Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

I have read some of the posts here, I think with all fairness, there is no reasons why the discrimination should continue 47 years after independence. Even today, some people still exercise discrimination( positive or negative). There is no reason for example for all the Ministers in the Office of the President and thet of the Vice President to come from one group of people. Is the reason because those are more educated than the others? Well, one may argue that the discrimination was not intended, but knowing Kikwete as I do, I think it was deliberate. TRA, why only same tribe? I would understand iwere it that the ones that people are talking of have been there from 20 years ago, but this is not the case as new recruits also follow the same trend. So I think the author of this thread has the right to pose the question as he did.
 
Mwanakijiji
Kuna kitu kinachonisumbua katika jibu lako la awali ambacho najaribu kukitafakari ili nichangie kwa maakini zaidi. Hata hivvo pongezi kwenu nyote mlioibua na kuchangia katika swala hili ambalo hukwepwa! Will put on my thinking hat and get back to you all, bandugu!
Kamundi
 
Mzee Mwanakijiji umenena, lakini huo ulikuwa wakati na wakati umepita na mambo yake, sipendi kujadili ukabila wala kuusikia kama ulivyoueleza bali uwezo wa serikali kuajili leo na kiwango na idadi ya vijana wasomi inawezesha watu wwote kupata nafasi za ajira kwa uwiano. Ukizungumzia uzoefu hata hao waliozoea walianza taratibu na hatimaye wakafika huko. Sasa wasipopewa hawa vijana watazoea wapi? Unaweza kutuambiaje kuhusu akina Mwa- pale Hazina waso na muda zaidi ya miaka 10?

You are right in the wrong way Mzee! After all we go to school together with these people and we beat them, we go together on interviews, still they beat us how? Do you think people hate them?
 
Mwathirika,

..hapa imebainika kwamba makabila yanayolalamikiwa yanasomesha vijana wao kwa wingi kuliko makabila mengine.

..kwa msingi huohuo basi makabila yanayolalamikiwa yatakuwa na wahitimu wengi ktk taaluma mbalimbali.

..kwa msingi wa hoja zilizotangulia makabila yanayolalamikiwa yatakuwa na applicants wengi zaidi ktk nafasi za kazi zitakazojitokeza.

..kwa hiyo basi, hata ktk uajiri, with everything remaining constant, makabila yanayolalamikiwa yatajaza nafasi nyingi za kazi za kitaalamu.

Mwathirika said:
You are right in the wrong way Mzee! After all we go to school together with these people and we beat them, we go together on INTERVIEWS, still they beat us how? Do you think people HATE them?

Mwathirika,

..hizo interview zina malengo yake. kama suala lingekuwa ni nani ana A+ nyingi, basi kusingekuwa na haja ya interviews.

..inawezekana kuna factors nyingine zilizofanya ukashindwa interview na hao "vilaza", lakini ni vizuri pia ukajihoji binafsi kuhusu uwezo na maandalizi yako kwa hizo interviews.

..kuwa na A+ nyingi hai-guarantee kwamba utafanikiwa kimaisha, au utapanda cheo haraka, au utakuwa na mali nyingi, au utakuwa na familia nzuri, kuliko wale uliokuwa ukiwashinda mitihani shuleni/chuoni.

..unapomaliza sekondari kujiunga chuo kikuu, masomo na maisha kwa ujumla yanaanza upya. vilevile unapomaliza chuo kikuu kwenda kwenye work-force, you basically start with a clean slate. kuna watakaoshuka na kupanda ngazi/daraja.
 
Naungana na wewe, ipo sana hapa SUA kama sio mtu wa kanda ya ziwa hujapata kazi faculty Vet hata kama unavyo vigezo vyote vya kupata hio kazi. Tunaelekea kubaya ndugu yangu, ila wavyongr ipo siku tutawin tu I hope. Mtu, Morogoro
 
Mwathirika,

....kwa hiyo basi, hata ktk uajiri, with everything remaining constant, makabila yanayolalamikiwa yatajaza nafasi nyingi za kazi za kitaalamu.

You're right. Kama other factors are constant, kungekuwa na normal distrtibution kwenye ajira bila kujali mwajiri ni nani. Sasa kama mwajiri mmoja amejaza makabila hayo more than normal, then kuna factor ingine ambayo imetumilka kuajiri na si tu kwamba wamesoma kuliko wengine, hivyo other factors are not constant na ndio tatizo linalozungumzwa hapa.
 
Ingekuwa vema kama kungepitishwa sheria yenye adhabu kali kwa wanaoikiuka, ili kutangaza kazi zote kwenye magazeti kabla ya kuajiri, iwe ni ya umesenja au udirekta, na pia kuwepo kwa appealing process kwa wanaoshindwa wakitaka kufanya hivyo. Shughuli zote za uajiri ziwe wazi kuwa scrutinized.

Hii ingawa isingekuwa ni fool proof kwenye suala la upendeleo, lakini ingepunguza kidogo na kuogofya wanaoajiri kwa upendeleo.
 
Ingekuwa vema kama kungepitishwa sheria yenye adhabu kali kwa wanaoikiuka, ili kutangaza kazi zote kwenye magazeti kabla ya kuajiri, iwe ni ya umesenja au udirekta, na pia kuwepo kwa appealing process kwa wanaoshindwa wakitaka kufanya hivyo. Shughuli zote za uajiri ziwe wazi kuwa scrutinized.

Hii ingawa isingekuwa ni fool proof kwenye suala la upendeleo, lakini ingepunguza kidogo na kuogofya wanaoajiri kwa upendeleo.

Ilitangazwa nafasi za kazi TEMESA (Wakala wa Ufundi na Umeme) Ndugu yangu akaomba akafanyiwa usahili na BICCO (Chuo kikuu) taarifa za awali alipita lakini tunaambiwa matokeo yale ya Bicco yamefanyiwa usanii. Wengi waliopata na Wasukuma na Wamatengo na watoto wa wakubwa. Ndugu yangu kaambiwa vyeti havitoshelezi. Mkuu wa wakala huo ni MSUKUMA.
 
sukrani wachangiaji wote, na pia mzee mwkjj naungana na wewe ila nami naongezea pia kuwa hayo uliyosema ni kweli ila si kwa karne hii, wahaya wachaga etc walikuwa wao ni wao kipindi kile sasa makabila mengi yameamka tatizo linabaki tu kuwa wao walitangulia na hawapo tayari kuachia wengine nao waingie na suala hilo sio huko palipotajwa tu (ikulu, ujenzi, etc) hata chuo kikuu na taasisi zake mambo haya yapo, kwa mfano pana viwango vimewekwa hapa chuo kikuu ili mtu aajiriwe mfn viwango vya GPA, uanafunzi nk lakini vitu hivyo huwa haviangaliwi kwa baadhi ya watu kufuatia sababu zitakazaotolewa na idara au kitengo hitaji pana lugha kama (mtu huyu ni muhimu tunamhitaji sana, tunaupungufu na hakuna mwenye sifa nk) na hizi huitwa exceptional case, na hapo ndipo upendeleo huanza na kufanya wengine wasio na watu waliotangulia kuachwa kwa maana mara nyingi hizo expectional haziwafikii wao.
kwa hapa tunabaki na usemi wetu ule mwenye nacho aongezewe na asiyenacho anyang,anywe tunasahau mnyonge mnyongeni haki yake mpeni sie wa moro hatukusoma enzi hizo sasa tumesoma tupeni haki zetu jamani acheni ukabila ..ikulu, ujenzi, udsm, mipango, nk
 
Chief,

..unge-quote posting yangu nzima basi ungeweza kueleweka zaidi.

..ninachosema mimi ni kwamba haya makabila tunayoyalalamikia mara nyingi yana representation kubwa ktk student body/graduates. sasa uwezekano mkubwa ni kwamba hali hiyo hiyo itaendelea hata ktk ajira. siyo lazima iwe ukabila tu.

NB:

..sasa nimeona kila anayekosa kazi kisingizio kinakuwa ukabila.

..tena hapa naona kuna makabila mapya yanaanza kuwa accused kwa uonevu.

..kwa mwendo huu tutafika mahali kwamba kila jamii inatuhumiwa kwa ukabila hivyo everything factors itself out.
 
Jamani hili La ukabila kweli limezidi,Kuna Kabenk Fulani Kadogo karibu NA MovenPIck..JAmani Acheni Kila Mtu pale Ni Swai....
 
Nimekuwa nikitembelea JF kwa muda na nimekuwa nikijifunza mambo mengi kupitia tasnia hii.
Ingawa sijawahi kutoa maoni yoyote wala kujiandikisha lakini leo nimeona nitoe maoni yangu japo kwa uchache.
Hoja ya samvulachole ingawa imeonekana kupingwa na watu wengi, kitu ambacho hata mwanzilishi wa hoja alikuwa amekihofia.
Kwa uzoefu wangu katika ajira za serikalini, idara zake na mashirika ya umma kwakweli ukabila umezidi.
Pamoja na nukuu nzuri za mzee mwanakijiji, anasahau kuwa hayo ni mambo ambayo JKN aliyazungumza miaka zaidi ya 30 iliyopita. Sasahivi ukweli ni kuwa makabila mengi yanatambua umuhimu wa elimu. Hizo shule zinazofanya vizuri huko moshi na mbeya,chukua mfano shule ya st.francis ya mbeya na agape ya moshi, haimaanishi kuwa wanaosoma kwenye hizo shule ni wachaga na wanyaki peke yao.Huko wapo makabila mchanganyiko.
Miaka ya 90 kurudi nyuma shule kama moshi technical, old moshi, ilboru, Kibaha, tabora boys&girls,nganza,kilakala,mzumbe,ifunda na nyingine nyingi zilikuwa zinapokea wanafunzi wenye viwango vizuri kutoka kona zote za Tanzania kwahiyo hawakuwa wachaga,wahaya na wanyaki pekee wanaosoma.
mzee mwanakijiji anazungumzia enzi za giza, wakati nchi ndipo inapata uhuru.
Nimalizie kwa kusema hiyo historia anayoitukuza mzee mwanakijiji inatumiwa na watu wengi sana serikalini kupeana kazi kwa misingi ya ukabila na ndiyo sababu hata wachangiaji wengi hapa wameonekana kuungana na mzee mwnkjj huenda na wao wamewahi au wanaendelea kufaidika na upendeleo huo.
Wakati fulani nikiwa katika chuo fulani kikubwa na maarufu hapa dsm niliwahi
kufanya tathmini nikagundua kuwa watanzania wa kila kabila wanachangamkia elimu sio mchezo.Kila kabila sasahivi lina wasomi waliobobea.
Tukikubali huo udhaifu ndipo tutaweza kufaidi matunda ya uhuru wetu kwa usawa na haki na mapambano dhidi ya mafisadi wanaotumia rasilimali zetu kwa manufaa binfsi yatakuwa na tija.
 
nimekuwa Nikitembelea Jf Kwa Muda Na Nimekuwa Nikijifunza Mambo Mengi Kupitia Tasnia Hii.
Ingawa Sijawahi Kutoa Maoni Yoyote Wala Kujiandikisha Lakini Leo Nimeona Nitoe Maoni Yangu Japo Kwa Uchache.
Hoja Ya Samvulachole Ingawa Imeonekana Kupingwa Na Watu Wengi, Kitu Ambacho Hata Mwanzilishi Wa Hoja Alikuwa Amekihofia.
Kwa Uzoefu Wangu Katika Ajira Za Serikalini, Idara Zake Na Mashirika Ya Umma Kwakweli Ukabila Umezidi.
Pamoja Na Nukuu Nzuri Za Mzee Mwanakijiji, Anasahau Kuwa Hayo Ni Mambo Ambayo Jkn Aliyazungumza Miaka Zaidi Ya 30 Iliyopita. Sasahivi Ukweli Ni Kuwa Makabila Mengi Yanatambua Umuhimu Wa Elimu. Hizo Shule Zinazofanya Vizuri Huko Moshi Na Mbeya,chukua Mfano Shule Ya St.francis Ya Mbeya Na Agape Ya Moshi, Haimaanishi Kuwa Wanaosoma Kwenye Hizo Shule Ni Wachaga Na Wanyaki Peke Yao.huko Wapo Makabila Mchanganyiko.
Miaka Ya 90 Kurudi Nyuma Shule Kama Moshi Technical, Old Moshi, Ilboru, Kibaha, Tabora Boys&girls,nganza,kilakala,mzumbe,ifunda Na Nyingine Nyingi Zilikuwa Zinapokea Wanafunzi Wenye Viwango Vizuri Kutoka Kona Zote Za Tanzania Kwahiyo Hawakuwa Wachaga,wahaya Na Wanyaki Pekee Wanaosoma.
Mzee Mwanakijiji Anazungumzia Enzi Za Giza, Wakati Nchi Ndipo Inapata Uhuru.
Nimalizie Kwa Kusema Hiyo Historia Anayoitukuza Mzee Mwanakijiji Inatumiwa Na Watu Wengi Sana Serikalini Kupeana Kazi Kwa Misingi Ya Ukabila Na Ndiyo Sababu Hata Wachangiaji Wengi Hapa Wameonekana Kuungana Na Mzee Mwnkjj Huenda Na Wao Wamewahi Au Wanaendelea Kufaidika Na Upendeleo Huo.
Wakati Fulani Nikiwa Katika Chuo Fulani Kikubwa Na Maarufu Hapa Dsm Niliwahi
Kufanya Tathmini Nikagundua Kuwa Watanzania Wa Kila Kabila Wanachangamkia Elimu Sio Mchezo.kila Kabila Sasahivi Lina Wasomi Waliobobea.
Tukikubali Huo Udhaifu Ndipo Tutaweza Kufaidi Matunda Ya Uhuru Wetu Kwa Usawa Na Haki Na Mapambano Dhidi Ya Mafisadi Wanaotumia Rasilimali Zetu Kwa Manufaa Binfsi Yatakuwa Na Tija.

Kama Ukabila Wa Chadema Wamemfukuza Wangwe Kwa Kuliweka Wazi Jambo Baya La Ukabila, Mwanakijiji Ni Mfuasi Wa Mbowe Lazima Atatafuta Neno Zuri Kuziba Hiyo Kansa Mbaya Kwa Taifa.
 
... Kwa Kuliweka Wazi Jambo Baya La Ukabila, Mwanakijiji Ni Mfuasi Wa Mbowe Lazima Atatafuta Neno Zuri Kuziba Hiyo Kansa Mbaya Kwa Taifa.

Kama ni kansa ya Taifa kwa nini umesema hivi:


Watu wa Mara ni shupavu na hawaburuzwi ndio maana tukawapa jeshi watuongoze kwani tunahitaji wenye msimamo na uwezo wa kuamua mambo.

watu wa mkoa kama Singida kwa Kitila hawana uwezo kuwa na maamuzi mazito au ya maana tunaweza kuwaita (wajumbe Ndiyo).
 
Hivi suala hili la ukabila lilishapatiwa ufumbuzi?tuliliachia njiaani bila ya kulitolea majibu,na huu ni wakati wa kufufua yale ambayo yamekufa.

Je wale waliokuwa wameajiriwa BOT kwa minajiri ya upendeleo wamefikia wapi?
 
Mwanakijiji hongera kwa kujibu kwa ufasaha hoja za Samvullachole.Hakuna cha kuongeza wa kupunguza.
 
Acheni ukabila uongezeke hadi mashuleni,na sehemu nyinginezo.

Tukisema JK,wa-Zenj+waislamu wadini mnapandisha midadi yenu.

JK mwenewe kaona la ukabila limemshinda,sasa anakuja na staili ya kujaza waislamu wenzake ikulu,ma-balozi,n.k.

Big up wachaga,wakyura,Nyakyusa and Wahaya,jazaneni tuuuu,wenye wivu wameze wembe.
 
Nimesoma thread yako,lakini uajua haya mambo ni nyeti sana.Tunajua Tanzania mambo sio ya ukabila tu,kuna hata kujuana,interests zinazofanana kama kwenye ufisadi na kadhalika.Sasa mimi kama mzee wako naomba jambo moja.Kusema kweli tumechoka na hawa watu. Sasa kama una evidence naomba uweke mambo hadharani ili tuwaumbue!
 
Back
Top Bottom