you are right ni tunakimbilia 40...lakini unapoongelea work force unaongelea all citizens above 18yrs kutoa watoto[minors],vikongwe,wasiojiweza[tena baadhi kama si wengi siku hizi pia wanafanya kazi vema tu]....hiyo details tuliijadili kwenye mkutano wa TANZANIA BUSINESS FORUM pale movenpick royal palm mtoa mada akiwa mh iddi simba[tafuta makala zake za informal sector..ni nzuri tu]akishirikiana na watu wengine wakereketwa wa informal sector kama joseph warioba,hassy kitine,dr mosha [mzee wa NICO],MENGI.,E.MUSIBA na wengine wengi...
Lengo lilikuwa kuonyesha mchango uliosahauliwa wa informal sector kama muajiri NAMBA MOJA tanzania tangu kuingia kwa uchumi wa soko na sera za ubinafsishaji kushika kasi..........so usije kaa chini ukingoja mtu afe ,astaafu ndio uajiriwe ...JIAJIRI KWANZA..HIYO NDIO DEAL!!!!!!
[KIBWAGIZO] kuna member hapa amesema mahakama kuu kuna ukabila..kutokana na wale wazee wa mahakama ya rufaa kuwa na majina asiyoyapenda ...sikui wameshawahi kumnyima mtu haki kwa ajili ya majina yao....napendekeza wafukuzwe wote kazi tuajiri vijana fresh kama majaji wa mahakama za rufaa...maana at least bench la mahakama kuu na juzi wameteuliwa kidogo afadhali...
mnakumbuka jk kwenye mkutano wake wa kampeni tabora aliongelea ukabila akasema"....huwezi kwa mfano kufukuza madaktari pale muhimbili ukasema ni wachagga ,kwa sababu hata nikitaka kuwaweka wakwere wenzangu pale sintaweza kupata wakutosha,kwa hiyo ni lazima tukubali...kuna jamii ambazo zinapenda kusomea baadhi ya kazi..."correct me if wrong post the original link..nitaitafuta ile hotuba ya tabora na mimi nijaribu kuwaletea hapa....
Lazima tukubali wakurya wengi ni majasiri [warfare] na hawaogopi mapambano...sasa kutakuwa na ubaya gani ukiwa na idadi kubwa ya wapiganaji kutoka huko...kwanza wana interest ,moyo wa dhati...so wakati tunangojea kupata vijana wenye moyo wa mapambano kutoka huko...tuache kusajili wakurya..,wangoni,wahehe,wamasai ets ambao wanapenda kazi ya jeshi? kwa sababu tunapeleka nafasi 25 za ajira ya jeshi kila mkoa lakini wanaoomba ni hao hao na hata wakiomba wengine wengi hushindwa kuendelea kwenye mafunzo magumu ya medani...tufanyeje ...tuwabebe au tufanye for merits.
Lazima mrudi kwenye historia mjue kila jamii walikuwa na kazi walizozipenda tangu asili tunao WAHUNZI,WAKULIMA,WAFUGAJI,WAFANYABIASHARAets na hii imeinfluence hata tabia za baadhi ya makabila leo hii..PALE watoto wanapochagua carrier zao wazazi au wenyewe huvutiwa zaidi na masomo yao ya asili au FANI ZA WAZAZI WAO..mara nyingi mfano familia ya daktari haitakosa mtoto kuwa daktari ,mtoto wa barracks atavutiwa kuwa ASKARI..ETC
Tusidharau historia au role models [wazazi] kama determinant ya future za watoto wetu.