mTZ_halisi
Member
- Oct 26, 2007
- 82
- 2
Mungu saidia wanyonge, wanyanyue toka mavumbini kwa mkono wako
usioshindwa wala kupingwa!!! Tunaekea kwenye shimo kubwa sana watanzania ...sisi watoto wa wakuliwa (wakulima) tutaendelea kuwa maskini hata tuliofluke kwa bahati bahati na kupata vidigrii tutaishia kukosa ajira
bila kuwa na kiburi hauwezi kukata ngebe za watu,Mie nipo kutetea haki tu,Mnyonge mnyongeni ila haki yajke mmpe..ndio maana siku zote siwezi kukumbatia mafisadi ..
nitasema ukweli daima uongo kwangu mwiko
Nitasema Ukweli Daima uongo Kwangu mwiko. Ulicheza magwaride ya chipukizi nini?
Wanasema All politics is local. Siasa haina maana ya kusema ukweli bali kuwashawishi watu. Pata kitu cha kuwashawishi watu na usitegemee ukweli kuhamasisha umma.
Wakoloni walitaka wachungaji wapunguze idadi ya ng'ombe hili kuzuia uharibifu wa mazingira na walikuwa na ukweli. Lakini Nyerere na TANU, walitumia All politics is local na kutoa ahadi kwa makabila ya wafugaji kuwa tukipata uhuru wataendelea na mila zao na kufuga ng'ombe kiasi watakacho. Na wakashinda uchaguzi.
Naelewa kabisa baadhi ya watoto wa vigogo wako fit kutokana na maandalizi yao. Lakini wale wasio fit kupata kile wasichostahili kunanishawishi kuwa nyuma ya msemo All politics is local. Kuwa na mtoto mmoja wa mkubwa ambaye ni TUTUSA pale BOT, kwangu mimi tayari nimepata spinning point kuhusu maovu ya CCM.
I am so sorry for you, usingeandika hivyo.... To a normal person that shows how low your IQ is. dont ever generalise issues, kama ulikuwa una ushahidi kuwa m1 au wawili au wote wana matatizo una haki yakusema lakini usisupport such issues in that way, it shows you have zero reasoning power
Sorry if i offend u, but be precise man!!
They say if u argue with a crazy man u both will look crazy... so I wont argue with you.
But I know some of the listed and they have good qualifications (good 1st degrees plus Masters attained in and some outside the country) . What you are looking for is unproductive argument... If you can sit down and support uzushi while you know is uzushi, something must be wrong with ya.
The good thing is I lecture and I have come across people of your attitude. I should take this opportunity to educate you that scientifically whatever conclusion you come up with must be true (must end to the same results) even if tested ten times with different people who are aware of the testing procedures and at a precise testing environment. I think the data given are not enough to come up to that conclusion.
Kwa hayo machache utajudge wewe kama IQ yako ni ngapi
As far as I know these individuals do not oversee our economy! Your motive here by itself is misleading. And if I may... "The Board of Directors of the Bank of Tanzania (The Bank) is a supreme policy decision body in the Banks hierarchical structure..."Ndugu wana JF kuna kaemail kalikua forwarded kwangu ,nilipokasoma nilipatwa na mshtuko lakini inshallah nguvu zangu zimenirudia leo na nachukua fursa hii kukawakilisha kwenu (in my own version) but i hope it will still be enjoyable to read........ enjoy!
Hii ni habari halisi na ya uhakika kutoka ndani ya BOT. Je unawajua walioajiriwa kusimamia uchumi wa nchi yetu na kutuletea mafanikio? Pokea taarifa ya wateule hawa.
Nakutajia kwanza wachache ili wewe na watanzania wenzetu watafakari kama kweli ndege yetu itaweza kupaa kama bwana Lowasa alivyosema, au tutabaki ombaomba kama Balali anavyodai!!!. Ama tunageuzwa kuwa wadanganyika!!!
Ndani ya Mtungi wa BOT walioqualify kuajiriwa kwa sifa na vigezo vinavyotambulika na BOT ni pamoja na hawa wafuatao:-
Pamella Lowassa, Filbert Frederick Sumaye, Zalia Kawawa, Harieth Lumbanga,Salama Ally Mwinyi, Rachael Muganda, Sylvia Omari Mahita, Justina James Mungai, Kenneth John Nchimbi, Blassia Blassius William Mkapa, Violeth Phillemon Luhanjo,Liku Irene Katte Kamba, Thomas Mongella,Jabir Abdallah Kigoda etc. Hii ndio success team, hapa nani atamuwajibisha Dalali alas Balali?
Je KAPUKU MWENDE(a.k.a KAYUMBA) ATAAJIRIWA KWELI HAPO?
Hawa ni wale wenye uhusiano wa moja kwa moja na wazito wa nchi, wapo wengine ambao ni ndugu wa karibu au kabila moja na waheshimiwa. Ni vigumu kuamini kuwa hii ni bahati mbaya(mere coincidence).
Wana JF, ni juu ya watanzania kuamua kuendelea na viongozi wabovu na wenye ubinafsi au kuwaambia ukweli hata kama utawauma na kwa vile wao ndio miungu basi watatoa adhabu za kukufukuza katika bustani ya Eden.
Rhuksa kupayuka utakavyoona inafaa, na kama kuna cha kuongeza na kiko ndani ya uwezo wangu, nitakuongezea.
..kwahiyo atasaidia kuitangaza BOT kupitia nyimbo au?
..huku ndo kutengeneza ajira millioni kadhaa!?
Hapo Mwanakjj nakuunga mkono na kuvulia kofia kwa uchambuzi makini. Chukua zingine TANO