#8 16th February 2007, 01:26 PM
kidole
Junior Member Join Date: Tue Nov 2006
Posts: 10
Rep Power: 0
kidole
--------------------------------------------------------------------------------
Kwanza Nashukuru Saana Kwa Kunipa Ruksa Kutoka Kwenu Kwa Kunikubalia Kuweza Kutoa Duku Duku Langu Nililonalo Kuanzia Mwaka 2000 Mpaka Leo Ninapoanza Kuomba Dawa Ya Kunitibu Ugonjwa Wa Ulionisumbua Kwa Kipindi Kirefu.
Naaza:mnamo Tarehe 16/2/01 Kampuni Inayoitwa Xxx Iliagiza Mali Kutoka Kampuni Moja Nchini Kenya.vifaa Vifuatavyo.hardboard Pcs 900,chiboard Pcs 500,na Flush Door 100.na Kuagiza Kwenye Kampuni Nyingine Vitu Vifuatavyo.:vanish Assortaed 24ctn,stardand Thiners 5lts 10,vanish Assorted 1lts,5ctn,36ctn,mpaka Hapo Natumaini Mmeelewa Mali Zilizokuwa Zimeagizwa Na Kampuni Xxxx.mnamo
Tarehe 17/02/001 Lorry Namba Xxxxxxxxx Ya Mmoja Wa Wakurugenzi Wa Kampuni Aliyejitolea Kwa Ajili Ya Kurahisisha Na Kupunguza Gharama.walifika Mpakani Kwa Ajili Malipo Na Walikabidhi Ducument Kwa Wakala Anayeshughulikia Mambo Ya Ducument Kwa Ajili Malipo Kwa Sheria Ya Malipo Ya Kodi Yafuatavyo.1)gari Lilikaguliwa Mnamo Tarehe 17/02/01 Mpaka Tarehe 18/02/01 Muda Wa Saa Nane
Mchana.baada Ya Mkaguzi Kuridhika Na Ukaguzi Wake Aliwaambia Wakala Wetu Aende Kulipia Mzigo Wote Kama Alivyoukagua.na Ndipo Wakala Wetu Aliweza Kulipia Kwa Taratibu Zote Za Kodi.mnamo Majira Ya Saa Kumi Na Moja Jioni Walipewa Kibali Cha Kuondoka Pale Mpakani Wakiwa Na Vitu Vifuatavyo.1)rist Namba A929640/ya Jumla Ya Shs 954,657.00/tukalipa Tena Rist Namba A929665 Jumla Ya Shs
390,166.00.tukalipa Tena Risti Namba A 929639,jumla Ya Shs 121,540.00 Tukalipa Tena Rist Namba A929658 Jumla Yashs 205,620.00 Pamoja Na Form Ya C12 Namba Ng/1v/457/2001 .iliyosainiwa Na Ofisa Wa Tra Mpakani.pamoja Na Maofisa Wa Polisi Kituoni Hapo.baada Ya Kuondoka Mpakani Kama Kilomita Zisizozi 10 Tu Ndipo Wakubwa Hawa Waliposimamisha Gari Hilo Na Kutaka Wakague.wakiwa
Wanajadiliana Kuhusu Hiyo Lori Bwana Wakubwa Hawa Walianza Kumimina Maneno Kwa Dereva Yeye Aende Kutafuta Kazi Sehemu Nyingine Kwa Sababu Hii Lorr Ni Mali Yao Kuanzia Hapo Walipo.walichukua Ducumenty Zote Na Kulazimisha Lorr Hilo Kwenda Polisi Au Kwa Mkuu Wa Wilaya Ambapo Dereva Alitii Amri Yao.naomba Niendelee Kesho Kwa Sababu Naona Umeme Unanikatikia.
Naomba Kuwakilidha.
kidole
View Public Profile
Send a private message to kidole
Find all posts by kidole
Add kidole to Your Buddy List
#9 16th February 2007, 06:00 PM
NYOKA
Junior Member Join Date: Fri Feb 2007
Posts: 5
Rep Power: 0
TRA Tanzania ni matatizo matupu
--------------------------------------------------------------------------------
KIDOLE
Hii stori ya mkuu kidole imenifanya nijiandikishe humu ili niweze kuifuatilia ni matatizo yanayo tukumba sana na maafisa wa TRA nchi nzima sasa hizi ni issues tulizokuwa tuna zisubiri humu JF, mimi nilikuwa msomaji tu sikuweza kuchangia kitu kwa sababu sipendi siasa ni mchezo mchafu kwa hili la TRA nimo ndani na ninasumbuliwa sana kwa hiyo na mimi nita eleza yaliyo nikumba mpaka nika kimbia nchi, tanzani siyo mahali pa kufanya biashara, wageni ndiyo wana onekana wamaana.
Mkuu kidole tuko pamoja weka na risiti zote hapa copy zake scan uziweke wazi usifiche kitu, ili JK ajue wasaidizi wake wana vyo uwa wafanyabiashara wazawa.
Weka vitu wazi tuna mu SMS...JK, EL, MAMA MEGHIJI, KAMISHINA MKUU, GAVANA, wa fuatilie FILE hili