Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Hivi hao wanaokataa ukabila TRA.......hivi hawaoni kuwa Mmanda kathibitisha huo ukabila kwa kisingizio cha historia!!!!.....Mtu anahalalisha madhambi yake kwa kusema eti HISTORIA......NONSENSE!!!. hapo historia inatumika vibaya

watu kama Mmanda wamepungukiwa/Wamefungwa KIMAWAZO NA KUFIKIRI PIA.
 
Kwa hakika, kuwepo kwa waajiriwa wengi wa kabila moja katika idara/wizara moja kunaashiria dalili za kuwepo upendeleo (uite upendavyo, lakini wengi watauona kuwa ni ukabila), hasa kwa Tanzania ya wakati huu yenye wasomi wengi tu. Njia ya uhakika ya kujua kuwepo kwa upendeleo ni kuwa na ushahidi unaoonyesha kuwepo kwa upendeleo huo. Hakuna njia iliyo bora zaidi kuliko kuangalia utaratibu unaofuatwa na idara/wizara wakati wa uajiri. Je, wapo watu waliopeleka maombi ya kazi, na licha ya kuwa na sifa zote zilizohitajika walikataliwa na kuchukuliwa wale ambao sifa zao ni za tu kuwa kabila moja (MKJJ anaongeza, "wanaofahamiana/ndugu?") na wahusika wa uajiri katika idara? Kama ushahidi huu upo pale TRA, na ndio sababu mhimu ya kuwepo wachaga wengi, huu utakuwa ni 'ukabila' hata kama MKJJ atapenda tuuite vyovyote apendavyo - hiyo ni haki yake. Lakini bado litakuwa ni tatizo, na linahitaji kutafutiwa ufumbuzi haraka sana, ili lisiendelee.
Mswahili na wengineo wanaodai kuwa ukabila ndio unaotumika pale 'TRA' wanao wajibu wa kutuletea ushahidi huu: Tajeni au wajitokeze wale wote waliopeleka maombi ya kazi TRA, na wanazo sifa zilizotakiwa katika nafasi zilizotakiwa kujazwa; na wakakataliwa, na badala yake wakaajiriwa wachaga ambao sifa zao zililingana au zilikuwa hafifu zaidi ya hizo za kwao.
Vinginevyo, mwelekeo wa mjadala huu unazidi kuonyesha zaidi kuwa Mswahili, anayo ajenda pembeni, na nadhani yeye ndiye mkabila/mdini zaidi.
 
WANABODI.

hapo juu nimekopi maneno ya Phillimon mikael yapo ukurasa 33, leo anakanusha kuwa hakutaja messengers.

huyu bwana ni mkabila mbaya sana anasema Ditopile alisema wageni hawawezi kuongoza Dar. tumuulize yeye hivi huko Kilimanjaro kuna mmatumbi anaweza kupewa udiwani? au mwenyekiti wa serikali ya mtaa acha ubunge?
lazima tukubali Dar ni mji wenye kabila fulani hata kama tumechanganyika nao lazima ukweli na historia ibaki ile ile.

mikael anawachukia kina KItwana KONDO na MEYA kirundu ramadhani ILITAKIWA uwashukuru sana hawa watu kwa ukarimu wao wa kupokea kila kabila kama wangekuwa na roho mbaya wageni msingekuwepo,

tabia ya watu au mtu ndio humzidishia marafiki, ukarimu wa watu wa pwani ndio umepelekea kila mtu ajione salama kuwa Dar. suala la kujenga shule si lao. jiulize kipindi kile cha mwalimu huo utaratibu ulikuwepo? na wao walitaraji serikali kuu kupitia wizara ndio yenye dhamana hiyo. kumbe wizara walijaa kina mgonja kila kitu kinaenda KILIMANJARO hawakujua kama kuna ukabila walijua kila mtu atatenda kwa nafasi aliopo. lakini pia ulikuwa ushukuru kuwa club billicanas au Mbowe isingikuwepo kama hao akina KITWANA KONDO wangekuwa na sera za chuki.

Chadema yenyewe imeanza miaka ya 90 ilikuwa uhoji kwanini haikuwepo siku za nyuma? sera za nyuma hazikuwa kama sasa.

Mikael unawachukia watu wa pwani bila sababu unashindwa hata kubaini mchango mzuri wa DR.Dau NA kusema hajafanya kitu kweli sijui ni makengeza au unabisha tu. hivi wewe hujui ukumbi wa kisasa wa bunge letu ambapo watu wako kina lucy, halima Mdee, muhonga wanaweka makalio yao ni kazi ya NSSF? Ukumbi huo kila mtu anajua ni kazi ya nani, wewe kwa chuki tu unasema hajafanya kitu.

hujui kima cha chini nssf ni laki tatu na themanini na tano? na kilikuwa elfu 50 alipochukua shirika?
hujui NSSF wamepanda kiasi gani kwa mapato? umeulizwa maswali umeshindwa kujibu na DR.WHO ilikuwaje kama si mtendaji aweze ku survive mbele ya mkapa? wakati David Mattaka yaliyomkuta unayajua.

hujui Dau amekuja na project ya daraja kigamboni na wachagga wenzako wa ujenzi na Magufuri wako wanaibania kwa vile hakuna ten percent? daraja litasaidia wangapi? au ndio mambo ya Mramba kwa vile kigamboni tuko waswahili? acheni hizo.

Mwanakijiji na wenzi wako.

unasema KILIMANAJRO wamesoma sana kwa sababu za kihistoria swali kwako na phillimon michael pamoja na Augustine Moshi ILIKUWAJE KWENYE UCHAGUZI MKUU WA URAIS MKOA huo wa wasomi ukatoa wagombea wenye elimu duni sana, natoa mifano AUGUSTINE MREMA hana digrii aliyonayo ni feki na chuo hakitambuliwi hata marekani(western pacific university), JAMES MBATIA FORM SIX, MBOWE FREEMAN FORM FOUR, ANNA SENKORO kidato cha 4, with exceptional of DR.Mvungi NA controversial professor shayo. na kuna mwingine nae alikuwa kidato cha 4.ANNA komu HANA DIGRII PIA.

sasa iweje mkoa tunaoambiwa unatamba kwa elimu utuletee wakikilishi wa nafasi nyeti zaidi kwa nchi, zaidi ya watano wasio na digrii na wanajua hiyo ni moja ya sifa kwa mtu kuwa kiongozi wa nchi ni elimu ya kutosha?. jee hizo sababu za kihistoria ziko wapi? ni TRA tu?

MWISHO.

hakuna nia au maana kuwa wachagga wote ni bogus kuna watu wapo makini mfano TENGA ni watu makini na wamiinifu.

walichoshindwa kina Mwanakijiji kuelewa ni kuwa tunaposema wagogo ni ombaomba haina maana wote au unaposema Vatican ni nchi ya kikristu haina maana hakuna wasio na dini au dini nyingine.
tunaposema Iran ni nchi ya kiislam haina maana hakuna wakristu.
tunaposema pato la mtanzania ni dola moja kwa siku kuna kina bakhresa hawako uko, unapoambiwa waNigeria ni hatari sio wote wapo safi wengine.

tunachosema Ukabila upo TRA TENA uchagga eleweni hivyo.

Nani hajui siku hizi kuna vyama hadi harusi na vifo kwa watu wa kabila fulani na vikao kila mwezi na matangazo yanawekwa magazeti UTASIKIA WATU WA ROMBO WATAKUTANA MSIMBAZI CENTRE NA BASIL MRAMBA JUMAMOSI YA MWISHO mada maendeleo kilimanjaro hapo anakuja na kina Kittlya, mmanda msoffe, LAUWO na kazi unapatia kwenye vikao hivyo.
iweje mpinge Tanzania hakuna ukabila?

natayarisha madeni ya Mengi TRA na njia zinazotumika kukwepa kodi. tuone athari za ukabila.PM stay tuned!
 
Mwanakijiji,Philemon,Mkandara,
1.Mwanzo mwa hoja hii tulikubaliana kwamba kuna uwezekano wachaga wako kwa wingi ktk posti kubwakubwa kutokana na ukweli kwamba kabila hilo lilikwenda shule mwanzoni. Hali hiyo unaweza kuiona hata ktk mashirika mengine. Suala hilo lingekuwa TRA tu, basi tungesema kuna ukabila. Suala hilo lipo accross the board.

2.Malalamiko yakageuka kwamba: kama ni suala la wachaga kusoma zaidi mbona hata UMESENJA na UKARANI makabila mengine hayaajiriwi? Philemon akaleta a random list, ndefu kidogo, ambayo inaonyesha kwamba hakuna monopoly ya wachaga at all.

3.Baada ya Phillemon kuleta listi hiyo Mswahili akadai listi hiyo ni ya MAKARANI,MGAMBO, MESENJA,na MADEREVA wa TRA!! Zaidi katika kuichambua listi hiyo Mswahili ameonyesha wote siyo wasomi. Mswahili alipaswa kutetea hoja yake ya awali kwa kutuonyesha kwamba wachaga wamehodhi hata ukarani, na umesenja.

4.Mwanakijiji ameleta copy ya utafiti ambao umefikia conclusion kwamba tatizo la ukabila lipo URA, na siyo TRA. Kwanini watu wameidismiss ripoti hiyo outrightly? Badala yake watu wanataka another independent investigation.

5.Mwanzo wa mada kulikuwa na hata malalamiko kwamba ukabila wa wachaga unakuwa facilitated na mawaziri toka kilimanjaro. Waziri anateua wajumbe wanne kati ya 10 wa board ya TRA. Mwenyekiti huteuliwa na Raisi, na wengine watano huingia kutokana na sheria ya TRA. Ukiangalia wajumbe walioteuliwa na Waziri utaona hakuna ukabila.

6.Management kuu ya TRA imeonyesha a reasonable tribal balance. Hata meneja utumishi na uajiri siyo mchaga, bali ni mpare. Katika suala linalohusisha wapare basi Mswahili hubadilika na kusema kuna "genge la wakilimanjaro." Naelewa kwamba haya makabila ni watani wa jadi, lakini hivi wanaweza kuwa na mkakati wa pamoja kuyakandamiza makabila mengine? Mimi ningemwamini mswahili kama angedai lipo genge lingine independent--"genge la wapare." Hii hoja ya "wakilimanjaro" hainiingii akilini.

.......kuyumbayumba kwa watoa hoja DUA na MSWAHILI when faced with counter evidence, the "TONE" of their language, and the tribal chauvinistic contents of Mswahili previous postings, are some of the factors that make me reluctant to believe them. I BEG ALL OF YOU TO DENOUNCE HATERED BECAUSE IN THIS PARTICULAR CASE, AND FOR THE SAKE OF UNITY IN OUR COUNTRY, LOVE CAN DO A BETTER JOB.
 
KALAMU.

nakupa benny lusege alikuwa officer incharge bandarini akafukuzwa kazi na wachaga. na hili lilienda hadi kwenye bodi.kisa Foyi mchagga alikuwa anamtumia kumbebesha maovu yake. baada ya bodi kubaini ukweli iliamriwa arudishwe kazini. matokeo yake wakam dump porini na kufanya kazi tofauti na elimu yake. wapo wengi.
mkabila wewe unayefumbia macho maovu. hata mandela wapo walimuona ni mtu wa hovyo kwani anawagawa watu. ilitakiwa awaache tu wazungu wa south Africa wafanye watakavyo. na hata weusi wengine walimuona mandela kachanganyikiwa. nini TRA? ENDELEENI kuchukua pesa kwa kittlya ila hapa hamuwezi. nendeni hadi kwenye vikao vyenu muambiane mje kwenye forum kupambana na Mswahili. mimi nitakomaa tu nanyi.
 
JOKA KUU.
hujui kuna chama cha watu wa kilimanjaro? mwenyekiti cleopa msuya? na wajumbe ni Ndesamburo. kileo wa TBL na wengine? kina mipango mingi tu kimezinduliwa mwaka jana. humjui Msuya kwa upendeleo?
acheni hizo. lete maneno ya maana?
huyu PM alisema ana list ya watu 1000 jee wale ni 1000? hapa mmekwama.
 
mswahili,

unasema KILIMANAJRO wamesoma sana kwa sababu za kihistoria swali kwako na phillimon michael pamoja na Augustine Moshi ILIKUWAJE KWENYE UCHAGUZI MKUU WA URAIS MKOA huo wa wasomi ukatoa wagombea wenye elimu duni sana, natoa mifano AUGUSTINE MREMA hana digrii aliyonayo ni feki na chuo hakitambuliwi hata marekani(western pacific university), JAMES MBATIA FORM SIX, MBOWE FREEMAN FORM FOUR, ANNA SENKORO kidato cha 4, with exceptional of DR.Mvungi NA controversial professor shayo. na kuna mwingine nae alikuwa kidato cha 4.ANNA komu HANA DIGRII PIA.

Mswahili,
1.james mbatia alifukuzwa mlimani kutokana na mgomo wa wanafunzi. alikuwa faculty of engineering.

2.ana senkoro naamini amesomea mambo ya uganga au famasia. ndiyo hana degree, but give it to her, ukizingatia kwamba ni mwanamama na zaidi amejitosa katika masomo ya sayansi.

3.ana komu, huyu mama ni mzanzibari, mumewe ndiyo mchaga. mheshimu huyu mama. siasa tanzania ni ngumu, na kuwa mpinzani ndiyo usiseme.

4.What are you trying to prove? Kwamba Kilimanjaro hawajasoma au? Sasa majimbo ambayo wamesimamisha std 7 utasema nini?

5.What about Dr.Cyril Chami, and Dr.Senkondo Mvungi? How about the Dr.Jumanne Maghembe na Dr.Shayo, these two are not penguins, but heavy duty PhDs.
 
Mswahili: kwamba waliogombea hawakuwa na elimu katika mkoa wa Kilimanjaro, hauwezi kuwa ushahidi kwamba katika huo mkoa hakuna wenye elimu. Inawezekana wenye elimu hawakutaka kugombea na wale wasio nayo wakajitokeza. I thought this is a very simple logic.

Hii haina maana kwamba nakatunusha kuwa TZ hakuna ukabila; upo tena wa kutisha na wa kijinga. Wengi wanaobisha ukabila humu ndani ama hawajatafuta kazi kubwakubwa katika taasisi ya serikali, kwa hiyo hawaja-experience au ni sehemu ya wanaofaidi. Kwa nini serikali imekataa kufanya uchunguzi wa kina kuhusu malalamiko ya ukabila katika taasisi zake? tena kuna taasisi zilijitolea kufanya hili, lakini serikali ikakataa kutoa ushirikiano, inaficha nini?
 
#8 16th February 2007, 01:26 PM
kidole
Junior Member Join Date: Tue Nov 2006
Posts: 10
Rep Power: 0


kidole

--------------------------------------------------------------------------------

Kwanza Nashukuru Saana Kwa Kunipa Ruksa Kutoka Kwenu Kwa Kunikubalia Kuweza Kutoa Duku Duku Langu Nililonalo Kuanzia Mwaka 2000 Mpaka Leo Ninapoanza Kuomba Dawa Ya Kunitibu Ugonjwa Wa Ulionisumbua Kwa Kipindi Kirefu.

Naaza:mnamo Tarehe 16/2/01 Kampuni Inayoitwa Xxx Iliagiza Mali Kutoka Kampuni Moja Nchini Kenya.vifaa Vifuatavyo.hardboard Pcs 900,chiboard Pcs 500,na Flush Door 100.na Kuagiza Kwenye Kampuni Nyingine Vitu Vifuatavyo.:vanish Assortaed 24ctn,stardand Thiners 5lts 10,vanish Assorted 1lts,5ctn,36ctn,mpaka Hapo Natumaini Mmeelewa Mali Zilizokuwa Zimeagizwa Na Kampuni Xxxx.mnamo

Tarehe 17/02/001 Lorry Namba Xxxxxxxxx Ya Mmoja Wa Wakurugenzi Wa Kampuni Aliyejitolea Kwa Ajili Ya Kurahisisha Na Kupunguza Gharama.walifika Mpakani Kwa Ajili Malipo Na Walikabidhi Ducument Kwa Wakala Anayeshughulikia Mambo Ya Ducument Kwa Ajili Malipo Kwa Sheria Ya Malipo Ya Kodi Yafuatavyo.1)gari Lilikaguliwa Mnamo Tarehe 17/02/01 Mpaka Tarehe 18/02/01 Muda Wa Saa Nane

Mchana.baada Ya Mkaguzi Kuridhika Na Ukaguzi Wake Aliwaambia Wakala Wetu Aende Kulipia Mzigo Wote Kama Alivyoukagua.na Ndipo Wakala Wetu Aliweza Kulipia Kwa Taratibu Zote Za Kodi.mnamo Majira Ya Saa Kumi Na Moja Jioni Walipewa Kibali Cha Kuondoka Pale Mpakani Wakiwa Na Vitu Vifuatavyo.1)rist Namba A929640/ya Jumla Ya Shs 954,657.00/tukalipa Tena Rist Namba A929665 Jumla Ya Shs

390,166.00.tukalipa Tena Risti Namba A 929639,jumla Ya Shs 121,540.00 Tukalipa Tena Rist Namba A929658 Jumla Yashs 205,620.00 Pamoja Na Form Ya C12 Namba Ng/1v/457/2001 .iliyosainiwa Na Ofisa Wa Tra Mpakani.pamoja Na Maofisa Wa Polisi Kituoni Hapo.baada Ya Kuondoka Mpakani Kama Kilomita Zisizozi 10 Tu Ndipo Wakubwa Hawa Waliposimamisha Gari Hilo Na Kutaka Wakague.wakiwa

Wanajadiliana Kuhusu Hiyo Lori Bwana Wakubwa Hawa Walianza Kumimina Maneno Kwa Dereva Yeye Aende Kutafuta Kazi Sehemu Nyingine Kwa Sababu Hii Lorr Ni Mali Yao Kuanzia Hapo Walipo.walichukua Ducumenty Zote Na Kulazimisha Lorr Hilo Kwenda Polisi Au Kwa Mkuu Wa Wilaya Ambapo Dereva Alitii Amri Yao.naomba Niendelee Kesho Kwa Sababu Naona Umeme Unanikatikia.
Naomba Kuwakilidha.


kidole
View Public Profile
Send a private message to kidole
Find all posts by kidole
Add kidole to Your Buddy List

#9 16th February 2007, 06:00 PM
NYOKA
Junior Member Join Date: Fri Feb 2007
Posts: 5
Rep Power: 0


TRA Tanzania ni matatizo matupu

--------------------------------------------------------------------------------

KIDOLE

Hii stori ya mkuu kidole imenifanya nijiandikishe humu ili niweze kuifuatilia ni matatizo yanayo tukumba sana na maafisa wa TRA nchi nzima sasa hizi ni issues tulizokuwa tuna zisubiri humu JF, mimi nilikuwa msomaji tu sikuweza kuchangia kitu kwa sababu sipendi siasa ni mchezo mchafu kwa hili la TRA nimo ndani na ninasumbuliwa sana kwa hiyo na mimi nita eleza yaliyo nikumba mpaka nika kimbia nchi, tanzani siyo mahali pa kufanya biashara, wageni ndiyo wana onekana wamaana.

Mkuu kidole tuko pamoja weka na risiti zote hapa copy zake scan uziweke wazi usifiche kitu, ili JK ajue wasaidizi wake wana vyo uwa wafanyabiashara wazawa.

Weka vitu wazi tuna mu SMS...JK, EL, MAMA MEGHIJI, KAMISHINA MKUU, GAVANA, wa fuatilie FILE hili
 
Joka kuu.

NIMESEMA Mbatia hana digrii ni kidato cha sita ndicho cheti alicho nacho au umemnunulia digrii? najua alisindikizwa hadi kwao. hiyo haina maana alihitimu.
FREEMAN MBOWE mbona hujamtaja?

haiwezekani watu zaidi ya watano wanaomba nafasi nyeti ya nchi wawe hawana digrii huku waki claim wanatoka kwa wasomi hizo sababu za kihistoria hazikuwasaidia? MVUNGI nimemtaja kama dr. na hata Shayo nimesema ni professor sina chuki za kijinga.

hao kina DR.Chami hawakugombea urais.
na unazidi kujichanganya kumtaja Professor wa misitu Maghembe ambaye ni mpare wakati huko juu umemkanusha msoffe hapa kwenye ujiko unamtaja Maghembe.
DR.chAMI kasoma miaka sita na nusu Canada. yeye alikuwa kiongozi DARUSO na alikuwa anaongoza mgomo kipindi cha ruksa. najua nasema nini JOKA KUU.
anna KOMU mbona jina la kichagga? HATA takwimu za mwanakijiji akiona jina tu KOMU anasema mchagga? itakavyokuwa Komuu anawakilisha kilimanjaro hana digrii. SENKORO ANNA hana digrii labda medical assistant.
 
Mwanasiasa.

nakubali mkuu ila hawa wanatumia elimu kuficha ukabila nami nimepitia huko huko. iweje wagombea zaidi ya watano wakosekane wenye digrii? tukisema TRA tunaambiwa hatukusoma wao wamesoma.

kinachofanyika TRA ni meno yako kama ya dhahabu poa. na hawa wanaojibu humu wako kazini nawapa ulaji wanapeleka kodi hizi kwa Mramba na kittlya kuwaambia kuna vita ili wafanye yao.
hata uko Chadema inabidi wakupishe wewe. chama hakiwezi kuongozwa kwa elimu ya mafungu mafungu. nenda wakupe mpini mwanangu.na hii ndio dawa yao. umesahau MTEI kapewa kwa ugavana benki kuu huku ana digrii ya literature?
 
jokakuu

.......kuyumbayumba kwa watoa hoja DUA na MSWAHILI when faced with counter evidence, the "TONE" of their language, and the tribal chauvinistic contents of Mswahili previous postings, are some of the factors that make me reluctant to believe them.

Hebu nipe mfano ambapo nimeyumba na hoja? Hoja zako zote nimejibu na tatizo lako ni deny! deny! deny! by all means possible. Huo ni uchaguzi wako mimi niko open minded. Kama wewe una ushahidi au unasema Mswahili kwa hili unaongopa tuonyeshe. Postings zote zipo hapa onyesha swali na jibu lake kwanini tuandikie mate na wino upo? HIVI WEWE KWELI UMESHINDWA HATA KUTOA JINA MOJA KATI YA YALE ALIYOSEMA MSWAHILI NA KUSEMA NI LA UONGO HUKO TRA? Unasema James Mbatia alifukuzwa Mlimani kwani watu wakifukuzwa huwa wanapewa cheti cha degree? Tumeona hata waliomaliza bila kulipa kutopewa shahada zao kwani hiyo ndio proof pekee. Na kwa maneno yako alipataje hiyo nafasi wakati hana cheti? Au ilikuwaje?

Je ni kwa nini serikali inakataa kuunda tume kuchunguza hili?

Mwanasiasa: Wengi wanaobisha ukabila humu ndani ama hawajatafuta kazi kubwakubwa katika taasisi ya serikali, kwa hiyo hawaja-experience au ni sehemu ya wanaofaidi. Kwa nini serikali imekataa kufanya uchunguzi wa kina kuhusu malalamiko ya ukabila katika taasisi zake? tena kuna taasisi zilijitolea kufanya hili, lakini serikali ikakataa kutoa ushirikiano, inaficha nini?

JE MIKUTANO YA KILA WIKI NAYO MNASINGIZIWA? HAO WAFANYAKAZI WA TRA KWENDA KUCHANGISHA PESA ZA RUSHWA.
 
Dua.
wasikunyime usingizi wamekwama hapa mashine nyingine.
wana textiana tu. TESHA UKO WAPI aisee NENDA jf,
Massawe hivi una mtandao? ndio shayo aisee babangu nenda jf kuna wapuuzi waswahili wanaleta balaa kule jikoni(TRA).
AISEE alawa fanya uende jf,
aisee lyimo KUNA vita jf.
mzee wa injii hii lyatonga kuna vita na waswahili yaani wanahakikisha tunashughulikiwa kama ulivyoshughulikiwa nccl,
inabidi tukutane LEGHO inn HOTEL na wale wa kimara na ubungo iwe landmark hotel au friends kona kwa massawe ila pale kuna patroll ya mapolisi kumchunguza massawe. naona tukutane vatican inn sinza.
 
mswahili,
1.katika posting yako ulitaja mkoa KILIMANJARO na ukawajumuisha wagombea wachaga na wapare ndiyo maana na mimi nikakujibu kwa kutumia wagombea wa makabila yote mawili. Rejea posting yako utaona nasema ukweli.

2.Mimi sijasema kwamba Mbatia ana degree. Nilichosema ni kwamba huyu alifika chuo kikuu faculty of engineering. alifukuzwa siyo kwa kushindwa masomo, bali kujihusisha na migomo. nadhani alikuwa very close kumaliza.

3.Wakati unanikosoa mimi kwa kuwachanganya wapare na wachaga, ingawa ni wewe uliyeanzisha mtindo huo, wewe unakosea zaidi kwa kuwachanganya wachaga hata na wazanzibari!! Nadhani kwa tafsiri yako wewe Fatuma Maghimbi naye ni "Mkilimanjaro" na lawama za ukabila zinamhusu!!

4.kuwa balanced ktk haya madai yako, that way YOU will escape the risk of becoming the "subject" of the discussion. Kwa mfano, watu wanatoka kujadili hoja, na kuishia kukujadili wewe binafsi na chuki unazoonyesha.
 
Mswahili: kwamba waliogombea hawakuwa na elimu katika mkoa wa Kilimanjaro, hauwezi kuwa ushahidi kwamba katika huo mkoa hakuna wenye elimu. Inawezekana wenye elimu hawakutaka kugombea na wale wasio nayo wakajitokeza. I thought this is a very simple logic.

Hii haina maana kwamba nakatunusha kuwa TZ hakuna ukabila; upo tena wa kutisha na wa kijinga. Wengi wanaobisha ukabila humu ndani ama hawajatafuta kazi kubwakubwa katika taasisi ya serikali, kwa hiyo hawaja-experience au ni sehemu ya wanaofaidi. Kwa nini serikali imekataa kufanya uchunguzi wa kina kuhusu malalamiko ya ukabila katika taasisi zake? tena kuna taasisi zilijitolea kufanya hili, lakini serikali ikakataa kutoa ushirikiano, inaficha nini?


SIJAKUELEWA
 
jokaKuu

Mie naona wewe ndio hujibu maswali na unapindisha hii mada kwa kurukaruka. Nimeuliza swali hili ukurasa wa 39 mpaka sasa hivi hakuna jibu. Naweka hapa kwa kifupi tena.
Fungueni macho muone jinsi mnavyofanya argument kikabila. Nimeuliza swali Mmanda anaposema tusishangae TRA twende jeshini kwanza. Ana maana gani? Mbona hamtaki kuliongelea hili? Nafikiri ni nyinyi tu ambao mtapinga kama kuna ukabila Tanzania.

http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=1867&page=39
 
PM ahsante kwa hiyo link. Lakini mbona wote hao si wachagga na pia sidhani kama hawa wanahusika na kuajiri watu. Kwa context ya mada hii ingekuwa bora kama tungepata list ya vigogo wa HRM pale TRA.
 
JokaKuu wrote:
1.james mbatia alifukuzwa mlimani kutokana na mgomo wa wanafunzi. alikuwa faculty of engineering.

Dua responded:
Unasema James Mbatia alifukuzwa Mlimani kwani watu wakifukuzwa huwa wanapewa cheti cha degree? Tumeona hata waliomaliza bila kulipa kutopewa shahada zao kwani hiyo ndio proof pekee.

Dua,
You are correct in your assertion kwamba mwanafunzi akivukuzwa mlimani basi anakuwa hana shahada. Hilo halihitaji maswali, wala msisitizo hapa.

Pamoja na hayo, ni vizuri for the sake of fairness, ukaeleza kwamba Mbatia alifukuzwa chuo kikuu kwasababu za kisiasa. vilevile ni vizuri ukaeleza kwamba alifukuzwa akiwa karibu na kumaliza[3rd or 4th year] faculty of engineering.
 
Jokakuu

Mbona husemi jinsi alivyopata hiyo kazi bila cheti? na si hivyo tu, yeye amechukua engineering.
 
JOKA KUU.

Fatma maghimbi haishi moshi yuko chuo kikuuu na mumewe mwalimu pale.
yeye ana masters ya sheria toka warwick si anna komu au sendoro sheluless.

ANNA komu kabadilisha hadi jina lake toka maulida na kuwa anna. anaongea hata kichagga. binti wa kizanzibar atakuwa mstari wa mbele na kina mbowe?
kwa vile mnatumuona mchovu( hana kitu hamutaki) mbona Mengi asili yake ni mrangi ila mnajifaharisha nae kuwa ni mchagga?
Narudia tena mkoa unajidai uko mbele kielimu na kuleta wagombea wa urais hawana hana minimum qualification ya digrii moja ni aibu.
MBATIA alikuwa hajui kama kaenda kusoma? na si mgomo?jibu utakavyo hana digrii ni kidato cha sita tu! nae mtafutieni chuo.
DR.Chami sina ugomvi nae ndio maana nikasema ana phd ya miaka 6 na nusu nikiwa na maana ya uhakika. ni mwanafunzi wa professor Lipumba. na alikondoka na first class udsm.
sina chuki nakuweka sawa ukishindwa tumia jina lingine njoo.
Fikiria kama bukoba inaleta wagombea urais nane, unategemea zaidi ya sita watakuwa hawana hata minimum qualifaication?
hadi MADJ akina MBOWE mnatuletea?
 
Back
Top Bottom