Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
2. Uliongelea James Mbatia ambaye aliajiriwa TRA bila cheti, cheti alichokuwa nacho ni cha Form VI je aliajiriwa katika mazingira gani? Alisomea Engineering kutokana na habari uliyotuletea, ilikuwaje TRA wamwajiri?
Unajua Mwanakijiji huwa ananikosha sana anapotumia neno sidhani kisha akalipa uzito kuwa ndio hali halisi. Umesha ambiwa ndugu yangu TRA kuna ukabila wewe unachojaribu kusema hata sikielewi kabisa hasa unapomtumia JK kuwa alianza na Udini kisha akarekebisha...with confidence lakini inapofika kwa TRA ni dhana tu. Sijui kulikuwepo na ukweli gani kwa JK lakini umekosekana TRA. What matters ni kwamba did JK alifanya udini ktk uchaguzi wake wa mwanzo?.. hapo ndipo hoja zinaweza kumiminika kisha wengine tutapima.
1.james mbatia alifukuzwa mlimani kutokana na mgomo wa wanafunzi. alikuwa faculty of engineering. Pamoja na hayo, ni vizuri for the sake of fairness, ukaeleza kwamba Mbatia alifukuzwa chuo kikuu kwasababu za kisiasa. vilevile ni vizuri ukaeleza kwamba alifukuzwa akiwa karibu na kumaliza[3rd or 4th year] faculty of engineering.
Mzee mwanakijiji,
Kwa msomaji yeyote yule anayefahamu kuchambua vitu ataelewa ulicha andika Umesema hivi:-
Kwa sababu watu wakianza minon'gono hii ni hatari kwa nchi na kwa jamii husika. Kuanzia wakati huo amefanya vizuri sana kwani kila anapotangaza majina zaidi ya matatu basi anachanganya watu na hivyo amezima mazungumzo ya udini.
Ni maelezo gani hayo ambayo kweli yanaweza kumfanya rais achanganye watu kila nafasi tatu?.. na kwa nini unasema toka wakati huo awalifanya vizuri?... kama hukupingana na uchaguzi wa mwanzo.
Je, wachagga walioko TRA wamelitia Taifa hasara ya kiasi gani kutokana na ukabila wao?
Hapana nafikiri swali ni ukabila pale TRA siyo hasara na faida ambayo inatokea au inapatikana. Kwa maneno mengine wakisema wameleta faida na huku wanaendeleza ukabila ni sawa?
Nafikiri ukabila ndio issue.
Huyu yuko jikoni anasema maneno hayo sisi watu ambao hatujui mambo ya pale ndani unataka tutetee kama hakuna ukabila?Mmanda alisema kuhusu swala hilo tusishangae TRA twende jeshini kwanza. Alikuwa ana maana gani?
Mwanasiasa: Wengi wanaobisha ukabila humu ndani ama hawajatafuta kazi kubwakubwa katika taasisi ya serikali, kwa hiyo hawaja-experience au ni sehemu ya wanaofaidi. Kwa nini serikali imekataa kufanya uchunguzi wa kina kuhusu malalamiko ya ukabila katika taasisi zake? tena kuna taasisi zilijitolea kufanya hili, lakini serikali ikakataa kutoa ushirikiano, inaficha nini?
FAUSTINE KAPAMA
Daily News; Tuesday,March 06, 2007 @00:07
THE Court of Appeal has quashed all proceedings and orders given by then High Court Judge Steven Ihema in a case involving the winding up proceedings of the Tanzania Independent Power Limited (IPTL).
Justices Eusebia Munuo, January Msoffe and Engela Kileo ordered that the court records should be sent back to High Court Judge Katherine Oriyo as originally listed for her to proceed with the matter. Judge Ihema has retired.
"There are no reasons recorded for taking the case out of the list of cases that were assigned to Oriyo and putting it in the list of cases before Ihema," observed the justices in their recent ruling.
Parties to the case had complained about the conduct of Judge Ihema in re-assigning to himself the list of cases that had already been assigned to Judge Oriyo. The justices said such re-assignment gave them grave concerns.
According to the justices, the individual calendar system required that once a specific judge or magistrate was assigned to a certain matter, then he remained responsible for it until its conclusion unless there were good reasons for doing otherwise.
"In the circumstances, we hereby quash and set aside all proceedings and orders made by Ihema and order that the record be remitted to Oriyo for her to proceed with the application which was filed in the High Court on September 24, 2003," they ruled.
The ruling appeared for the time being to favour VIP Engineering and Marketing Limited against fellow shareholders, Mechmar Corporation of Malaysia in what has turned out to be a twisted path to liquidation of the equally controversial electricity generating company.
It all started with a notice filed at the High Court by the Malaysian company on September 8, 2003 for intention to file in the court the award issued earlier by the London Court of International Arbitration.
Some two weeks later, VIP Marketing also filed a counter application that challenged the jurisdiction of the London court and to have the award set aside. Mechmar Corporation also later petitioned the High Court to have the award enforced.
However, the application could not be heard as VIP Marketing had applied for revision orders at the Court of Appeal. VIP Marketing Director James Rugemalira appeared to be happy with the ruling that takes the whole case back to his application of September 23, 2003.