Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Bakaa, sihoji watu kwa sababu ya kumridhisha mtu. Kwanini niwahoji, ili niwaulize nini?

"Halo" mimi
"Halo, nani mwenzangu" fulani kule TRA
"M. M. Mwanakijiji hapa napenda kuuliza swali" mimi
"Haya bwana uliza tu" anajibu
"Hivi hapo TRA kuna ukabila wa Wachagga" nauliza
"eh...hakuna"... anajibu

then what?
 
2. Uliongelea James Mbatia ambaye aliajiriwa TRA bila cheti, cheti alichokuwa nacho ni cha Form VI je aliajiriwa katika mazingira gani? Alisomea Engineering kutokana na habari uliyotuletea, ilikuwaje TRA wamwajiri?

Hapana, najua kuwa wakati Chuo Kikuu Dar kinafungwa na Mwinyi mwaka 1989 hivi nilikuwa bado nafundisha pale. James Mbatia aliyekuwa kiongozi wa mgomo ule hakuwa mwanafunzi wa engineering ingawa alikuwa na wasaidizi kadhaa kutoka engineering kama vile Blasio Loloma ambaye sijui yuko wapi. Baada ya kufukuzwa chuo ndipo Mbatia alipoingia kwenye siasa dhidi ya serikali ya mwinyi iliyomkatisha masomo. Sidhani kama aliwahi tena kurudi chuo chochote kusoma engineering kwani najua kuwa muda wote amekuwa mbunge.
 
Unajua Mwanakijiji huwa ananikosha sana anapotumia neno sidhani kisha akalipa uzito kuwa ndio hali halisi. Umesha ambiwa ndugu yangu TRA kuna ukabila wewe unachojaribu kusema hata sikielewi kabisa hasa unapomtumia JK kuwa alianza na Udini kisha akarekebisha...with confidence lakini inapofika kwa TRA ni dhana tu. Sijui kulikuwepo na ukweli gani kwa JK lakini umekosekana TRA. What matters ni kwamba did JK alifanya udini ktk uchaguzi wake wa mwanzo?.. hapo ndipo hoja zinaweza kumiminika kisha wengine tutapima.
 
Unajua Mwanakijiji huwa ananikosha sana anapotumia neno sidhani kisha akalipa uzito kuwa ndio hali halisi. Umesha ambiwa ndugu yangu TRA kuna ukabila wewe unachojaribu kusema hata sikielewi kabisa hasa unapomtumia JK kuwa alianza na Udini kisha akarekebisha...with confidence lakini inapofika kwa TRA ni dhana tu. Sijui kulikuwepo na ukweli gani kwa JK lakini umekosekana TRA. What matters ni kwamba did JK alifanya udini ktk uchaguzi wake wa mwanzo?.. hapo ndipo hoja zinaweza kumiminika kisha wengine tutapima.


Mkandara, JK hakufanya udini ili kutokana na kuchagua watu wa dini moja (Kama watano hivi) kwa wakati mmoja hiyo iliwashtua watu. Mnaposema TRA kuna ukabila, hiyo siyo nadharia na siyo mwangalio bali mnasema kama ni FACT. Nimetoa mfano mwepezi wa jinsi gani mnaweza kuprove without a shadow of doubt kuwa kuna ukabila.

- Hivi kati ya wafanyakazi wote walioachishwa kazi TRA baada ya mabadiliko ya 1996 kuna Mchagga hata mmoja na ni asilimia ngapi ya Wachagga walioachwa ukilinganisha na waliobaki? Endapo utaweza kuonesha kuwa wengi waliochwa kwenye mabadiliko ya 1996 walikuwa ni watu wa makabila mengine huo ndio utakuwa ushahidi wa kwanza ambao unaweza kunifanya niangalie tena suala hili kama lina ukabila.

- Baada ya mabadiliko hayo yote je kuna mfanyakazi yeyote Mchagga kuanzia makao makuu na mikoani ambaye aliachishwa kazi na nafasi yake kujazwa na mtu ambaye si Mchagga. Ni wachagga wangapi ambao wamefukuzwa kazi mpaka sasa ukilinganisha na watu wa makabila mengine na ratio yao TRA.


(Mswahili) Ukijibu maswali yangu haya with specifics kama ulizozitoa ulipotoa tuhuma unaweza kunishawishi nikubali kuwa kuna ukabila TRA. Tafadhali usinitume ati kama mwandishi niende kufanya uchunguzi au kuzungumza na watu wa TRA, wakati wewe ndio mwenye data, wengine wanaweza wasiwe wazi. Please nimwagie data!!
 
Jokakuu

Sasa huyu Jokakuu yuko wapi maana yake yeye ndio alileta hizi information hapa;http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=1867&page=43
1.james mbatia alifukuzwa mlimani kutokana na mgomo wa wanafunzi. alikuwa faculty of engineering. Pamoja na hayo, ni vizuri for the sake of fairness, ukaeleza kwamba Mbatia alifukuzwa chuo kikuu kwasababu za kisiasa. vilevile ni vizuri ukaeleza kwamba alifukuzwa akiwa karibu na kumaliza[3rd or 4th year] faculty of engineering.

Jokakuu Fafanua aliyosema Kichuguu. Nani muongo?
 
Mzee mwanakijiji,

Kwa msomaji yeyote yule anayefahamu kuchambua vitu ataelewa ulicha andika Umesema hivi:-
Kwa sababu watu wakianza minon'gono hii ni hatari kwa nchi na kwa jamii husika. Kuanzia wakati huo amefanya vizuri sana kwani kila anapotangaza majina zaidi ya matatu basi anachanganya watu na hivyo amezima mazungumzo ya udini.

Ni maelezo gani hayo ambayo kweli yanaweza kumfanya rais achanganye watu kila nafasi tatu?.. na kwa nini unasema toka wakati huo awalifanya vizuri?... kama hukupingana na uchaguzi wa mwanzo.
 
Mzee mwanakijiji,

Kwa msomaji yeyote yule anayefahamu kuchambua vitu ataelewa ulicha andika Umesema hivi:-
Kwa sababu watu wakianza minon'gono hii ni hatari kwa nchi na kwa jamii husika. Kuanzia wakati huo amefanya vizuri sana kwani kila anapotangaza majina zaidi ya matatu basi anachanganya watu na hivyo amezima mazungumzo ya udini.

Ni maelezo gani hayo ambayo kweli yanaweza kumfanya rais achanganye watu kila nafasi tatu?.. na kwa nini unasema toka wakati huo awalifanya vizuri?... kama hukupingana na uchaguzi wa mwanzo.

Mkandara, tuachane na hilo la Rais.... my bad! Nipatie majibu kuhusu hayo maswali mawili kuhusu TRA.. thanks!
 
Je, wachagga walioko TRA wamelitia Taifa hasara ya kiasi gani kutokana na ukabila wao?
 
Je, wachagga walioko TRA wamelitia Taifa hasara ya kiasi gani kutokana na ukabila wao?

Hapana nafikiri swali ni ukabila pale TRA siyo hasara na faida ambayo inatokea au inapatikana. Kwa maneno mengine wakisema wameleta faida na huku wanaendeleza ukabila ni sawa?

Nafikiri ukabila ndio issue.
 
Hapana nafikiri swali ni ukabila pale TRA siyo hasara na faida ambayo inatokea au inapatikana. Kwa maneno mengine wakisema wameleta faida na huku wanaendeleza ukabila ni sawa?

Nafikiri ukabila ndio issue.

sawa, hivyo haijalishi kama ukabila huo hauna hasara au faida! alimradi ni mkusanyiko wa watu wa kabila moja. Vipi kuhusu haya mawili Dua:

Hivi kati ya wafanyakazi wote walioachishwa kazi TRA baada ya mabadiliko ya 1996 kuna Mchagga hata mmoja na ni asilimia ngapi ya Wachagga walioachwa ukilinganisha na waliobaki? Endapo utaweza kuonesha kuwa wengi waliochwa kwenye mabadiliko ya 1996 walikuwa ni watu wa makabila mengine huo ndio utakuwa ushahidi wa kwanza ambao unaweza kunifanya niangalie tena suala hili kama lina ukabila.

- Baada ya mabadiliko hayo yote je kuna mfanyakazi yeyote Mchagga kuanzia makao makuu na mikoani ambaye aliachishwa kazi na nafasi yake kujazwa na mtu ambaye si Mchagga. Ni wachagga wangapi ambao wamefukuzwa kazi mpaka sasa ukilinganisha na watu wa makabila mengine na ratio yao TRA.


(Mswahili) Ukijibu maswali yangu haya with specifics kama ulizozitoa ulipotoa tuhuma unaweza kunishawishi nikubali kuwa kuna ukabila TRA. Tafadhali usinitume ati kama mwandishi niende kufanya uchunguzi au kuzungumza na watu wa TRA, wakati wewe ndio mwenye data, wengine wanaweza wasiwe wazi. Please nimwagie data!!
 
Unaongelea mabadiliko ya 1996 mimi sina hizo data na sifikirii hizo data zinaweza kunipa ukweli wa kitu gani kinaendelea pale TRA kuhusu swala la ukabila. Na sifikirii kama ninahitaji kukuridhisha wewe na data ambazo mimi sina. Unaweza kuniambia nini yalikuwa malengo ya mabadiliko hayo ya 1996? Ni miaka 12 sasa tangu malemgo hayo yawekwe Je yamefanikiwa? Kama yamefanikiwa ni kwa kiasi gani?

Kitu cha msingi ni hiki ambacho mwaka jana kiongozi wa juu (Mmanda) wa TRA alipoulizwa swali kuhusu ukabila alisema hivi:

Mmanda alisema kuhusu swala hilo tusishangae TRA twende jeshini kwanza. Alikuwa ana maana gani?
Huyu yuko jikoni anasema maneno hayo sisi watu ambao hatujui mambo ya pale ndani unataka tutetee kama hakuna ukabila?

Mwanasiasa: Wengi wanaobisha ukabila humu ndani ama hawajatafuta kazi kubwakubwa katika taasisi ya serikali, kwa hiyo hawaja-experience au ni sehemu ya wanaofaidi. Kwa nini serikali imekataa kufanya uchunguzi wa kina kuhusu malalamiko ya ukabila katika taasisi zake? tena kuna taasisi zilijitolea kufanya hili, lakini serikali ikakataa kutoa ushirikiano, inaficha nini?

Je kwa nini serikali inakataa kufanya huo uchunguzi? wanaficha nini?
 
FAUSTINE KAPAMA
Daily News; Tuesday,March 06, 2007 @00:07

THE Court of Appeal has quashed all proceedings and orders given by then High Court Judge Steven Ihema in a case involving the winding up proceedings of the Tanzania Independent Power Limited (IPTL).

Justices Eusebia Munuo, January Msoffe and Engela Kileo ordered that the court records should be sent back to High Court Judge Katherine Oriyo as originally listed for her to proceed with the matter. Judge Ihema has retired.

"There are no reasons recorded for taking the case out of the list of cases that were assigned to Oriyo and putting it in the list of cases before Ihema," observed the justices in their recent ruling.

Parties to the case had complained about the conduct of Judge Ihema in re-assigning to himself the list of cases that had already been assigned to Judge Oriyo. The justices said such re-assignment gave them grave concerns.

According to the justices, the individual calendar system required that once a specific judge or magistrate was assigned to a certain matter, then he remained responsible for it until its conclusion unless there were good reasons for doing otherwise.

"In the circumstances, we hereby quash and set aside all proceedings and orders made by Ihema and order that the record be remitted to Oriyo for her to proceed with the application which was filed in the High Court on September 24, 2003," they ruled.

The ruling appeared for the time being to favour VIP Engineering and Marketing Limited against fellow shareholders, Mechmar Corporation of Malaysia in what has turned out to be a twisted path to liquidation of the equally controversial electricity generating company.

It all started with a notice filed at the High Court by the Malaysian company on September 8, 2003 for intention to file in the court the award issued earlier by the London Court of International Arbitration.

Some two weeks later, VIP Marketing also filed a counter application that challenged the jurisdiction of the London court and to have the award set aside. Mechmar Corporation also later petitioned the High Court to have the award enforced.

However, the application could not be heard as VIP Marketing had applied for revision orders at the Court of Appeal. VIP Marketing Director James Rugemalira appeared to be happy with the ruling that takes the whole case back to his application of September 23, 2003.

Hii inatisha sasa.. kesi imeamuliwa na Wachagga na kurudishwa kwa jaji Mchagga.. inaonekana itamfaa Mhaya!! Haiwezekani Majaji wote watatu wawe wa sehemu moja ni hatari kwa usalama wa Taifa, what if wakiamua kutoa hukumu kupendelea ndugu zao wa kilimanjaro!!?
 
Mzee Mwanakijiji,

Unajua bob maswali yako ni mepesi sana kiasi kwamba nashindwa hata kuelewa una tafsiri vipi neno Ubaguzi wa kikabila. mwanzo uliposema kuwa ni Undugunization nilipima mwenyewe bila hata maelezo yako nikasema -YAWEZEKANA but still ni kosa. Kosa halijabadilika bado kwa tafsri hiyo. Swala la kujuana lipo nchini na yawezekana Undugunization kuwa moja ya tafsiri ya watu wanaotoka kabila moja. Mimi nitamwita Mkerewe ndugu yangu na hapa nje namwita Mtanzania yeyote ndugu yangu... Nikakubali bila kupinga.
Sasa unapokuja na haya maswala ya kuuliza ni Wachagga wangapi walifanya hivi ama vile hii ni nje kabisa ya hoja ambazo zimekuwa raised.
Ni sawa na kusema huko Marekani hakuna ubaguzi wa rangi kwa sababu unatazama Wazungu wangapi walioachishwa kazi ama ni aslimia ngapi ya wazungu waliajiriwa/waliachwa ktk nafasi ambazo huna hesabu yake.
Brother kifupi ni kwamba huyo mwajiri wa TRA anakitu kuona Wachagga ni bora ktk makabila yetu na anatumia ubora huo kuwa kigezo cha kutoa ajira. Iwe Wachagga wote ni ndugu zake ama marafiki zake hakuna kinachopingwa hapa kwa sababu hatupo rohoni mwake.
Huyu ni mtu mmoja ama kikundi kimoja cha majambazi ambacho hakiwezi kuchukua dhamana ya kabila zima.
Chama CUF kuna watu wenye Udini haina maana CUF wote ni wadini na wala haitawasaidia kitu kama wasipoweza kulitazama swala hili ndani ya chama kama tunavyowaomba Chadema kuhusu swala la Ukabila ndani ya chama.
Trust me - Mzee Mwanakijiji, Chadema wanalitazama swala hili bila kubisha zaidi ya kutoa maelezo yao ya msingi. Ni ajabu kubwa kwa mtu nje ya CUF kusimama kidete wakati CUF wenyewe hawasemi kitu kuhusu Udini ama Mmoja wa viongozi asimame na kusema mnasema Udini upo CUF, tazameni Chadema!...
Hizi ni accusation za mkosa ambazo kusema kweli siwezi kuzisikiliza kwa sababu sio Chadema waliopo mezani. Tumalize swala lako kisha tutawatazama Chadema nao kwa misingi hiyo hiyo.
Nje ya hapo bob unababaisha tu na sisi tutaendelea kusimama imara ktk swala hili la TRA.
 
defuncdelic ,

mambo vipi ,kwanza naomba nirudie kusema kuwa sina interest sana na siasa za vyama,bado kadi ya ccm ninayo..ingawa msimamo wangu ni kati ya wale wanaoamini kuwa upinzani unastahili kulelewa na kuungwa mkono kwa manufaa ya watoto wetu.

kuhusu hoja ya mswahili ...kamwe sintakubaliana naye ...kwanza nimempa datas za kweli tena nikampa na link na machapisho na web ya TRA ili aangalie uongozi ,pia kwa njia zangu nikamwambia ninayo list ya wafanyakazi wa kada za kati ambako pia hakuna ukabila,na yet nika challange anipe jina la kituo chochote tz mimi nitamuwekea majina ya staffs...cos sina muda wa kunakili majina zaidi ya 1,000 hapa! kapewa pia matokeo ya tafiti mbali mbali na mjj..yet amejifanya hazioni ,na kuendelea kujaa hapa na majina yake 10 ushee na jina la beny as if hao ndiowafanyakazi wote wa TRA wanaozidi 1,000....kweli just to be fair mswahili hajaweka ushahidi wowote wa maana kutetea hoja yake ....we have tried most of us to put reliable evidences here yet mswahili et al anajifanya hazioni ni kama as if ameingia kwenye mjadala..na jibu mkononi.

sasa mwenendo wote huo ukichanganya na mjadala kuanza kupotea njia kwa mswahili kuifanya kama defensive mechanism vimenifanya niwe bored sana, hata kuendelea na uchunguzi wangu...so i keep read this thread and i will see where and when to jump in....
mshindi yoyote katika hizi mada si mswahili, pm wala mjj washindi watakuwa WATANZANIA
 
WATANZANIA WENZANGU,

Sekta ya umma nchi hii mashirika ya umma,serikali kuu ,serikali za mitaa...walimu.,wanajeshi ets hadi leo hii haijazidi sana watu laki sita [600,000]..tanzania yetu inao watu 18,000,000 wenye uwezo wa kufanya kazi,..

Katika decade hii SEKTA BINAFSI meibuka kama muajiri mkuu wa taifa letu..mafanilikio ya sekta hii ndio yatakuwa chimbuko la kutengeneza mamilioni ya ajira...angalia mfano activity au chain ya viwanda vya bakhressa,TBL.TCC etc zimeajiri watu wangapi kuanzia suppliers,staffs,distributors,marketters,farmers ets ets...

Sasa kama kweli tutangalia ukabila tutafikia kusema ni kabila gani limejiajiri zaidi kwenye INFORMAL SECTOR ..je tutaweza kuwazuia na hawa wasiwe wakinga,wapemba ,wahindi,wahaya au wachagga..tupanue basi mawazo yetu SEKTA YA AJIRA RASMI KUMBE MCHANGO WAKE HAUJAFIKA HATA 10% YA NGUVU KAZI...TUFANYEJE? TUENDELEE KUNGOJE AJIRA ZA TRA AU TUINGIE MITAANI TUCHAPE KAZI???!!!
 
@mkandara
Hakuna mtu aliyefungiwa we have moved on from kufungia watu kwa sababu zisizo na uhakika
 
P Mikael.
Hatushangai kuwa wewe unakadi ya CCM kwasababu ww nimzugajji tu!
Wewe Tambwe,Chifupa na Fupi Mramba hamna tafauti yoyote.
Lakini sisi tunajua kama wewe ni chadema GOGO.
Ukabila upo TRA nawewe unajua wachaga
wanafanya nini pale.
Namramba amewapa nguvu sana.
Mramba hakujali hata kuuwa bandari ya Tanga.(lakini wachaga wapate)Kwahiyo bwana usilete makengeza katika swala hili.
 
Back
Top Bottom