Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
nungwi is back................hahaha ah! kalaghabagho!
naona nyie mmeamua kuwa wabishi tu!!
NAJUA DAr kuna vuguvugu kubwa la ukabila hasa kwa waswahili kuwatenga WAKUJA..na hili si utani kuna kampeni iliyoanza miaka mingi iliyopita ya watu wanaojiita WANAMZIZIMA [SAIGON CLUB]member mwenzao mh.ditopile leo yuko ndani[alipata kuwambia wananchi kwenye mkutano wa hadhara kuwa "dar es salaama haiwezi kuongozwa na wakuja wenye tongo tongo,kwani "inawenyewe..."]kauli ya mwaka 1990..pia kwenye kundi hili wapo kitwana kondo na wazee wengine wanaojiita wanamzizima...sasa naona wamewachia mikoba kina mswahili]
kuna swali nilimuuliza mswahili hajajibu...tangu 1967 mikoa mingi imejenga shule nyingi zaidi ya zile walizotaifisha...sasa nampa challange aseme hawa wanamzizima tangu...kirundu ramadhan[mar] hadi kitwana kondo wamejenga chekechea gani dar,achilia mbali shule?....leo hii dar ni ya watanzania wote ,ndio maana wabunge karibu wote wa dar wametoka mkoa ..meya pia ..na mabadiliko pale city hall yameonekana toka keenja shule zimejengwa,kazi zinafanyika ,majengo yanakarabatiwa ets ets..na sasa kwa mara ya kwanza shule zinajengwa dar tena kila kata ...nimelisema hili ili tujue nchi inajengwa pamoja ..na sio kwa kujenga chuki dhidi ya makabila baadhi kwa hoja dhaifu..