Naam Bwana Philemon Mikael
Kwenye kesi/ mahojiano ya jambo forums ni sawa na kesi ya madai, based on balance of probability na weight of evidence is based on proving a point.
Ikitolewa jukumu lako ni wewe mjibu hoja kui-disprove kama una maelezo tofauti basi unatoa, sio fair kumtaka mswahili kuprove maelezo yake badala yake kama unashindwa basi kiri hivyo, kama mswahili katoa data za nssf basi ni jukumu lako wewe kuzikanusha sio kutaka nyaraka nyingine...wewe pia unaweza kutoa kama una mashaka...
Ulikuja na maelezo kuwa una wafanyakazi elfu moja wa TRA umewatoa wapi? hukuulizwa hivyo uliachiwa utambe na data zako lakini zilikosolewa kuwa haziko accurate na mswahili, umeshindwa kucome back with an updated version au list ya majina yote elfu moja licha ya mswahili na wengine kukuomba hivyo....huna moral authority ya kutaka support ya data za mswahili iwapo wewe mwenyewe umeshindwa kuprove zako!!
Hivi wewe hujui kuwa suala la Manji ni magazeti ya MENGI [Oops mchaga] kutaka kumuumbua DAU kwa vile kulikuwa na maelezo kuwa mheshimiwa kapewa shortlist ya majina ya DAU na KIMEI [mchaga] kuwa mmoja wapo atakuwa gavana benki kuu assessment itaendelea... sasa wakaanzisha na gazeti kabisa kuivalia njuga licha ya kuwa Maghala hayo yalikuwa ni sawa kabisa kiutaratibu na wadau wote husika walihusishwa lakini facts zikawa twisted in such a way kumharibia dr dau...lakini mengi ameonekana kuwa loser in the end manake alifanya hivyo wakati kukiwa na kampeni maalum ya kumpamba kimei as finance genius wakati ukilinganisha mafanikio ya DAU at NSSF na Kimei at CRDB utaona wazi kabisa DAU ana lead by far!
Ukweli kuwa na wewe umeamulia DR DAU inaonesha kabisa kuwa upo aware na conspiracy ya makusudi dhidi ya DAU.
Data za NSSF zinaonesha dhahiri kabisa kuwa DR DAU ndio the most successful DG tangu uhuru lakini Philemon Mikael unabisha...ama kweli nadhani hawakukosea waliokupachika makengeza!
Niliona ni-intervene kufafanua hayo...mada ya ukabila iendelee lakini