Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Ila kwenye kusema kuwa analeta ujimbo.. I thought kuwa Mramba ni mbunge wa Rombo..and mbunge ndio anasimamia maendeleo jimboni mwake? hivi kuna mtu yoyote ana taarifa za ndege ya rais kuusu mwaka iliyokuwa manufactured, maana sidhani kama ni bomu just that watu waliongezea bei.
 
Admin.
Naomba mamoderator wako uwatazame vizuri wengine wakishindwa mjadala wanatumia kofia ya Umoderator kutuumiza wanyonge.
wameomba interview na sisi tumekaa Gado jamaa wameingia mitini.

Mwanasiasa.

nitakutumia PM na nikupe watu wa TRA kule wakupe ukweli taasisi hiyo ilivyobalika na kuwa NGO ya Kilimanjaro.KAMA unahitaji msaada wa nauli tutakuchangia kwani tunakukubali kwani huongozwi na hisia za watu.

Kalamu na Jasusi.

Nyinyi mmeleta ushahidi gani wa sayansi? tunajua yenu yanakwenda kwa TRA kuwa mali ya kilimanjaro ndio maana hata DPP mnamtolea macho, sisi watu safi hatukosi usingizi hata kama DPP atakuwa masawe kwani hatuna vya haramu au vitendo haramu kama kina Allex Massawe ambao tumeshuhudia baada ya kukamatwa na polisi hatujaona tena ujambazi kuendelea.

Mramba.

Ni Mkabila sana na sasa ameingia hadi kwenye Ujimbo(Rombo) wachagga wa Rombo tu ndio anawasaidia sana kisa ashindane na Machame.
Huyu Mramba lilipobomoka daraja la Goba- bagamoyo hakuondoa hata mguu wake kwenda kutizama daraja huku akiwa waziri mwenye dhamana hiyo.
MRAMBA NDIYE ALILAZIMISHA NDEGE BOMU YA RAIS Inunuliwe hata kama NYASI WANANCHI TULE, kisa kuna kamisheni yake, mtu huyu hatufai.

Ni uchangiaji wa aina hii ninaouzungumzia. Hauna miguu, mikono, ubongo wala mkia. Ni kichefuchefu tupu. Data ziko wapi?

Usitegemee majibishano nami zaidi ya haya.
 
Muungwana Kalamu heshimu mawazo ya watu! punguza ukali wa maneno kaka!!!....muungwana Invicible kasema..ficha upumbavu wako, usiifiche hekima yako! Ukiaandika hivyo hapo juu unaonekana punguani zaidi ya mswahili! tangu lini wrong na wrong ikawa right? you are past that kaka! Vumilia watu waongee hata kama hukubaliani nao! Heshimu michango yao. Muulize invicible angekuwa na kichefuchefu.....angefukuza wangapi humu??........sasa imagine watu hamuonani wala hamjuani mnatiana kichefuchefu, sasa spika Sitta na wabunge wake miatatu (including akina MALIMA na wengineo.....si ndo watamalizana kwa kufukuzana..bungeni..,..maana pale watu wanaongea pumba kweli kweli!! ........we learn ..though in a hard way!

Poa..basi, keep well!
 
ndugu yangu kalamu ,huyo ndiye hasaa kina mswahili ,hata utoe data toka mbinguni watapindisha na kuku demoralize...motto ya BISHANA MPAKA MWISHO ndiyo hasaa zake...dawa ni kumuacha aandike analotaka as long as kuna wasomaji[mbona kiu na ijumaa yanaongoza kwa circullation ,ina maana yanaandika vizuri kuliko MWANANCHI?....Mara nyingine watu watataka kuona akili za aina ya mswahili zinafikiriaga nini...

wakati mwingine huwa namshangaa alafu namsikitkia..naomba Mungu nchi yetu isije kupata kiongozi mwenye mawazo ya aina hiyo...maana ndio kusema wakazi wa pembezoni mwa nchi wote watakuwa wakimbizi.....
 
Phillimon mikeal(chief mareale).

Ulileta data gani? sio wewe ulikuja na wanafanyakazi 1000 bila majina wala vituo na kutuambia ni wafanyakazi wote wa TRA?lini ulitutajia watendaji? sio wewe uliodanganya umma humu kuwa Lauwo hana mdogo wake TRA? na nikakuweka hadi alipo? sio wewe uliodanganya kuwa Luoga nae hana mdogo wake TRA? nikakusuta? sio wewe uliodanganya Cleopa msuya kuwa si Mwenyekiti wa Kilimanjaro Development Fund? nikakuwekea hadi link za huo umoja? sio wewe?

Nilikutajia Ma regional revenue officers wachagga HADI Holili KWA Mramba, ambao ni wachagga watupu mbona wewe hukuja na majina tofauti? na hukuthubutu hata kututajia ma officers incharges.
sio wewe uliyoleta orodha ya wafanyakazi kama 40 nikakutajia wako wapi?na walikuwa maofisa wa chini kabisa si watendaji wa TRA? SIO wewe uliodanganya kwenye mjadala huu kuwa hao watu 40 uliowaorodhesha ambao ni custums Guards kuwa ni graduate watupu? sio wewe uliandika majina ya baadhi ya wafanyakazi wa TRA na kukosea majina, mimi nikaja na kukueleza huyu ni Issa bin fulani?
sio wewe ulioleta data za Mkullo ambazo si sahihi na kujaribu kuudanganya umma?
kwa welevu tayari wamekujua kama ni mtu ambaye huna data na maandishi yako ya nyuma yote yako wanaona pumba zipi na mchele upi, uko hapa kwa jazba na hasira za kikabila tu. na moyo huo wa kikabila ndio uliopelekea hadi ukaanzisha chama cha siasa chenye malengo ya kuendeleza wachagga. watu kama nyinyi tutapigana nanyi hadi kufa.

ukabila ndio unaopelekea hadi watu wa Lindi -Mtwara wakose fungu la barabara yao.

Kalamu.

wewe si mhariri au Mwalimu kazi yako kama jina lako ni kuandika tu. kama unaona kichefuchefu labda mjamzito na mara nyingi huwa stage za mwanzo wanawake wengi waja wazito huwa na kichefuchefu.kwa maelekezo zaidi muone daktari.
 
MSWAHILI
Taratiiiiiiiiiiibu punguza speed kuna wagonjwa wa FLU nao pia wako dirishani wanasubiri hizohizo
 
Mwanakijiji kweli sasa nimeamini ukabila au kamaunavyouita kujuan kupo maana hadi world bank nako kuna kujuana!!! http://news.bbc.co.uk/2/hi/americas/6558551.stm. Duh sasa hii ni hatari kweli ukabila, kujuana au undugunization sasa naamini upo pia Tanzania. Je sasa tutaumaliza je? kam sio kuupunguza?

Kwanza, hii inaonyesha kwamba kujuana kabla ya kupeana favours always, always kupo, whether ni kwa misingi ya kikabila, kimapenzi, kidini nk. Lakini itakuwa makosa, kwa mtazamo wangu, ku-equate uwepo wa wanawake wazuri sehemu fulani na favour, au kabila fulani na favour, unless una data za kuonyesha kwamba hao wamekuwepo hapo kwa njia za upendeleo! Halafu kama alivyoumbuliwa huyu bwana wa world bank, nasi tunatakiwa kuwa na ujasiri wa kufanya hivyo kwenye hoja zetu, kudhania tu haitusaidii.

Pili, mimi naamini kabisa kwamba in the long run favours hazimsaidii mtu yule anayepewa favours. Wala siyo kitu cha kutamani. Kupata kwa juhudi yako mwenyewe ndiko kunampeleka mtu. Na taifa linapokuwa na watu wa aina hiyo, basi nalo linakwenda mbele na kuyapita mengine haraka. Nitatoa mifano:

  • Idi Amin aliwafukuza wahindi akagawa maduka kwa jamaa zake. Leo wapo wamebaki wangapi? Mbona serikali ilianza tena kuwaita iliyowafukuza warudi?

  • Watanzania tulitaifisha mali za watu kwa itikadi za wakati huo, tukazifanya kuwa zetu. Leo mali hizo zipo? Huko Zimbabwe mnaona kinachoendelea? Mashamba waliyochukua jamaa zake Mugabe yamegeuka kuwa vichaka.
Believe me, ukipewa favour unaweza kufikiri umepata kumbe umepatikana. Ni sawa na kuibia mtihani, unaiambia akili yako kwamba huwezi na kweli unaishia kutoweza.

Lakini muhimu zaidi ni kwamba vitu kama ukabila, rushwa, udini, vinachangia saaaana kudemoralise na ku-misplace juhudi za watu. Msingi wa maendeleo ya nchi yeyote ni watu waliolelewa kwenye misingi ya kupata kutokana na JUHUDI ZAO INDIVIDUALLY! Hivyo ili kujenga taifa, ni muhimu mno kukemea vitu hivyo. Kupata kuwe kunazingatia kanuni zilizowekwa kuzuia mambo ya favouritsm.

Kwa maana hiyo, kama kanuni za kuwapata watumishi zinafuatwa inavyostahili, mimi sitajali, na nasema kwa dhati kabisa, kama idara moja ya Serikali itakuwa na Wandengereko asilimia 50, lakini wanafanya kazi nzuri sana. It could be that Wandengereko wana natural skills na passion na hiyo kazi na ndiyo maana wapo kwa wingi pale na itakuwa makosa kuwaondoa just because unataka ku-balance.

Kuna utani Wapare ni bahili - wouldn't you trust them with your money?
Kuna utani Wakurya wanapenda uaskari - wengi watakuwa askari?
Ndugu zangu washomile - wouldn't be surprised to find some professors there!

This diversity can be of great use for us. We just have to put the right ones in place and then challenge them to deliver, which is the bottom line. Siyo ku-balance ...
 
Mswahili Vipi,...matatizo Yako Ya Nyuma Hayajaisha!!!!!!!!!! Kama Bado Tuendelee Tutakusaidia Kukusukuma Hivyo Hivyo...utaridhika Tu!!!! Si Umeambiwa Hapa Kuwa Tatizo La Barabara Ya Lindi Halikuanza Leo...mramba Kakaa Pale Miezi Michache Tu,....lakini Kabla Yake Amekuwepo Mama Anna Abdalah 1995-2000...pia Kuna Mawaziri Wengi Wakusini Kuanzia Rashid Kawawa[waziri Mkuu Mstaafu],edgar Maokola Majogo,kingunge Ngombale Mwiru[mtu Wa Kilwa Huyu...,bakari Mbonde..na Wengine Wengi..kwa Nini Umbebeshe Mzigo Mramba Peke Yake Aliyekaa Muda Mfupi Kuliko Wote[sikumbuki Waziri Mwingine Wa Ujenzi Aliyewahi Kutoka Kaskazini...nadhani Hii Inatokana Na Mimi Kuridhika Kuwa Yeyote Atakayekuwa Pale Au Popote Kwenye Jamhuri Hii Nauona Kwanza Utanzania Wake.........
 
Phillimon mikael.
Wewe ndiye mwenye matatizo tena mazito hadi umechukua vijana wawili wakusaidie Duuh!.kila ulichoweka ni uongo mtupu. niliupangua uongo wako kila nukta. Nakuuliza tena hao wafanyakazi 1000 wa TRA wako wapi?
mie sihitaji msaada anayehitaji msaada ni Mramba,Kittlya, Alex Massawe au Mbowe ambao wana matatizo makubwa ya ukabila.

Philimon kama nyinyi mnaweza kutoa misaada basi mngewasaidia wachagga wenzetu ambao wanahangaika na kupiga viatu kiwi, kuzaa ndizi kwenye mabaa.
au msaidie ndugu yako Mrema ana matatizo ya sukari.
unachotakiwa ni kujibu hoja na si kuleta blaah blah tu. mliwakodisha watu waje kusaidia na mmegoma kuwalipa nao sasa wamekataa kuja kuwajibieni kazi unayo mzee makengeza kwani kila ukweli wewe huuoni.
 
Phillimon mikael.

ACHA uongo Kawawa.bakari mbonde hata Kingunge hawajawahi kuwa mawaziri wenye dhamana ya mabarabara.

aliyetenga Billion 17 jimboni kwake rombo za barabara ni Mramba(mr.Fupi), na ni yeye ndiye aliyepanga barabara yaDar- Lindi -mtwara bajeti yake iwe billion 1 mara kumi na sita pungufu kwa bajeti ya jimboni kwake. suala hili la upendeleo wa kikabila lilizungumzwa bunge lililopita, kudai kuwa alikaaa muda mchache au mwezi hakuna maana yeyote hata kama angekaa siku moja na siku hiyo akapitisha barabara ya billioni 17 jimboni kwake bila maelezo ya maana, tutamuona ni mbaguzi tu.

kwa kauli yako ya hapo juu kuwabeza kina Mzee Kawawa, Kingunge Ngombare, Annah Abdallah kuwa wao ni watu wa kusini kama lawama wapewe wao na si Mramba ambaye anatoka kaskazini. kauli hiyo inahitimisha mjadala wetu wa ukabila kuwa wale mawaziri wa kusini ilitakiwa wafikirie makabila yao kwanza kuliko Utanzania. unatushangaa kumlalamikia Mramba ambaye ana dhamana ya kufanya mambo ya Kilimanjaro tu.

Phillimon kumbuka kuwa Mramba tunamlaumu kwa ubaguzi kama waziri kutumia madaraka yake kuwabagua watu wengine ili kupendelea kwao.uwaziri ule si wa wachaga, na ile bajeti ni ya nchi si ya wachagga.

sisi tulijua Mramba atatufikiria watanzania wote lakini kwa kauli yako inashiiria kuwa Mramba na sampuli yake wako kwa ajili ya kabila lao. na wengine kama wakina Kawawa walitakiwa wapindishe bajeti na kulenga kwao, jee wakwere wasitegee kuwa na hospital kwa vile hawana waziri wa afya mkwere? Mwakyusa apeleke Mbeya tu kwa kufuata legacy ya Mramba?.

kwa kauli hiyo TRA nako wasilaumiwe kujaza wachagga kwani viongozi wanatoka Kilimanjaro, sisi wengine nasi tukiingia tutizame watu wetu tukijafanya kufanya fair play(haki,uadilifu) walioifanya kina Mzee Kawawa tutakuja kuchekwa ujinga kama wanavyochekwa watu wa kusini.hapa napata picha siku daraja la Chalinze lilipobomoka waziri mwenye dhamana Mramba hakuenda ilibidi rais ajisogeze.jibu umetupa Phillimon Mikael kuwa hakosi usingizi na jambo lisilo la wachagga. huu ndio ukabila tutakaokesha kuupiga vita. tunataka Utanzania mbele, na tutawaenzi wazee wetu kama Kawawa kwa uadilifu wao ambao leo wanaonekana wajinga na kina Phillimon Mikael.
 
Phillimon mikael(Chief mareale).

nasubiri majibu yako kwa kauli yako ya kikabila uliyoitoa eti kuna mawaziri wa kusini? mimi nijuavyo ni mawaziri wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania wana dhamana ya kusimamia maendeleo ya nchi nzima bila kujali wao wametoka wapi? kwa kauli yako ina maana mawaziri wa kaskazini hawako kwa ajili ya kumsaidia JK na serikali yake?

Nakufahamisha kuwa hakuna mawaziri wa kusini ila labda nyinyi wenzetu labda mnao mkakati na mnao mawaziri wa Kilimanjaro na si wa jamhuri ya Tanzania.

hapo kupeleka kila kitu Kilimanjaro, huo ndio ukabila. wangefanya kwa kofia ya ubunge na si uwaziri dhamana waliopewa na rais kumsaidia kazi za nchi nzima si uchaggani tu kama unavyo advocate wewe.

ndio maana Mramba humtumia Kittlya kuwabana (kuwalazimisha)wafanyabiashara ambao si wachagga wachangie miradi ya jimboni mwake.
ndio maana Freeman Mbowe misaada yake mingi tu anapeleka Kilimanjaro kwa tiketi ya uenyekiti wa Taifa wa chadema? last time amepeleka kanisani Kilimanjaro jee hakuna makanisa yenye kuhitajia zaidi ya hayo ya Kilimanjaro?

au anatimiza kauli yako kuwa ni mwenyekiti wa kaskazini na huko Songea nao wafanye kivyao? kwa kauli yako Phillimon mikael kuwa Chadema haitasaidia watu wa maeneo mengine? kama unasema Mramba tusimlaumu kwa kujimegea bajeti kubwa ya barabara jimboni kwake, na waliokosa barabara watu wa kusini wawalaumu mawaziri wa kusini (umewabatiza wewe).

Hivyo hivyo Chedema nao watawatumikia watu wa kasikazini kwani viongozi wakuu wanatoka kasikazini. jee kila mkoa ufungue chama chake kwa kauli yako? kwani si rahisi watu wa Lindi kufikiriwa na viongozi wa Chadema ambao wanatoka kasikazini tu.
Mramba tunamlaumu ana wajibu wa kuendeleza kusini kwani yeye alipewa dhamana na serikali kuendeleza nchi nzima na pia zile si pesa zake au zilizochangwa na Harambee ya wana Rombo ni mali ya serikali.

Mwisho nakwambia PM kuwa hakuna waziri wa kusini au mashariki au magharibi labda nyinyi mnao wa kasikazini. kuna mawaziri wa Tanzania wenye asili ya maeneo mfano kusini. na kila waziri aliopo madarakani yupo pale kutekeleza Ilani ya chama chake na mipango ya serikali nzima. Acheni ukabila ndugu zangu.
 
Mswahili.
Ukiamua kutulia na kuweka vitu unatisha Mwanangu, Maneno mazito na ya maana hapo juu wenye masikio wamesikia. Hii itabidi nimprintie Mzee Kawawa na Kingunge.
 
mswahili ndie maana nimekuambiwa matatizo yako ya nyuma hayajaisha unahitaji kukunwa au kupigwa msasa hadi uelewe...hasa pale unapolazimishia nimesema maneno ambayo hayapo,hakuna mahali niliposema hao mawaziri niliowataja kuwa wote walikuwa mawaziri wa ujenzi[miundombinu]....niliowataja wote ni watanzania wenye asili ya kusini...na huko nyuma ulishaelimishwa sana kuhusu mipango ya maendeleo au bajeti hazipangwi na mtu mmoja[waziri] bali bajeti ni kwa ajili ya utekelezaji wa SERA...au kipindi cha chama kimoja tulikuwa na MIPANGO WA MAENDELEO WA MIAKA KUMI...UKAJA WA MIAKA 25...BAADAYE PALE KIZOTA KAMATI YA KINGUNGE NGOMBALE MWIRU IKAJA NA MUELEKEO WA MAENDELEO KWA MIAKA YA 90...KATIKATI YA UTEKELEZAJI WAKE MWAKA 1995 UCHAGUZI MKUU TUKAAZA NA UTARATIBU WA ILANI MIAKA 5 ...MITANO..NA PIA TUMEKUWA NA MIPANGO MAHSUSI INAYOANDALIWA NA SERIKALI KAMA MKUKUTA ETS....PIA ULIAMBIWA NAMNA BARABARA ZA KILI ZILIVYOJENGWA KATIKA ULE MPANGO WA STABEX ZILIZOTOLEWA KUJENGA MIUNDOMBINU NA KUBORESHA UBORA KWENYE MAENEO YANAYOLIMA KAHAWA TANZANIA..KAMA UNAKUMBUKA MAUZO YA KAHAWA YA TANZANIA HAPA KATI YALIPOROMOKA SANA,HASA KUTOKANA NA UBORA KUSHUKA NA BEI KUANGUKA,...YOTE HAYA UNAKUMBUKA BASI TU UNAJIFANYAGA HUKUMBUKI..UNAKALIA KULAUMU TU!!
MIMI NAFIKIRI KAMA HUWEZI KUMWAGA DATA ZA IDARA NYINGINE TUCHANGIE..BASI ...MAANA KARIBU MIEZI SITA ITAFIKA ..IKULU ,UJENZI .VYUONI...MAHOSPITALINI ETS HATUJAPITA..SANASANA UMEPITA NA KWA WACHOMA NYAMA ,WAPIGA KIWI ETS AMBAKO TUNAKUBALI KUWA NA KWENYEWE HAO WACHAGGA WAMEJAA[TEH ,TEH,..KIDDING!!!]
 
Pjilemon Michael nilikuuliza maswali huko nyuma lakini naona ulikuwa bize
Je unaweza kunijibu hayo maswali sasa?
 
Phillimon Mikael.

Asante kwa matusi yako hapo juu hii ni dalili ya kushindwa hoja, najiuliza utaweza vipi kuongoza nchi kwa matusi namna hii? mimi sitakujibu matusi wewe endelea tu wala usikhofu. by the way mimi si Muanglikana, ila wafuate Conservative wenzako au Muulize Michael portillo watakwambia habari za kukunana.
kweli nimeamini Chadema ni chama cha wachagga ambao mmekopi kila kitu toka conservative hadi tabia hizi chafu za kukunana? nilijua mmefuata mkondo wa conservative katika ubaguzi tu, kumbe mmefika hadi huko? safi sana.

back 2 the topic ni wewe uliowataja mawaziri wa kusini ndio wa kulaumiwa. maandishi yako yapo juu yanakusuta, au ndio makengeza ya akili? mimi nilijua una makengeza ya macho tu kumbe hata akili yako inashindwa kujua post zilizopita umesema nini?

kwetu sisi kina Mzee Kawawa, Kingunge na Mbonde NI mashujaa na tutawakumbuka kwa uadilifu wao.kweli hawakuiba na kujipendelea majimboni mwao. historia itawakumbuka kwa nidhamu yao kwenye uongozi. ujinga wao ndio amani uliyonayo wewe sasa hivi.

umethubutu kuwabatiza kuwa ni mawaziri wa kusini? kweli umetuzindua bwana Mikael.

kwa minajiri hii ndio maana alipokufa chief makwaia wewe hukuandika tanzia kama ulivyofanya kwa mareale? na ukang,aka kuwa kwanini thread ya mareale imefutwa? na ilikuwa haijafutwa, Admin akakwambia tizama vizuri haijafutwa.

watu wa chifu Makwaia inabidi waje kumuandika chifu wao humu kwani kila mtu na kwao kama afanyavyo Mramba, na pia waziri mkuu mstafu toka kilimanjaro aliwahi kusema kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe hatujua kuwa usemi ule na wako wa kusema mawaziri wa kusini ni katika kupalilia ukabila.

Nakuuliza tena bajeti ya mwaka jana ya Wizara ya muindo mbinu aliyesoma ni waziri gani kama sio Mramba (fupi)? na alijipendelea kwa billion 17 jimboni kwake, Mbunge wa Nzega Lucas alitishitia kutoa shilingi na Mbunge Mudhihir m.Mudhihir nae alilalamika sana juu ya kitendo hicho cha kibaguzi. EL ilibidi afanye kazi ya ziada kumsaidia Mramba (short chases) ili bajeti ipite tizama kwenye Hansard.

Mikael huongei na wajinga hapa watu tuna rekodi zote.
Jiulize kama Mzee Kawawa angekuwa na dhamana ya benki kuu usingesikia kuwa Benki kuu imeunguzwa, lakini watu wa kabila fulani walipokabidhiwa dhamana benki kuu walithubutu hata kuichoma moto ili waibe. kweli serikali inabidi ifanye extra supervision maeneo wapokuwepo kina Mikael. ingekuwa ni Wa Nigeria basi tungewaita WAIBO.
 
Mikael.
Tunajua kwenye suala ya ununuzi wa ndege ya rais, kwa vile atatumia dada yenu mlituambia hata majani tule lakini ndege lazima inunuliwe, na kulikuwa na ten percent yenu mle, deal ile ni Mramba,Y. Mushi na mama anna Mkapa leo mmetuletea ndege bomu.

mzee Kawawa asingefanya hivyo wala Kingunge na binadamu hutakiwi kuwa na kauli za kijeuri kwa wananchi wako kama hizi za kibabe kuwa mtakula hata majani ila mjadala wa ndege haupo, au kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe wakati mizigo yenu nyinyi inabebwa na serikali. na mkamtia jeuri hadi shemeji yenu nae akaja na kauli za acheni uvivu wa kufikiri n.k.
ukabila nuksi jamani.
 
mswahili ndugu yangu mbona sioni mahali nimetukana,kiswahili kigumu labda,,..mimi nimemaanisha upigwe msasa ili uachane na hoja zako za kikabila au kudhani watu wote wanafikiri kama wewe...SISI WOTE NI WATANZANIA..tujadili namna ya kujiletea maendeleo!!!!!!!!!
nakubali kabisa wote uliowataja ni watanzania waadilifu...lakini kaka mzee kingunge bado ni yule mjamaa wa imani msaidizi wa karibu wa mwalimu kwenye mambo ya sera na chama au naye tayari kashauweka ujamaa karibu na kuwa muwekezaji???? eeh ubungu bus gate collection za watu zaidi ya 10,000 wanaofika pale kila siku @ 200na magari zaidi ya 2000 @300bado tsh 300 za magari karibu 150,000 yanayoingia kuanzia kariakoo hadi posta kwa siku [tena 300 ni kwa saa].........piga hesabu haraka mswahili mzee ,mama ,na victor kinje wanapata shilingi ngapi kwa siku...teh teh[just take this light sio unatoa macho....unaonaje mdanganyika]...
 
Back
Top Bottom