Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Mungu saidia wanyonge, wanyanyue toka mavumbini kwa mkono wako
usioshindwa wala kupingwa!!! Tunaekea kwenye shimo kubwa sana watanzania ...sisi watoto wa wakuliwa (wakulima) tutaendelea kuwa maskini hata tuliofluke kwa bahati bahati na kupata vidigrii tutaishia kukosa ajira

usilalame, tuma applications zako kote.... na uwe confident ktk interviews utapata tu.... ni kwa kukusaidia tu🙂

hii inanikumbusha issue ya E. African community watu tunalalama kila kukicha waganda, wakenya watachukua nafasi zetu... je what measures are you taking to ensure that they dont. MMesoma kiasi gani kuwa competent?

tusipojiangalia tutaishia na umaskini wetu, na nafasi watachukua wenye guts tu... na E.A itakuja na watachukua hao hao wenzetu sisi zile chache za wenye confidence.

Kazeni buti, msilalame tu wandugu... kwani hao viongozi walizaliwa viongozi? si walistruggle wakaupata uongozi, na hali itaendelea hivyo labda watoto wao wawe wajinga kutokusoma na kushindwa wenyewe...
 
hata Mungu alisema jisaidie nami nitakusaidia... sasa wewe unaomba umekaa chini akusaidie wewe na wangapi.... umepewa viungo vyote necesary to make u survive what are you doing with it? hata siku ya mwisho utakuwa punished for abusing what he gave u... be real!!
 
Naomba nitoe mawazo yangu pia kuhusu suala hili. Napenda kutofautisha makundi mawili ya watu tukijadili suala hili.
Upande moja ni wa watoto wa watu maarufu kama vile wanasiasa, viongozi wa taasisi, hata watoto wa wanamuziki maarufu n.k.
Upande wa pili ni watoto wa wananchi ambao siyo maarufu hii nimeiandika hivi kwa kuwa naamini kwamba hata mwanasayansi mzuri sana ambaye yuko National Institute of Research yuko katika kundi hili kama alivyo mtoto wa mkulima wa kahawa huko Marangu, Kilimanjaro.
Nataka kutofautisha kwa kutumia kigezo cha umaarufu, yaani jina la familia linasikikika kwenye redio na televisheni na kusomwa kwenye magazeti. Hivyo kwa mfano: mtoto wake Khadija Kopa - Omar Kopa (RIP) anaingia kwenye kundi la kwanza.

Kundi 1 wanakuwa na faida na hasara zao kama ifutavyo:
1. FAIDA: a) name recognition: hii ndiyo hasa ambacho kinakuwa faida kwao. Hata kama mtoto wa mtu maarufu hatatumia jina la mzazi ku-advance their interest lakini haiepukiki. Pia kama mtu anataka kuwadhulumu anafikiria mara mbili. Hivyo jina linakuwa kama limewalinda. But I think that hii inatokana na perception ya mtu yule anayedeal na huyo offspring, na siyo offspring mwenyewe.
b) Good upbringing: hii si lazima na ni kweli in some cases ambapo unakuta mzazi anajituma na kutokana na uwezo wake anahakikisha mtoto wake anapata elimu nzuri. Lakini nafahamu watoto wa watu maarufu ambao ingawa mzazi amehangaika kumsomesha hapa na pale lakini ameshindwa mtoto kumudu masomo.
c) economic advantage: in some cases watu hawa maarufu wanakuwa na uwezo mzuri kifedha (kwa njia gani tuiweke hiyo pembeni kwanza, kwani si watu wote maarufu hutengeneza pesa kwa kuiba au ufisadi) na hivyo watoto wao huanza na advantage ya kuwa na gari au nyumba. Lakini tuseme ukweli nani hataki mtoto wake aishi vizuri zaidi yake? It's natural and normal. In fact it should be the rule instead of the exception.
2. HASARA: a) scrutiny: kutokana na umaarufu wa mzazi, mtoto inabidi siku zote aishi kwa kujua akitenda kosa, akionekana mahala pasipofaa ataonekana wa kwanza
b) guilt by association: watu wengi hutumia dhambi ya wazazi kuadhibu watoto hao au kuwasema na kuwatukana. They are not judged for who they are but what name they bear! hii inauma hasa pale ambapo unakuta kwa mfano mtoto anafaulu shule (own achievement) alafu wanasema eti kwa sababu ya babake au mamake! Au kama mzazi amehusishwa na kesi au shutuma, basi mtoto naye anawekwa kwenye mkumbo moja.
c) stand on their own: ni vigumu kwa mtoto yoyote yule kumkataa mzazi wake au kukana jina lake. Hivyo akitaka ku-stand on his/her own ataweza kwa kiasi gani? How far can s/he distance her or himself?

Mimi nadhani tukiangalia pande zote tutaweza kuona kwamba no individual should be judged collectively.
Kama mtu amepata kazi kwa upendeleo inaweza ikawa siyo tu mtoto wa mtu maarufu bali hata mtoto wa mtu ambaye si maarufu kwa kutoa rushwa ya ngono kwa mfano! Lakini yeye hataulizwa na kufuatiliwa.
At the end of the day mbele ya Mwenyezi Mungu hatutahukumiwa kama mtoto wa fulani na mke wa fulani, bali kama mtu fulani!
 
bila kuwa na kiburi hauwezi kukata ngebe za watu,Mie nipo kutetea haki tu,Mnyonge mnyongeni ila haki yajke mmpe..ndio maana siku zote siwezi kukumbatia mafisadi ..
nitasema ukweli daima uongo kwangu mwiko

Nitasema Ukweli Daima uongo Kwangu mwiko. Ulicheza magwaride ya chipukizi nini?

Wanasema All politics is local. Siasa haina maana ya kusema ukweli bali kuwashawishi watu. Pata kitu cha kuwashawishi watu na usitegemee ukweli kuhamasisha umma.

Wakoloni walitaka wachungaji wapunguze idadi ya ng'ombe hili kuzuia uharibifu wa mazingira na walikuwa na ukweli. Lakini Nyerere na TANU, walitumia All politics is local na kutoa ahadi kwa makabila ya wafugaji kuwa tukipata uhuru wataendelea na mila zao na kufuga ng'ombe kiasi watakacho. Na wakashinda uchaguzi.

Naelewa kabisa baadhi ya watoto wa vigogo wako fit kutokana na maandalizi yao. Lakini wale wasio fit kupata kile wasichostahili kunanishawishi kuwa nyuma ya msemo All politics is local. Kuwa na mtoto mmoja wa mkubwa ambaye ni TUTUSA pale BOT, kwangu mimi tayari nimepata spinning point kuhusu maovu ya CCM.
 
Nitasema Ukweli Daima uongo Kwangu mwiko. Ulicheza magwaride ya chipukizi nini?

Wanasema All politics is local. Siasa haina maana ya kusema ukweli bali kuwashawishi watu. Pata kitu cha kuwashawishi watu na usitegemee ukweli kuhamasisha umma.

Wakoloni walitaka wachungaji wapunguze idadi ya ng'ombe hili kuzuia uharibifu wa mazingira na walikuwa na ukweli. Lakini Nyerere na TANU, walitumia All politics is local na kutoa ahadi kwa makabila ya wafugaji kuwa tukipata uhuru wataendelea na mila zao na kufuga ng'ombe kiasi watakacho. Na wakashinda uchaguzi.

Naelewa kabisa baadhi ya watoto wa vigogo wako fit kutokana na maandalizi yao. Lakini wale wasio fit kupata kile wasichostahili kunanishawishi kuwa nyuma ya msemo All politics is local. Kuwa na mtoto mmoja wa mkubwa ambaye ni TUTUSA pale BOT, kwangu mimi tayari nimepata spinning point kuhusu maovu ya CCM.

I am so sorry for you, usingeandika hivyo.... To a normal person that shows how low your IQ is. dont ever generalise issues, kama ulikuwa una ushahidi kuwa m1 au wawili au wote wana matatizo una haki yakusema lakini usisupport such issues in that way, it shows you have zero reasoning power

Sorry if i offend u, but be precise man!!
 
I am so sorry for you, usingeandika hivyo.... To a normal person that shows how low your IQ is. dont ever generalise issues, kama ulikuwa una ushahidi kuwa m1 au wawili au wote wana matatizo una haki yakusema lakini usisupport such issues in that way, it shows you have zero reasoning power

Sorry if i offend u, but be precise man!!

IQ inapimwa na IQ test score na sio kusoma post au GPA za shule. Kuhusu ku-support, natumia haki zangu za kiraia. Hakuna sheria ya nchi inayokataza ku-support uzushi.

Na unachemsha unaposema dont ever generalize issues. Hatuwezi kutembelea nyumba za vigogo wote na kuchunguza watoto wao wanafanya nini. Tunachofanya ni Sampling (kama umesoma statistics utajua ninasema nini). Katika majina aliyotoa mwanzilishi wa posti ni Thomas Mongela tu anayeonekana amepandisha shule na kuwa na sifa.

Majina yaliotoka hapa ni zaidi ya 10 lakini ni mmoja tu mwenye sifa na uwiano ni 1 kwa 10 (0.1) which is so bad. (0.1) ni asilimia 10%.

Nikiwa ni mfanyabiashara na ukiniambia probability ya kupata faida ni 0.1, nitaacha kufanya biashara yenyewe. Nikiwa mgonjwa hospitalini na probability ya kuishi ikawa 0.1, ina maana napumua pumzi ya mwisho.

Katika hitimisho lako umesema be precise man!!. Nimehamua kuacha ushabiki na kuja na number kuonyesha kinachosemwa hapa kina ukweli.

0.1 (10%) ya watoto wa vigogo wanaofanya BOT are fit to be there. Na 1-0.1 = 0.9 (90%) are bogus (TUTUSA). Don't be offended, these are just simple calculation.

By the way IQ score yako ni ngapi? Yangu ni above 140.
 
They say if u argue with a crazy man u both will look crazy... so I won't argue with you.

But I know some of the listed and they have good qualifications (good 1st degrees plus Masters attained in and some outside the country)…. What you are looking for is unproductive argument... If you can sit down and support uzushi while you know is uzushi, something must be wrong with ya.

The good thing is I lecture and I have come across people of your attitude. I should take this opportunity to educate you that scientifically whatever conclusion you come up with must be true (must end to the same results) even if tested ten times with different people who are aware of the testing procedures and at a precise testing environment. I think the data given are not enough to come up to that conclusion.

Kwa hayo machache utajudge wewe kama IQ yako ni ngapi…
 
They say if u argue with a crazy man u both will look crazy... so I won’t argue with you.

But I know some of the listed and they have good qualifications (good 1st degrees plus Masters attained in and some outside the country)…. What you are looking for is unproductive argument... If you can sit down and support uzushi while you know is uzushi, something must be wrong with ya.

The good thing is I lecture and I have come across people of your attitude. I should take this opportunity to educate you that scientifically whatever conclusion you come up with must be true (must end to the same results) even if tested ten times with different people who are aware of the testing procedures and at a precise testing environment. I think the data given are not enough to come up to that conclusion.

Kwa hayo machache utajudge wewe kama IQ yako ni ngapi…

Kupata master sio kitu chochote. Mbona Kigogo Dr. Mzindakaya ana Phd Kwa kuhudhuria vikao vya bunge.

Mtu mwenye Bachelor ya kutoka chuo cha maana anapata kazi nzuri kuliko mwenye Master ya IFM.

Watu wenye kufanya kazi vyuo vikuu na mabenki ya Taifa kama BOT wana nafasi ya kufanya kazi World Bank, IMF na mashirika mengine ya kimataifa kama wana shule za nguvu. Kama shule zenu ni za nguvu, mbona siwaoni hapa mjini Washington DC, NY, Geneva au Vienna.

Process ya kuajiri vijana BOT au sehemu nyeti za taifa sio transparent.
 
Ndugu wana JF kuna kaemail kalikua forwarded kwangu ,nilipokasoma nilipatwa na mshtuko lakini inshallah nguvu zangu zimenirudia leo na nachukua fursa hii kukawakilisha kwenu (in my own version) but i hope it will still be enjoyable to read........ enjoy!

Hii ni habari halisi na ya uhakika kutoka ndani ya BOT. Je unawajua walioajiriwa kusimamia uchumi wa nchi yetu na kutuletea mafanikio? Pokea taarifa ya wateule hawa.

Nakutajia kwanza wachache ili wewe na watanzania wenzetu watafakari kama kweli ndege yetu itaweza kupaa kama bwana Lowasa alivyosema, au tutabaki ombaomba kama Balali anavyodai!!!. Ama tunageuzwa kuwa wadanganyika!!!

Ndani ya Mtungi wa BOT walioqualify kuajiriwa kwa sifa na vigezo vinavyotambulika na BOT ni pamoja na hawa wafuatao:-

Pamella Lowassa, Filbert Frederick Sumaye, Zalia Kawawa, Harieth Lumbanga,Salama Ally Mwinyi, Rachael Muganda, Sylvia Omari Mahita, Justina James Mungai, Kenneth John Nchimbi, Blassia Blassius William Mkapa, Violeth Phillemon Luhanjo,Liku Irene Katte Kamba, Thomas Mongella,Jabir Abdallah Kigoda etc. Hii ndio success team, hapa nani atamuwajibisha Dalali alas Balali?
Je KAPUKU MWENDE(a.k.a KAYUMBA) ATAAJIRIWA KWELI HAPO?


Hawa ni wale wenye uhusiano wa moja kwa moja na wazito wa nchi, wapo wengine ambao ni ndugu wa karibu au kabila moja na waheshimiwa. Ni vigumu kuamini kuwa hii ni bahati mbaya(mere coincidence).

Wana JF, ni juu ya watanzania kuamua kuendelea na viongozi wabovu na wenye ubinafsi au kuwaambia ukweli hata kama utawauma na kwa vile wao ndio miungu basi watatoa adhabu za kukufukuza katika bustani ya Eden.

Rhuksa kupayuka utakavyoona inafaa, na kama kuna cha kuongeza na kiko ndani ya uwezo wangu, nitakuongezea.
As far as I know these individuals do not oversee our economy! Your motive here by itself is misleading. And if I may... "The Board of Directors of the Bank of Tanzania (The Bank) is a supreme policy decision body in the Bank’s hierarchical structure..."
Therefore, these individuals do not qualify per se! Their primary objectives acording to BOT official website "The primary objective of the Bank shall be to formulate and implement monetary policy, directed to the economic objective of maintaining price stability, conducive to a balanced and sustainable growth of the national economy of Tanzania". and it also added..."In other words, it is the primary responsibility of the Bank to establish monetary conditions conducive to Price Stability over time". Thus, these individuals contribute to our economy rather indirectly! and just to add these Individuals represent patritiosm of the first degree! Verissimus Fidelis!

some material from:http://www.bot-tz.org/
Atanaye Kijiko
 
hayo unayoyaona ndiyo makabila madogo yametufikisha wapi?safari hii hatukubali kuamini makabila madogo hayana upendeleo
 
Kwa kweli mwanakijiji kwa uchambuzi huo nimekuvulia kofia. Nungana na wadau hapo juu kwa kukupa zingine TANO.
 
Hapo Mwanakjj nakuunga mkono na kuvulia kofia kwa uchambuzi makini. Chukua zingine TANO
 
..kwahiyo atasaidia kuitangaza BOT kupitia nyimbo au?

..huku ndo kutengeneza ajira millioni kadhaa!?

Yap huo ndio utengenezaji wa ajira million moja, Kwani nyinyi hamjui kwamba muheshimiwa anapona na huyu binti (Vicky Kamata. kwa hiyo ajira million moja imeanzia kwake na wengineo ambao bahati imewatembelea. I'm out.
 
Kazi kweli kweli. Watu humu ndani wanatetea eti wamesoma wamesoma.
Hata kama wote wanaqualify cha kujiuliza ni coincidence kujikuta watoto wa wakubwa kiasi hicho ndo wanafaulu Interviews kama kweli zilikuwepo?

No way; lazima kutakuwa na jambo limefanyika. Au au kazi hizo wanazitangaza kwenye vikao vya wakubwa tu nini, otherwise siwezi kuamini kuwa watoto wa wakubwa tu ndo wanafaulu kuwa kwenye sehemu hizo nyeti lakini wanachemsha kwenye kazi zisizo na maslahi makubwa sana.
 
Wana JF; I have just received this via e-mail. Any one with evidence about this please let him/her bring for sharing and discussions. .

Waajiriwa Wa Bot

Hii ni habari halisi na ya uhakika kutoka ndani ya BOT. Je unawajua
walioajiriwa kusimamia uchumi wa nchi yetu na kutuletea mafanikio? Pokea
taarifa ya wateule hawa.
Nakutajia kwanza wachache ili wewe na watanzania wenzetu watafakari kama
kweli ndege yetu itaweza kupaa kama bwana Lowasa alivyosema, au tutabaki
ombaomba kama Balali anavyodai!!! . Ama tunageuzwa kuwa wadanganyika! !!
Ndani ya Mtungi wa BOT walioqualify kuajiriwa kwa sifa na vigezo
vinavyotambulika na BOT ni pamoja na hawa wafuatao:-

Pamella Lowassa, Filbert Frederick Sumaye, Zalia Kawawa, Harieth
Lumbanga,Salama Ally Mwinyi, Rachael Muganda, Sylvia Omari Mahita, Justina James Mungai, Kenneth John Nchimbi, Blassia Blassius William Mkapa, Violeth Phillemon Luhanjo,Liku Irene Katte Kamba, Thomas Mongella,Allen Shibuda,Jabir Abdallah Kigoda,Fred Nicolas Mwanri. Hii ndio success team, hapa nani atamuwajibisha Dalali alas Balali?
Je KAPUKU MWENDE(a.k.a KAYUMBA) ATAAJIRIWA KWELI HAPO?

Hawa ni wale wenye uhusiano wa moja kwa moja na wazito wa nchi, wapo
wengine ambao ni ndugu wa karibu au kabila moja na waheshimiwa. Ni vigumu
kuamini kuwa hii ni bahati mbaya(mere coincidence) .
Wana JF, ni juu ya watanzania kuamua kuendelea na viongozi wabovu na wenye
ubinafsi au kuwaambia ukweli hata kama utawauma na kwa vile wao ndio miungu
basi watatoa adhabu za kukufukuza katika bustani ya Eden.
Rhuksa kupayuka utakavyoona inafaa, na kama kuna cha kuongeza na kiko ndani
ya uwezo wangu, nitakuongezea.
 
Back
Top Bottom