Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Kama huu ni ukweli jamani Tz tumeisha kabisa!!

Baba atunyonge,
Mama atutukane,
Mtoto atupunje,
na mjukuu naye?

Tanzania wake up please!
Hatutavumilia upuuzi huu na lazima tu-act sasa!
wajukuu wetu pamoja na digree zao watakua mahausiboy/girl wa wajukuu wa hao mafisadi

hii silikali ndiyo bomu kuliko:-
zote ulimwenguni
zote duniani
zote africa
zote afrika mashariki
awamu zote Tanzania

Ushauli wangu
Chama kiundwe ndani ya Jambo F
Turudi wote Tz tuungane na na wenzetu kjjni
tumng'oe huyu adui ccm mbaya
 
naomba kumtoa kijana THOMAS MONGELA,huyu kijana ni kichwa ile mbaya..amemaliza mlimani na ana GPA ya 3.8,ana CPA NA ana MSC IN FINANCE..Aliyomalizia pale Ifm,
kabla ya kuja BOT Alikuwa standard chartered kwa muda wa miaka miwili,
huyu ni competent,ila JABIR KIGODA hamna kitu,
shy,hivi anafanya kazi gani?
 
Yaani am puzzled, siamini kama hiyo list ni ya ukweli mi nilifikiri utani??? This is rediculous...yaani hata mwendawazimu akisikia hii orodha atakwambia kuna mkono wa mtu, no matter what are the qualification to get the job hapa kuna mlango wa nyuma, swali langu ni hili; ni kweli hao watoto wa wakubwa tu ndio wana hizo qualifications za kufanya BoT? na je kwanini BoT? kwanini wasifanye kazi kwenye idara za serikali ambazo zinahitaji watu competent kama wao? jibu ni moja....hakuna pesa nono wala marupurupu... kwahiyo ndio yale yaliyoandikwa ktk Biblia mwenye nacho ataongezewa?? NO..no..no watz tuamke tukiweza kufuatilia hili tufuatilie tumechoka kunyanyaswana kuibiwa na baba, mtoto na then mjukuuu this is not fair at all....tuamke usingizini na sio BoT tu mashirika yote makubwa yenye ulaji ndio wamejaza mitoto yao...tuanze kuinyofoa mmoja baada ya mwingine...kweli Tz inatia hasira sana... inakatisha tamaa hasa kwa wasomi na wapenda haki na maendeleo.
 
naomba kumtoa kijana THOMAS MONGELA,huyu kijana ni kichwa ile mbaya..amemaliza mlimani na ana GPA ya 3.8,ana CPA NA ana MSC IN FINANCE..Aliyomalizia pale Ifm,
kabla ya kuja BOT Alikuwa standard chartered kwa muda wa miaka miwili,
huyu ni competent,ila JABIR KIGODA hamna kitu,
shy,hivi anafanya kazi gani?

Hapa kuna FBI profilers.

Kabla ya kuja BOT = Kabla ya kuja kwenu BOT alikuwa standard chartered...
 
Kuna tatizo gani kupiga kelele kama wamekolifai na wanachapa kazi vizuri? Yaani hata kama wamekolifai wasifanye kazi sehemu hizo kisa baba zao ni vigogo?
 
Huyo Jabir Kigoda Yuko Kwa Muda Sasa Hapo Bot Yeye Ndio Hana Kabisa Uwezo Huo Kuwa Hapo Bot Hata Elimu Yake Inatia Mashaka Sasa Hivi Ndio Anajiendeleza Kidogo Kidogo Kwa Kusoma Kozi Za Mitandaoni Huyo Analipwa Laki 7

Mkuu naomba uandike wasifu wake kielimu.Toa data za uhakika sio za vijiweni
 
Binti Wa Mzee Lowassa Kasoma Concordia College, Moorhead, Minnesota (its A Lutheran School)tena Alikuwa Non Business Major--which Means Hakusoma Finance, Uchumi, Accounting, Wala Management.....
 
Kwa hiyo tusema BOT na TRA kuna ukabila, na uvigogo? nakumbuka kunamada ya ukabila ilikuwa hapa inachangamkiwa sana hili nalo ni mkondo huo. BOT pia shemeji yake Mkapa yaani kaka yake Anna Ben jamaa anaitwa Maro naye yupo BOT muongezeni kwenye list pia. Huwa nasikia TIC (kajengo kako hapo karibu na BOT na Bunge) nako kamajaa watoto wa vigogo kama kuna mtu mwenye data atuwekee hapa.
 
Zitto chunguza, na ukigundua haya ni ya kweli,,,saidia kulipeleka hlii kwenye Jumba la Wawakilishi kule Dodoma!!!

Maana tunapenda kujua hiyo coincidence ya Watoto wa Wakuu kuajiriwa hapo 10 Mirambo Street.

By the way hili lina-qualify kwenda kwa PCCB, sheria mpya nadhani inatambua hii kama aina ya rushwa...

asante kwa kukubaliana kwa hili. tuko pamoja. kumbe tukipata akina Zitto watano tutaiamsha nchi iliyozingirwa na mafisadi.
 
Kuna tatizo gani kupiga kelele kama wamekolifai na wanachapa kazi vizuri? Yaani hata kama wamekolifai wasifanye kazi sehemu hizo kisa baba zao ni vigogo?

heti huyu haoni tatizo.

hivi kuna tatizo gani, wewe ukiwa rais, mke wako makamu rais, na watoto wako wakawa mawaziri kama theory yako ya kuqualify ikiapply kila mahali? watu wengine bwana, tukimwambia afikiri kabla ya kutenda anasema eti tunamwonea, hata kwa hili?
 
Jamani- the other side of the coin!

1. Yaani leo ndo mnaona haya majina ya watoto wa vigogo BoT? Mbona ajira za vimemo zimejaa sehemu zote nyeti za serikali tangu wakati wa AHM? Yaani kama rushwa kubwa kubwa za mabilioni serikali inakaa kimya-sembuse ajira za vimemo?
Mimi sioni jipya- ngonjera ni ile ile!
Njia nzuri ni kubainisha haya majina mwanzoni wakati wa hiyo memo inaandikwa, wakati wa interview na if they do not qualify- wewe kama una fununu mtu haqualify na kuna mpango kumwajiri sehemu nyeti- sema wakati huo huo! Kama mtu ameshafanya kazi miaka 5 au 10-15 sasa- je mnadhani ataondoshwa kazini? Kwa sheria ipi ya kazi?

2. Kama wanqualify na wamepitia process ya kuajiriwa na kupata kazi- hawana dhambi hawa ni Watz kama Watz wengine! Tatizo ni kama hawaqualify. Je haya majina ni % ngapi ya wafanyakazi wote wa BoT? Je hawa watoto wa Vigogo wao wafanye kazi wapi? Mbinguni? Je hawa sii Watanzania? Kwa nini leo hii tunaanza kuwabagua?
 
Haitakiwi "h".....
Haina tatizo kama wana vigezo vinavyostahili
 
Kuna tatizo gani kupiga kelele kama wamekolifai na wanachapa kazi vizuri? Yaani hata kama wamekolifai wasifanye kazi sehemu hizo kisa baba zao ni vigogo?

Pamoja na qualification na kuchapa kazi vizuri kuna kitu vinachoitwa conflict of interest na check and balance. Mtu mwenye quafication na mchapa kazi mzuri anafanya makosa vilevile, akifanya makosa ni lazima asahihiswe. Je ni bosi gani anayeweza kumsahihisha mtoto wa waziri mkuu aliyopo madarakani?

Kuna nafasi ambazo ndugu wa karibu wa viongozi wa juu wa nchi wanatakiwa kiziachia kwa sababu ya ku-conflict of interest hili kuwapa viongozi au mabosi wa vyombo vingine kuwa huru kutoa maamuzi katika vyombo wanavyoongoza.
 
Jamani- the other side of the coin!

1. Yaani leo ndo mnaona haya majina ya watoto wa vigogo BoT? Mbona ajira za vimemo zimejaa sehemu zote nyeti za serikali tangu wakati wa AHM? Yaani kama rushwa kubwa kubwa za mabilioni serikali inakaa kimya-sembuse ajira za vimemo?
Mimi sioni jipya- ngonjera ni ile ile!
Njia nzuri ni kubainisha haya majina mwanzoni wakati wa hiyo memo inaandikwa, wakati wa interview na if they do not qualify- wewe kama una fununu mtu haqualify na kuna mpango kumwajiri sehemu nyeti- sema wakati huo huo! Kama mtu ameshafanya kazi miaka 5 au 10-15 sasa- je mnadhani ataondoshwa kazini? Kwa sheria ipi ya kazi?

2. Kama wanqualify na wamepitia process ya kuajiriwa na kupata kazi- hawana dhambi hawa ni Watz kama Watz wengine! Tatizo ni kama hawaqualify. Je haya majina ni % ngapi ya wafanyakazi wote wa BoT? Je hawa watoto wa Vigogo wao wafanye kazi wapi? Mbinguni? Je hawa sii Watanzania? Kwa nini leo hii tunaanza kuwabagua?

Mzalendo:

Si kuna mashirika binafsi yanayolipa zaidi ya mashirika ya serikali? Kama wao ni wazuri tuwaone katika mashirika binafsi.
 
Mwana Wa Maryam,
Yes conflict of interest- Waziri Mkuu ni wa Jamhuri yote- sasa mtoto wake yeye akafanye kazi Kenya? Au aajiriwe sehemu tu ya hovyo hovyo isiyokuwa ya maana ili kuondoa conflict of interest?
If mtoto anaqualify- mimi sijaona dhambi ya huyu mtoto wa EL kufanya kazi BOT! Hivi ni dhambi sasa kuzaliwa mtoto wa kigogo?
Tatizo langu tu ni kama hawa watoto hawaqualify na wanapata hizi kazi kiujanjajanja!
Pia kuna growing feeling that watoto wote wa vigogo mara zote hupendelewa- hii sii dhana ya kweli!
 
Mzalendo:

Si kuna mashirika binafsi yanayolipa zaidi ya mashirika ya serikali? Kama wao ni wazuri tuwaone katika mashirika binafsi.
Hayo mashirika binafsi basi usiseme!
Waziri Mkuu ana influence mashirika binafsi pia! My point is kama mtu anaqualify--- then asibaguliwe!
Ubadhirifu unaojitokeza wengi walioiba na kutuhumiwa wala sii watoto wa vigogo- ni watoto wa wakulima na wafanyakazi!
Sitetei upendeleo- mimi nakataa ubaguzi!
 
Ndhani hii mada inawakera baadhi ya wanufaika na mpango wa "vimemo". Kwa vyovyote vile kama hiyo list ni kweli..tatizo lipo kubwa mno.Shirika moja la umma haliwezi likachukua watoto wa viongozi wengi kiasi hicho..yaani almost kila kiongozi wa juu ana mtoto/ndugu wa karibu pale!! Kuna namna. Ndugu zangu hii nchi sasa ni too corrupt, inajiendea ovyo ovyo, sasa watu wanajitahidi ku-grab as quick as possible..ndoo maana wanasaidiana na watoto na wajukuu zao. Hiyo BOT yenyewe mascandal ya ulaji chungu nzima bado inashindiliwa pontential fisadis..mmmh.
Wewe MTU na MZALENDOHALISI mkubali msikubali kuna namna chafu tuuuuu...hapo si qualification peke yake..vinginevyo hiyo concentration ya watoto wa vigogo isingekuwa kubwa hivyo; wangekuwepo wawili watatu lakini sio team kubwa hivyo. Ati GP ya 3.8..bull shit! watoto wa walalahoi wangapi wanatoka na hizo kila kukicha.

IPO SIKU WATZ WATACHOKA....Ivory Cost kulikuwa na amani na ustawi kuliko hapa lakini wachache wakaichezea..sasa wanaililia..HATUTAKATA TAMMAA.
 
Mwana Wa Maryam,
Yes conflict of interest- Waziri Mkuu ni wa Jamhuri yote- sasa mtoto wake yeye akafanye kazi Kenya? Au aajiriwe sehemu tu ya hovyo hovyo isiyokuwa ya maana ili kuondoa conflict of interest?
If mtoto anaqualify- mimi sijaona dhambi ya huyu mtoto wa EL kufanya kazi BOT! Hivi ni dhambi sasa kuzaliwa mtoto wa kigogo?
Tatizo langu tu ni kama hawa watoto hawaqualify na wanapata hizi kazi kiujanjajanja!
Pia kuna growing feeling that watoto wote wa vigogo mara zote hupendelewa- hii sii dhana ya kweli!

MzalendoHalisi:

Mbona una wasiwasi. Kama una-qualification zako uwanja wa interview uwe sawa kati ya candidates wote.

Sidhani uwanja wa interview pale BOT huko leveled.
 
Hayo mashirika binafsi basi usiseme!
Waziri Mkuu ana influence mashirika binafsi pia! My point is kama mtu anaqualify--- then asibaguliwe!
Ubadhirifu unaojitokeza wengi walioiba na kutuhumiwa wala sii watoto wa vigogo- ni watoto wa wakulima na wafanyakazi!
Sitetei upendeleo- mimi nakataa ubaguzi!

Mzalendo unachemsha. Mada sio wizi bali ajira BOT. Kama wizi hakuna ushahidi wowote kuwa watoto wa vigogo ni waaminifu kuliko wa wakulima.

Mashirika binafsi yana-ajiri watoto wakubwa asa katika nchi za kiafrika kwa sababu ajili ya ku-win contracts na serikali kiafrika zisizowajibika. Ndio maana Raj Patel anasema mkataba unawekwa na 90% anachukuliwa na makampuni ya kigeni na 10% inabaki kwa waafrika. Kwa mtaji huo ata kampuni la binafsi likiajiri watu wenye connection na wakubwa wa nchi hakuna hasara yoyote kwa sababu huo ndio UKOLONI WA KISASA.
 
Back
Top Bottom