Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
who is TU?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mjadala huu ambao ulikuwa nao kilio cha wengi umeishia wapi?Naomba na mimi niwepo kwenye mjadala huo wa Mwanakijiji.
Nani na nani hawataki kutoa Contacts zao! Ni wangapi wamekubali kushiriki huo mjadala?tafadhali usiweke tamati au kuufuta nipe muda nitakuja na wazo jipya soon!watetezi wa ukabila hawataki kunipa contacts zao! I'll be forced to cancel it.. maana nimewaomba wazee wa watu wakakubali kuja kuzungumzia hoja baada ya hoja..! lakini watetezi wa ukabila wanagwaya!
Ushauri wangu Usifute mahojiano kuna yale ambayo yaliletwa humu kama evidence ya kuwepo kwa ukabila kwanini tusiyachukue na kuyajengea maswali na ukawauliza hao wahusika na tukamaliza na hili?Na kama kuna wenye data zaidi za TRA waziweke hapa ili tuziunganishe na tuzijengee maswali na maswali yatajengeka katika msingi wa kuna wa dhana katika kuuliza.Kwani wenye uhakika wa data hizo hawataki kuzitetea. Je unaonaje kuhusu hili?hadi hivi sasa. ni watu wa TRA tu ambao wako tayari kuzungumza...! wapiga kelele za "ukabila" wao wapo tu