hiyo Uganda bila ya shaka wangesema hivyo kama wangenusa harufu yake TRA!!
 
Attachments

Mwanakijiji, Ebu nawe soma wikimedia upate kufahamu kwamba Ukabila ni neno pana sana lenye maana zaidi ya moja. Sii lazima uwe na tafsiri kwa hiyo kuna uwezekano wewe na mswahili mnatazama tafsiri mbili tofauti ktk kulielezea swala hili la TRA. najua sana kuwa accusation ya Ukabila sio jambo dogo isipokuwa kwa sisi Watanzania tunafahamu kwamba Wachagga sio wakabila kama vile Watutsi au Kaburu. Huo ndio Ukabila unaoogopwa na kila mtu, hatujafika huko!.
http://en.wikipedia.org/wiki/Tribalism
 
mjj bravo! you talk with facts ,nategemea anayepingana na machapisho hayo hapo juu aje na study nyigine ya kisomi inayosema kuna UKABILA ,TRA kama walivyogundua URA...

KUNA ambaye alisema majina mengine yamewekwa sirname with initial first name,msipate taabu mkihitaji FULL NAME just sema utapewa!

kama na facts za nyongeza mlizopewa hapo juu mtakataa BASI TENA tutajua mmeamua KUBISHA TUUUU!! Kama ubishi wa simba na yanga...itabidi kuwachukulia hivyo!!
 
saafi sana ..kaka mkandara naona ameelewa ,na sasa kinachobaki hajakubaliana nacho ni VOCUBULARY ,au MSAMIATI wa kutumia...thats right ..lets talk from there...lets incoperate na wataalamu wa lugha watupe neno muafaka kwa hili...la kupeana kazi KISHKAJI
 
PM,
Ndugu yangu niseme mara ngapi kwamba ubishi wangu sio msamiati?..
tatizo langu ni kitendo kinachotendeka TRA. Naona sasa unataka kuipeleka kesi mahakamani na kudai kuwa WIZI sio HUJUMA ya uchumi kama alivyodai balozi wetu wa Italy.

Brother, hata maswala ya Ugaidi watu wamesema sana kuhusu waislaam na ni wale wajinga tu waliofikiria kwamba tatizo la ugaidi ni lina maana moja kuwa ni Waislaam wote! Na ni Ujinga kwa muislaam kukataa kuwa magaidi waliopo ni waislaam na wanatumia Udini kuweka madai yao. Hawa jamaa wanaweza kutoa sababu kama zenu za ushirikiano wao na dini nyinginezo na hata wakristu.

PM kuna sehemu kibao wewe mwenyewe umetumia lugha za ukabila kwa kuwataja akina Kitwana Kondo na kadhalika lakini umeshindwa kukubali ya TRA. Hukuiona mada ya Chief Ukalia kuwa ni Ukabila leo wewe unataka kunipa tafsiri ya Ukabila?.. Nooo bob rudisheni hoja kwa TRA haya maswala ya tafsiri hayana mpango kabisa.
 
nungwi is back................hahaha ah! kalaghabagho!

naona nyie mmeamua kuwa wabishi tu!!
NAJUA DAr kuna vuguvugu kubwa la ukabila hasa kwa waswahili kuwatenga WAKUJA..na hili si utani kuna kampeni iliyoanza miaka mingi iliyopita ya watu wanaojiita WANAMZIZIMA [SAIGON CLUB]member mwenzao mh.ditopile leo yuko ndani[alipata kuwambia wananchi kwenye mkutano wa hadhara kuwa "dar es salaama haiwezi kuongozwa na wakuja wenye tongo tongo,kwani "inawenyewe..."]kauli ya mwaka 1990..pia kwenye kundi hili wapo kitwana kondo na wazee wengine wanaojiita wanamzizima...sasa naona wamewachia mikoba kina mswahili]

kuna swali nilimuuliza mswahili hajajibu...tangu 1967 mikoa mingi imejenga shule nyingi zaidi ya zile walizotaifisha...sasa nampa challange aseme hawa wanamzizima tangu...kirundu ramadhan[mar] hadi kitwana kondo wamejenga chekechea gani dar,achilia mbali shule?....leo hii dar ni ya watanzania wote ,ndio maana wabunge karibu wote wa dar wametoka mkoa ..meya pia ..na mabadiliko pale city hall yameonekana toka keenja shule zimejengwa,kazi zinafanyika ,majengo yanakarabatiwa ets ets..na sasa kwa mara ya kwanza shule zinajengwa dar tena kila kata ...nimelisema hili ili tujue nchi inajengwa pamoja ..na sio kwa kujenga chuki dhidi ya makabila baadhi kwa hoja dhaifu..

PM

Sio wabishi tupo open minded na tunaangalia ukweli ni wewe ambaye huko open minded. Hapa unaonyesha kabisa jinsi wewe ulivyo mkabila hata bila ya kwenda popote, tayari unaonyesha chuki katika urgument yako. HII NDIO TUNASEMA TUIONDOE. Hivi wewe unafikiri watu wanapofikia kuuana inakuwa imeanzia wapi? Hawaamki tu siku moja na kusema twende kuua, ni katika malalamiko madogo madogo ambayo yanaachiwa.

Unasema Nugwi is back - whats wrong with him being back? Na ametoa sababu kuwa alikuwa anasoma tu kwa muda mrefu, is that bad?

Nimeweka artical moja kule kwenye elimu kuhusu watoto wa kiafrica kule UK unaweza kusoma hii hapa: http://www.jamboforums.com/showthread.php?p=22905#post22905

Mkjj

Hii ripoti ni ya corruption ingawaje wameweza kusema kuhusu ukabila kule Uganda, tatizo la ukabila Tanzania ni vigumu kuonekana na mtu ambaye si mzoefu kutokana na sababu ya kuongea lugha moja, Je hiyo study waliuliza maswali sawa (uniform) katika nchi zote mbili? Walikuwa wanatumia lugha gani wakati wanafanya hiyo study? Tanzania imefikia hali mbaya kama ile ya Uganda kwa ukabila au walikuwa wana target ya kujaji hilo? Sasa kama wewe kweli uko serious tuweka tume huru ichunguze ukabila kwenye sehemu zote za serikali halafu uone matokeo yake. Tutafute watu watoe pesa au la tuchange ifanyike hiyo study.

Hili vile vile lazima uliangalie huyo anayefanya study ana malengo gani? TUSIWE WATU WA KUKURUPUKA TU MIDHALI STUDY IMEFANYIKA TUNASEMA NI SAHIHI. TUMEONA STUDY NYINGI TU AMBAZO NI BOGUS - WHO KNOWS TRA BETTER THAN WALE WANAOFANYA KAZI PALE NA AMBAO WANANYANYASWA NA UKABILA. JE NI STUDY GANI YA UHAKIKA YA WATANZANIA AU WAGENI KUTOKA NJE. LAZIMA TUWE MAKINI NA HIZI STUDIES.

Sasa kama nyinyi ambao ndio hurusha madongo hapa hamuwezi kubadili misimamo yenu katika swala la uwazi namna hii mtaweza kweli kubadilisha mawazo ya walioweka mikataba hewa ya Richmond n.k. ambayo hamuwezi kuiona? Mna tofauti gani na hao tunaowatupia madongo kila siku kuwaambia wabadilike? Au ni kwa sababu sio nyie?

Fungueni macho muone jinsi mnavyofanya argument kikabila. Nimeuliza swali Mmanda anaposema tusishangae TRA twende jeshini kwanza. Ana maana gani? Mbona hamtaki kuliongelea hili? Nafikiri ni nyinyi tu ambao mtapinga kama kuna ukabila Tanzania.
 
Mkandara,mswahili na wengineo,kazi nzuri ya kujaribu kutoa vichwa vyetu mchangani na kusema ukweli!.
Mkjj,na wengineo wanaopinga hakuna ukabila.Tujaribu kuwa wa kweli kabla hatujafika pabaya,sitaki kuwalazimisha mkubali.ukweli mimi nimefanya kwenye taasisi ya serikali sio(TRA),nimeshuhudia hilo.Nitawapeni mkasa mmoja,sasa ni juu yenu kuangalia kama ni ukabila au laa.Kuna kazi ambayo ilihitaji mshauri kutoka nje ya taasisi,baada kumpata huyo mshauri,ikafikia wakati wa kuifanya hiyo kazi.Nilikabidhiwa kufanya kazi na huyo mshauri,kabla ya kuanza kazi nilkwenda mkutambulisha mtaalamu kwa mkurugenzi,(mchaga)baada ya kumtambulisha,bosi alimuuliza wewe ni mtu wa wapi?.Mtaalamu akajibu kuwa ninatokea kilimanjaro,kabila mchaga.Bosi,akajibu kuwa ni "wale wale".
Sasa ndugu zangu katika kisa hiki,hebu kama ungekuwa wewe ungejifunza nini?
 
Penye makabila lazima pana ukabila. Kuna ukabila Tanzania? Jibu ni ndio. Kuna upendeleo wa kikabila? Lazima utakuwepo angalau kidogo, kwani Watanzania ni watu na sio malaika. Kuna sumu kali ya kikabila Tanzania? Kwa maoni yangu ni hapana.

Lazima tuzungumzie hali ya wastani, kwani katika nchi ya watu wengi kama yetu, wabaya wachache wanaoweza kufanya mambo ya kutisha lazima watakuwepo.

Katika hali ya wastani kwenye ofisi ya serikali, ikitangazwa kazi inayohitaji mtu mwenye shahada ya uzamili, na akaomba mtu kama huyo, bosi anaweza akamwacha akuchukua wa kabila lake ambaye hana hiyo sifa? Naamini jibu ni hapana. Kama wakija wawili wenye sifa sawa bosi akamchukua wa kabila lake ametumia ukabila? Si lazima. Akimwacha au kumchukua wa kabila lake kwa sababu tu ni wa kabila lake ametumia ukabila? Ndiyo.

Ni bahati mbaya, lakin ni ubinadamu vile vile, mtu kujisikia kuwa karibu zaidi na watu wa kabila lake. Kwa bahati nzuri, Watanzania wengi wamevuka tatizo hilo kwa kiasi kikubwa. Mimi ni Mtanzania wa kawaida, na (bila mimi kuchagua) ni Mchaga. Ndugu zangu wote ni Wachaga, lakini zaidi ya nusu ya marafiki zangu sio Wachaga. Watanzania tunaishi bila kuulizana makabila, tunahudhuria mazishi na kusali bila kuulizana kabila.

Naamini kwamba zaidi ya nusu ya Watanzania waliompigia JK kura hawakuuliza kabila lake, na hata hadi leo hawajui kabila lake. (Hivi JK ana kabila? Ni kabila gani?) Hii ni hali nzuri sana, na wale mnaojua hali halisi nchi nyingine mtakubaliana nami kwamba tunapashwa kumshukuru Mungu sana.

Katika vyuo na shule zetu za umma, wanafunzi wanachaguliwa kwa ukabila? Sidhani. Kama zinatakiwa A tatu ili kukubaliwa kusoma Engineering, akija kijana wa Kihaya mwenye A mbili atachukuliwa na Mmakonde mwenye A tatu asichukuliwe? Sidhani. Kama akichukuliwa Mmakonde mwenye A 2 na akaachwa Mhaya mwenye A 3, huo ni ukabila. Tuanafanya hivyo?

Kungekuwa na ukabila wa kikweli Tanzania hali ingetisha sana. Tujitahidi sumu ya ukabila uliojizatiti isiingie nchini kwetu. Mambo madogo kama mtu kusema "ni wale wale" sio ukabila. Ni kushangaa tu kuona hali ilivyo, lakini haina maana hali hiyo imefikiwa kutokana na ukabila. Hali hiyo inatokana na tofauti kubwa za kielimu katika mikoa yetu. Inabidi tukazanie elimu kweli kweli, na kila mkoa ufanye hivyo.

Augustine Moshi
 
Karibu tena ndugu Augustine,
Unajua ndugu yetu umeleta hoja nzito sana hapa na ndio maana hawa jamaa hawafahamu tunachozungumza.
Kwa mfano huo wa shule ndio tunaouzungumzia hapa yaani mtoto wa Kichagga mwenye A mbili kuchaguliwa na kuachwa Mhaya ama kabila jingine mwenye A tatu. Sasa tatizo ni pale dhana inapotumika kufikiria huyo mchaguzi ambaye ni Mchagga pia alitumia kigezo gani cha kummchagua mtoto huyo kwenda mbele.
Sisi wengine tukasema Ni Ukabila... kosa!
Kosa kwa sababu upande wa pili wameacha kumtazama mtu huyo mmoja kama ndiye mkabila badala yake tafsiri nzima imekuwa kama Wachagga ni wakabila!... mada imesha haribika!..
 
Mwalimu umekuja na maneno mazito na ya kina. Wanaotumia neno "ukabila" hawaelewi uzito na ukali wake. Kuanza kuwaita watu "wakabila" ndio mwanzo wa kumpa mbwa jina baya ili umwue. Tumesema toka uko mwanzo wapo watu wenye kutukuza makabila yao na kudharau mengine (mifano ipo hapa hapa) lakini kiwango cha ati mahali fulani kuna ukabila uliokithiri ni madai yasiyo na msingi hata kidogo.

Ndugu zetu hawako tayari kuachana na nadharia hii kwani kwa kufanya hivyo wataondokana na sababu ya kuchukia wachagga. Katika mawazo yao mtiririko huu hufuata

Wachagga ni wapenda Pesa (ndio maneno ya mtaani)
Wachagga wako TRA kwa wingi
TRA inakusanya pesa
Wanaokusanya pesa ni Wachagga
Wachagga wanaajiriana na kushika nafasi "nyeti"
Hivyo wachagga wanaiba pesa
kwa vile Wachagga ni wapenda pesa!

Nimeuliza huko nyuma, kama kuna mtu anayedai hata chembe kuwa TRA imekuwa na ufujaji mkubwa wa fedha na kama wafanyakazi hao wachagga wamekula njama kuuibia serikali (kwa vile ni watu wa kabila moja) na ni hatari kwa usalama wa Taifa. Hakuna aliyejibu.

Ukweli ni kuwa hawawezi kuachana na nadharia hiyo kwani itawaondolea kisingizio cha kuwachukia wachagga na kuwaonea wivu.
 
Mzee Mwanakijiji,
Soma maelezo yangu hapo juu naona unarudia yaleyale yaliyotangulia.
 
Mkandara, mliposema "Ukabila" mlifanya kosa kubwa ambalo hadi mkubali kuondoa hilo neno ndio labda tunaweza kuzungumza tukaelewana. Kwa kadiri mnaendelea kudai kuna ukabila, tutaendelea kuwaonesha upotofu wa hoja hiyo.
 
Mzee Mwanakijiji,
Nimekuuliza pia - Ukabila ktk ajira huwa uko vipi? au ndio hakuna kabisa kitu kama hicho!
 
WANABODI nilisema toka mwanzo kuwa RRO au regional revenue officers au Managers ndio watendaji na wenye nguvu na hapo ndio wachagga wanahakikisha ni wao tu.
chini yako kuna officers incharge ambao wako mipakani na katika vitengo vingine vya ndani hawa wanaripoti kwa RRO. NA baina ya REGIONAL REVENUE OFFICERS NA OFFICERS INCHARGE kuna head declaration officers(hdo), na kila mkoa wenye idara ya ushuru na forodha kuna HDO.

kwa mfumo wa TRA,bandari ya Dar-es-salaam ni mkoa,long room ni mkoa,airport ni mkoa, ilala inahesabika kama mkoa, kinondoni ni mkoa na temeke nayo mkoa. ila mikoa mingine kama kawaida.isipokuwa kituo cha ushuru na forodha kwa ilala,kinondoni na temeke hakuna wao wanashughulika na kodi nyinginezo.

kila mkoa una REgional revenue officer/manager chini yake officers incharge na HDO hawa ndio wenye sauti na mamlaka na chini yake kuna valuation officers hawa ndio watendaji.

katika list aliyoleta Phillimon Mikael ametaja custom Guards,messengers,examination officers, preventive officers na drivers.
Examination officers kazi yake kusema nimeona TV tatu n.k mwenye shughuli ni valuation officer ndiye anapiga hesabu na kukadiria ushuru na kodi hadi VAT na kupeleka kwa HDO hapo unaona Examination officers hana jambo la maana. custom Guard ni mgambo wa TRA kazi yake kulinda mizigo ya TRA au kusindikiza toka boda fulani hadi lingine huwa wanashirikiana na prevetive officers huyu preventive officers kisheria hawaruhusiwa hata kukagua mzigo, role yao ni kubwa ni askari wa TRA HAWAKO long-room.

ni watu wa kufanya patrol barabarani au mipakani na kama mtu sio mwizi kama akina pm unapitisha mizigo yako kihalali unaweza kuwa maisha yako yote hujakutana na hawa preventive officers wala custom guards.tena hawa wanakwenda CCP moshi kama polisi wengine, lakini valuation officers no way lazima ukutane nao.

nimelzimika kuweka wazi hapo juu ili kujua uongo wa phillimon mikael na jamaa yake ameleta list na kusema kuwa ni graduate au equvalent wote hawa na ndio watendaji wa TRA. HADI list aliyodai ya examination officers sio kweli muongo wako wasio na digrii wengi tu na wengine hawapo kama examination officer. sasa namsuta phillimon mikael(zee la ukabila).

1-Mzee bens Mwenda si examinational officer wala si graduate wala hana Diploma anasubiri kustaafu.
2-Mohamed Ngairi sio examinational officer yuko Long room dawati la wazee pale na hawaji kukagua nae anavuta siku tu za kustaafu. wanabodi mzee huyu maarufu sana nendeni Long-room MKAMUONE mjue njama za wachaga na uongo wa kina phillimon.
3-Minja kweli anakagua airport(Dahaco) si graduate ni form six tu. uchagga unambeba.
4-BI sekela Mwasambungu mwanzo alikuwa KICD akapelekwa container ni examination officer ila si graduate.
5-Anna Ragwaitaba yuko release Bandarini sio graduate wala si examination officer acha uongo Phillimon. hii ngoma nzito!
6-Kombo wako wawili yupi? kuna wa exam na wa ANTI SMUGGLING UNIT(ASU) na wote sio graduate.
7-Edana Robert ni examination officer yuko container terminal (bandarini) kaingia kama form four tu na sasa anahangaika CBE na ordinary DIPLOMA si GRADUATE WALA EQUIVALENT.

8-Lauwo MDOGO yuko container terminal(bandarini) kama examination officer hana digrii wala diploma (DOcuments zote hutoka long room kwenda RRO wharf nae anapeleka kwa officers incharge-container terminal ambaye huwapangia examinations officers huo ndio utaratibu) ila Lauwo mdogo zile kazi chafu (undeclared items) mfano matajiri mtu anasema ni agricultural items ili akwepe kodi mara nyingi huandikwa toka juu kuwa atafanya Lauwo mdogo amri hukota kwa kaka yake.huo ndio tunaoupiga vita humu (UKABILA).

9-rweyendera yuko airport ni examination officer sio graduate.
10-Msangi yuko W09 SIO mkaguzi ni bond officer pale mnadani ukitoka gate no 2.
11-Makundi L. ni mama wa kichagga anakaa mbagala mtoa kopi kwa mteja wenye wanamwita nambari kopi lugha ya long room ni form four tu, hana digri wala form six si makaguzi kama ulivyoongopa. kazi yake kumpa mteja zile kopi 4 za mteja baada ya file kupita kona zote na mara nyinyi ukimpa elfu moja tu anakupa haraka kopi yako.huyu ni mtendaji? phillimon acha hizo!
12-Aziz wako wawili kama Kombos mmoja ni preventive officer na mwingine anaingiza data hawana digrii wala si wakaguzi.

13- Phillimon MIKAEL haitwi ISSA BAGAMBO NI ISSA BIGAMBO nakukosoa yuko manifest huyu ana deal na shipping line na amendment za consignee name au wenyewe huita c11 kitengo chao kujua mzigo huu umekuja na meli ipi? wa nani? bigambo si graduate wao wanaripoti Long room.
14-MAKENE yuko DHL (airport) hana digrii wala diploma na si examination officers,
15-Jane Mzzagumi yuko bandarini ni mkaguzi hana digrii.

16-Luoga ni mdogo wake deputy general commissioner yuko post audit/pricing sio mkaguzi kama unavyoongopa.
17-Said yuko TIN yeye ni activator kama number imegoma (tax identification number) TIN. hana digrii wala si mkaguzi.
18-LUSAJO amemaliza IFM anakagua airport sio RRO wala officers incharge wenye sauti TRA.

MBONA huwataja wachagga wengine wako wapi Ekunda faustine?anne mponezya. mama mbuya, mikael valuation officer? hawa umewaficha wachagga wenzako?

tupe mkasa wa mama Msemwa (mhehe) kuondolewa kwa nguvu Bandarini alikuwa RRO? NA kupelekwa long room?
 
Mimi naajua kweli kuwa upendeleo upo pale TRA na kwenye tasisi nyingine nyeti za serikali. Ila jambo nisiloamini ni kusema kuwa upendeleo ule ni wa kikabila; nadhani ni upendeleo wa kujuana zaidi. Inawezekana kabisa wengi wa wanaopendelewa inatokana na kuwa na ndugu zao ambao ni wakubwa kwenye idara husika, lakini sijaamini kuwa kuna mtu anapendelewa kwa sababu ya kabila lake. Kwa mfano kama kuna jamaa wa kimakua amemwoa mwanamke wa kichaga ambaye kaka yake ni bosi pale TRA, sishangai kuwa huyu mmakua akafanyiwa upendeleo kutokana na ushemeji lakini siyo kwa sababu ya ukabila. Huo ndio msimamo wangu hadi wakati huu.

Najua kuwa kamishana wa ukaguzi wa ndani wa TRA ni mnyamwezi wa kwetu Tabora lakini sidhani kama kuna wanyamwezi wengi pale TRA. Njia rahisi ya kuondoa upendeleo wa aina yoyote ni kuwa na tume huru inayoshughulikia ajila za serikali.
 
Phillimon MIKAEL ni failure mkubwa.

nimemtaji list yake ambayo alitudanganya kuwa ndio watendaji wa TRA huku akiweka hadi watoa photo copy MAMA MAKUNDI. nilimezungumzia REGIONAL REVENUE OFFICERS NA OFFICERS INCHARGE TOKA MWANZO WALA HDO NA VALUATION OFFICER HAJAWATAJA HUYU NI MKABILA MKUBWA NA NIMEMPA HADI WALIPO HAO WATU ALIOWALETA HUMU.

EXAMINATION OFFICERS SI KITU TRA HANA NGUVU YEYOTE YA MAANA, AU CUSTOMS GUARD NI KICHEKESHO, HAJUI MZEE MOHAMED NGAIRI NAMJUA PERSON.

AKALETA UONGO KUWA WADOGO ZAO LAUWO NA LUOGA SI NDUGU NIMEWEKA WAZI NA YEYOTE AULIZE TRA hadi walipo.

KAMA MIMI NITAKUWA MUONGO NA IKIWA AKINA LAUWO NA LUOGA HAWANA NDUGU ZAO MIE BASI TENA HUMU KWENYE FORUM.
NA KAMA MAMA MAKUNDI NI MKAGUZI-EXAMINATION OFFICER MIE SIJI TENA HUMU.
NAKULIIZa MKASA WA MAMA MCHAPA KAZI MSEMWA ALIVYOTOLEWA NA WACHAGGA ASIKAE BANDARINI PAMOJA NA SIFA ZAKE KW A VILE PALE BANDARINI NDIO JICHO LA WACHAGA WOTE AKANG'OLEWA NA KWENDA LONG ROOM.

MKASA WA FOY KUMBAMBIKIA KESI benny lusege aliyekuwa officer incharge bandarini na kumfukuzisha kazi kwa maksudi kisa yeye ni RRO na alikuwa anapitisha mabomu yake kwa jina la benny lusege hakujua kama lusege kaenda shule kwa maana ya shule.Foy KWA kushirikiana na kittlya na wachagga wenzao wakamtimua kazi benny akaenda kujitetea kwenye bodi na kila ushahidi hatimaye benny akarudishwa kazini lakini wachagga wote wamekuwa na chuki naye hadi kuchoma moto nyumba yake na akapelekwa porini na hii kesi ilifika hadi kwa Meghji.
jamani msitete kitu msichokijua huenda mnazuia haki za watu kwa kujifurahisha akina lusege wametaka kuuliwa TRA KUNA genge la majambazi.

MIKAEL muongo wa kutupwa uliwataja sio watendaji nataka RRO na officers incharge, valuation officers, HDO na collector officers. na nilikutaji huko holili na boda zote wapo mbona umewaficha? hata hao customs guard (mgambo wa TRA)unaong'ang'ania wana mkubwa wao jee nani? naona ukauze mbege hapa huna mpya.mrudishe kittlya pesa yake.na nimekwambia yule si ISSA BAGAMBO ni BIGAMBO nakukosoa na list yako uchwara.

PITIENI LIST YA PM hakuweka RRO/MANAGERS,VALUATION OFFICERS,HDO/officers incharge katuletea migambo lete na sungusungu.
 
samahani wazee, hii ilinipita

jokakuu wrote..........

.............Jamboforums imekuwa kama gazeti la kihutu kangura lilokuwa likihamisha chuki dhidi ya watutsi...............

Please watch your language na usituletee UNAZI hapa JF, kama huna la kuandika kaa pembeni
 
nimelzimika kuweka wazi hapo juu ili kujua uongo wa phillimon mikael na jamaa yake ameleta list na kusema kuwa ni graduate au equvalent wote hawa na ndio watendaji wa TRA. HADI list aliyodai ya examination officers sio kweli muongo wako wasio na digrii wengi tu na wengine hawapo kama examination officer. sasa namsuta phillimon mikael(zee la ukabila).

1-Mzee bens Mwenda si examinational officer wala si graduate wala hana Diploma anasubiri kustaafu.
2-Mohamed Ngairi sio examinational officer yuko Long room dawati la wazee pale na hawaji kukagua nae anavuta siku tu za kustaafu. wanabodi mzee huyu maarufu sana nendeni Long-room MKAMUONE mjue njama za wachaga na uongo wa kina phillimon.
3-Minja kweli anakagua airport(Dahaco) si graduate ni form six tu. uchagga unambeba.
4-BI sekela Mwasambungu mwanzo alikuwa KICD akapelekwa container ni examination officer ila si graduate.
5-Anna Ragwaitaba yuko release Bandarini sio graduate wala si examination officer acha uongo Phillimon. hii ngoma nzito!
6-Kombo wako wawili yupi? kuna wa exam na wa ANTI SMUGGLING UNIT(ASU) na wote sio graduate.
7-Edana Robert ni examination officer yuko container terminal (bandarini) kaingia kama form four tu na sasa anahangaika CBE na ordinary DIPLOMA si GRADUATE WALA EQUIVALENT.

8-Lauwo MDOGO yuko container terminal(bandarini) kama examination officer hana digrii wala diploma (DOcuments zote hutoka long room kwenda RRO wharf nae anapeleka kwa officers incharge-container terminal ambaye huwapangia examinations officers huo ndio utaratibu) ila Lauwo mdogo zile kazi chafu (undeclared items) mfano matajiri mtu anasema ni agricultural items ili akwepe kodi mara nyingi huandikwa toka juu kuwa atafanya Lauwo mdogo amri hukota kwa kaka yake.huo ndio tunaoupiga vita humu (UKABILA).

9-rweyendera yuko airport ni examination officer sio graduate.
10-Msangi yuko W09 SIO mkaguzi ni bond officer pale mnadani ukitoka gate no 2.
11-Makundi L. ni mama wa kichagga anakaa mbagala mtoa kopi kwa mteja wenye wanamwita nambari kopi lugha ya long room ni form four tu, hana digri wala form six si makaguzi kama ulivyoongopa. kazi yake kumpa mteja zile kopi 4 za mteja baada ya file kupita kona zote na mara nyinyi ukimpa elfu moja tu anakupa haraka kopi yako.huyu ni mtendaji? phillimon acha hizo!
12-Aziz wako wawili kama Kombos mmoja ni preventive officer na mwingine anaingiza data hawana digrii wala si wakaguzi.

13- Phillimon MIKAEL haitwi ISSA BAGAMBO NI ISSA BIGAMBO nakukosoa yuko manifest huyu ana deal na shipping line na amendment za consignee name au wenyewe huita c11 kitengo chao kujua mzigo huu umekuja na meli ipi? wa nani? bigambo si graduate wao wanaripoti Long room.
14-MAKENE yuko DHL (airport) hana digrii wala diploma na si examination officers,
15-Jane Mzzagumi yuko bandarini ni mkaguzi hana digrii.

16-Luoga ni mdogo wake deputy general commissioner yuko post audit/pricing sio mkaguzi kama unavyoongopa.
17-Said yuko TIN yeye ni activator kama number imegoma (tax identification number) TIN. hana digrii wala si mkaguzi.
18-LUSAJO amemaliza IFM anakagua airport sio RRO wala officers incharge wenye sauti TRA.

MBONA huwataja wachagga wengine wako wapi Ekunda faustine?anne mponezya. mama mbuya, mikael valuation officer? hawa umewaficha wachagga wenzako?

tupe mkasa wa mama Msemwa (mhehe) kuondolewa kwa nguvu Bandarini alikuwa RRO? NA kupelekwa long room?

Duh

Hivi wewe unafanya kazi TRA ? Umewajulia wapi hawa watu?

Sasa kama ukipata muda hebu nimegee ya IKULU au kama ukiweza anza na FOREIGN
 
Back
Top Bottom