mTZ_halisi
Member
- Oct 26, 2007
- 82
- 2
Mungu saidia wanyonge, wanyanyue toka mavumbini kwa mkono wako
usioshindwa wala kupingwa!!! Tunaekea kwenye shimo kubwa sana watanzania ...sisi watoto wa wakuliwa (wakulima) tutaendelea kuwa maskini hata tuliofluke kwa bahati bahati na kupata vidigrii tutaishia kukosa ajira
usilalame, tuma applications zako kote.... na uwe confident ktk interviews utapata tu.... ni kwa kukusaidia tu🙂
hii inanikumbusha issue ya E. African community watu tunalalama kila kukicha waganda, wakenya watachukua nafasi zetu... je what measures are you taking to ensure that they dont. MMesoma kiasi gani kuwa competent?
tusipojiangalia tutaishia na umaskini wetu, na nafasi watachukua wenye guts tu... na E.A itakuja na watachukua hao hao wenzetu sisi zile chache za wenye confidence.
Kazeni buti, msilalame tu wandugu... kwani hao viongozi walizaliwa viongozi? si walistruggle wakaupata uongozi, na hali itaendelea hivyo labda watoto wao wawe wajinga kutokusoma na kushindwa wenyewe...