Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Hapa nchini Kuna makabila yana ukabila kwenye maswala ya Elimu. Yaani hayataki kusoma.hata ukiwapelekea shule. Kuna wasonjo wawili tu kutoka Loliondo, wamefika chuo kikuu.
Wakipelekewa shule wanatorokea porini na kuoza mabinti wao. Wengine wanahonga ili mabinti zao wasisome.
Wengine wanawapeleka vijana wao wawe waganga wa kienyeji pale tu wanapomaliza LA saba. Wakidai mizimu ya kwao imewaandikia.
 
samvulachole husemi ukweli au umedanganywa...hakuna kitu kama hicho kwani miaka ya sasa kuna vetting na mchuano mkali kwenye ajira
 
Mimi nimeshashuhudia kijana mmoja alimaliza chuo na kufuatilia ajira tra, waliomba walikuwa kama 8000 na walikuwa wanataka watu kama 20 hivi, yule kijana na upper second yake alikosa hata hajaitwa interview.

Na minimum qualification ilikuwa degree, ila cha kushangaza kuna dada nilikuwa nafanya nae kazi private sector, alikuwa kamaliza form6 na certificate yake ya it, akaja kupata, sikushangaa sana kwasababu alikuwa ni mchaga.
Kwahiyo ndugu zangu hili tatizo lipo na ni kubwa sana.
 

Umesema mdada. Bado kuna maswali lukuki. Pengine alitoa rushwa ya ngono?
Utajuaje?
Anyway ni kwakuwa umemtaja mwanamke.
 
Umesema mdada. Bado kuna maswali lukuki. Pengine alitoa rushwa ya ngono?
Utajuaje?
Anyway ni kwakuwa umemtaja mwanamke.

Ukabila upo wala usikatae huwezi kusema eti mpaka miaka hii ni makabila matatu tu ndo yenye wasomi wanaopaswa kufany kazi TRA si kweli hata mabadiliko yanapaswa kufanywa katika hilo.
 
mkjj We Are All Behind You. Mjadala Huu Umeishia Hapa Longolongo Za Ukabila Kwisha. Watu Waende Kusoma Kazi Zitatolewa Kwa Wale Wanaoweza Kutuongoza Bila Kujilimbikizia Mali.

Ina maana tangu tunapata Uhuru mpaka leo watu wa kabila nyingine mbali na wachaga, wahaya na wanyakyusa bado hawajasoma? Au hawana wasomi? Mi nadhani zama hizi tuseme watu wanaajiliwa kwa vigezo tofauti na siyo Kisoma tu na ukisema habari ya kusomo makabila Mengi Tanzania wamesoma sasa kinachofuata baada ya hilo ni vigezo vingine vya kiutendaji.
 

Kwa hiyo kwa mtazamo wako thread hiyo imeondolewa kikabila?
 
Baada ya chaguzi mbalimbali nchini, kutoka Vatican. Papa Francis amechagua maaskofu. Wachagga kwa sasa ndio kabila lenye maaskofu wengi nchini. Na ikumbukwe maaskofu wengi wanachaguliwa na Papa. So hadi Vatican wameendelea kuona Chagaz wanafaa. Mungu atukuzwe.Haterz mshindwe kwa jina LA bwana....
KwA Mungu kuna maslahi zaidi. Mzee wa Transformer mch. Lusekelo amesema watu wanao fanikiwa katika kanisa lake wengi ni wachagga.
Waarabu na wahindi wameendelea kula bata huku waswahili wakiendeleza chuki binafsi...


.
 

Hili ndio tatizo linalowatafuna waafrika , uchoyo, yaani kwakuwa wewe ni mchaga kwahiyo unafumba macho kulitambua tatizo kwasababu unatoka kabila hilo.

Unajua hata chenge na wenzake wanamtazamo kama wakwako halafu tunawalaumu, basi tuache kuwalaumu kumbe waafrika ndio tulivyo
 

Laiti nchi hii wangekuwa wachagga ni wabaguzi naimanj rais angekuwa mchagga. Am a mhaya a mnyakusya
Manake ndio makabila yanayopigiwa kelele.
Tujiulize Vatican nao kwanini wamechagua wachagga. He ukatoliki una ukabila
Makabila mengine yanaweza kuwa yamesoma .
je wachagga waliacha kusoma?
Wahaya me?!,
Wanyakyusa je?
 

Thats obvious it depends na affection yao kwenye dini husika, kwani ukienda nyumbani kwa mchaga unategemea utasikia mwimbo gani kama si kwaya
Au unaonaje wachaga wanavyoichukulia christmas, likewise hujiulizi kwanini wachaga hao hao ndiyo wanaongoza kwa ujambazi.
Unajua ustaarabu pia ni kukubali tatizo na kusahihisha if its possible lakini kupigania kitu kwakuwa una maslahi nacho nalo ni udhaifu.
 
Mchaga hata akifungua kijimgahawa atahakikisha anawaajiri wachaga wenzie kibao.
Akifungua bucha au duka vilevile, ikiwa baa lazma kaunta awe mchaga. Nimeyaona kwa wengi wao ila co wote.
 

This is a totally misplaced argument! How do you force Nyerere's excellent words which were very valid at the time he uttered them to fit a totally changed context? Isn't that like amputating a person with stomach ulcers because a prominent Dr did the same to a victim of car accident? For your info, mambo yamebadilika Sana, watu wamepiga buku kuliko unavyodhani! Ila ukabila umewaweka kando, wakidai kibao kinageuzwa kwamba wao ndio wakabila, na mchambuzi Kama wewe you practice distortion or "obscuretism" kwakuwa wewe ni mmoja wa wanaonufaika na simulizi za kale, old narratives kwamba Kabila lako lime soma , dying in defense of the status quo!
 
Mchaga hata akifungua kijimgahawa atahakikisha anawaajiri wachaga wenzie kibao.
Akifungua bucha au duka vilevile, ikiwa baa lazma kaunta awe mchaga. Nimeyaona kwa wengi wao ila co wote.

Sasa ulitaka amwache ndugu yake anaweza au mwenye shiider kisa kuogopa uchaga wake ni rahisi kuongea tu utekelezaji zero hapo sioni tatizo lolote
 
Na kuna hili kabila la escrow hili kabila wabaguzi sana, dili zao zote wanazopiga utakuta mafisadi tu, wanabagua wasio mafisadi.
 

Wakati makabila mengine yamesoma. Hayo yanayoongoza yaliacha kusoma?
Shida hii imetokana na Escrow.
Na Escrow sio ukabila Bali uswaiba na kujuana.
 
ukienda Kagera, Mwanza utasikia matukio ya ujambazi wa silaha, maeneno kama biharamuro, sekenke, n.k.
kuhusu ujambazi kila kabila lina wezi. tatizo makabila mengine wanaiba ng'ombe, mbuzi na wanaziswaga porini na kutokomea nazo. ila watu hawakumbuki kwakuwa ni kijijini na hakuna gazeti lililoandika.

pia makabila mengine wanajionesha watu dini lakini wanaendekeza ushirikina sana. Na kucheza ngoma. kuna mikoa nchini imejaa mashoga na waganga wa kienyeji na wanajisifu kwakuwa wachawi.

utawajua tu kwani huwa wanajisifu utasikia mi nimeaga kwetu. hapo anamaanisha yeye ameizndikwa kishirikina.

so kila jamii ina kitu inathaminisha. NA mwisho wa siku kina mfikisha pale alipo. wahaya mbali na kucheza ngoma na kukata viuno wana akili si mchezo. wamesoma shule.

kwasasa makabila mengine yanajiona yamesoma, so yanataka yapewe nafasi utadhani yakidhani wakati wanasoma haya makabila matatu yalisitisha kusoma yakiwangojea. Sasa yamesoma yamemweka mswahili ameharibu uchumi na Ajira hakuna yanaanza kulalamika.

kwa miaka mingi makabila haya matatu ya watu wenye Akili hayajawahi kuwa na kiongozi wa nchi. Na hii inatokana na ubaguzi. yanabaguliwa wakati yana watu wenye uwezo. wale ndugu wa mbeya wengi walianza kubadilisha majina ya ubini ili wasigunduliwe wakabaguliwa.
wachaga waliobaguliwa kwa elimu walikimbilia kenya wakasoma wakaja wasomi.japo wengine walisambaa mikoa minine ili wafaulu kwa alama za chini. iliwasaidia angalau.

Nchi imetawaliwa na wasiojitambua na mpaka leo tunatambaa wakati tungetakiwa kukimbia kabisa. Tunahitaji Rais Mwenye hoja za kisayansi atakaye tutoa hapa tulipo. hawa waswahili na wacheza ngoma imetosha sasa. Wakae pembeni manake hata kutofautisha kati ya R na L hawajui.
kuna msemo wa kiswahili unasema Ukitaka mchawi asimloge mtoto wako mpe amelee. Nashauri watanzania ipo haja ya kuchagua kiongozi wa haya makabila makuu ma3 . Kwa kufanya hivyo atatufanya watanzania wote kuwa kabila moja kubwa dhidi ya nchi nyingine, na kuhakikisha analinda maslahi ya taifa hili ambalo limegeuzwa shamba la bibi. Na ataweza ku-mainstream Elimu na huduma nyingine kwa makabila yaliobaki na kuleta maendeleo nchini ndani ya kipindi kifupi.
 
Makabila Tajwa

1. Elimu wapo
2. Biashara wapo
3. Idara za afya ...hadi kule vijijini kabisa wameenda kufanya kazi ka azima ya Mwl Nyerere ilivyokuwa
4.Kufanya kazi kwa juhudi na maarifa (maadili ni tatizo kwa baadhi)
5. JF wapo
6. X-mass wanarudi makwao Kuhiji ---wanarudisha maendeleo home
7.
 

Hatuwezi kuwapa kwasababu ya ego, waliyokuwa nayo ukianza kusema eti sis tumesoma tayari inaonyesha kuna kaharufu ka ukabils, wewe kama umesoma ni wewe, inapokuja swala la ajira waliokuzunguka ni watanzania wenzako, you have to respect that
Kwani hujui wachaga walijazwa tra kipindi cha mama anna mkapa
Hata nyerere aliliona hili mapema na akajua jinsi ua kudeal na watu walafi na wakabila kutoka makabila hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…