Mwanagenzi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2006
- 738
- 273
Kwani Mbunge wa Kawe ni mMachame?? Au...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Admin.
Naomba mamoderator wako uwatazame vizuri wengine wakishindwa mjadala wanatumia kofia ya Umoderator kutuumiza wanyonge.
wameomba interview na sisi tumekaa Gado jamaa wameingia mitini.
Mwanasiasa.
nitakutumia PM na nikupe watu wa TRA kule wakupe ukweli taasisi hiyo ilivyobalika na kuwa NGO ya Kilimanjaro.KAMA unahitaji msaada wa nauli tutakuchangia kwani tunakukubali kwani huongozwi na hisia za watu.
Kalamu na Jasusi.
Nyinyi mmeleta ushahidi gani wa sayansi? tunajua yenu yanakwenda kwa TRA kuwa mali ya kilimanjaro ndio maana hata DPP mnamtolea macho, sisi watu safi hatukosi usingizi hata kama DPP atakuwa masawe kwani hatuna vya haramu au vitendo haramu kama kina Allex Massawe ambao tumeshuhudia baada ya kukamatwa na polisi hatujaona tena ujambazi kuendelea.
Mramba.
Ni Mkabila sana na sasa ameingia hadi kwenye Ujimbo(Rombo) wachagga wa Rombo tu ndio anawasaidia sana kisa ashindane na Machame.
Huyu Mramba lilipobomoka daraja la Goba- bagamoyo hakuondoa hata mguu wake kwenda kutizama daraja huku akiwa waziri mwenye dhamana hiyo.
MRAMBA NDIYE ALILAZIMISHA NDEGE BOMU YA RAIS Inunuliwe hata kama NYASI WANANCHI TULE, kisa kuna kamisheni yake, mtu huyu hatufai.
Mwanakijiji kweli sasa nimeamini ukabila au kamaunavyouita kujuan kupo maana hadi world bank nako kuna kujuana!!! http://news.bbc.co.uk/2/hi/americas/6558551.stm. Duh sasa hii ni hatari kweli ukabila, kujuana au undugunization sasa naamini upo pia Tanzania. Je sasa tutaumaliza je? kam sio kuupunguza?