Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Dua nielekeze iliko link ya mazungumzo ya ukabila wa wachagga Bungeni.....I think I missed it
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jokaKuu
1.) Kwa hiyo unakubali kwamba swala hili lilizungumziwa bungeni kuhusu ukabila pale TRA. Je unaweza kufuta usemi wako kwangu, Mswahili na wengineo wa maneno yako haya:
wrong never happened!!
Hili swala ambalo limezungumzwa kwa kirefu katika bunge la Tanzania haliwezi kuwa sawa na maneno uliyoandika hapo juu kwa wanabodi.
wrong again! never happened.. not kwa kirefu not hata kwa kifupi!
2.) Je kama TRA hawakuwa na makosa ni kwa nini walilipa 'compensation'?
si kwa sababu walikuwa na makosa, ni kwa sababu hawakutaka kumrudisha kazini!!
3.) Je wewe ni kati ya wale wanaofaidi na uendekezaji wa ukabila pale TRA?
Hakuna ukabila TRA na wala hakuna uendekezaji wa kitu ambacho hakipo!!
Only in Tanzania maamuzi ya waziri yanaweza kupuuzwa na viongozi wa ngazi ya chini yake, iko siku tutapata wasafishaji wa hii system iliyooza.
You got that right.. only in Tanzania ambapo maneno ya waziri hayawezi kukosolewa na amri za mawaziri ni sheria!! lakini Mawaziri na wenyewe wanabanwa na sheria hizo hizo!! Kwa vile Waziri kaweka sahihi haina maana lazima ikubaliwe hasa kama ni kuvunja sheria!!
Dua kama kweli unafuatilia haya mambo utaona kuwa mhe. Kihembu alikuwa anazungumzia ubaguzi mwingine kabisa kama anavyosema hapa:
Mkubwa wake wa kazi kwenye kikao hicho akasema yeye hawezi kukubali kushindwa na mwanamke. Sasa huyo mwanamke akawa amepata ushindi wa Baraza la Usuluhishi la Mkoa Mbeya. TRA hawakuridhika kwa kushindwa na mwanamke,
Je unaweza kufikiri ni ubaguzi gani aliokuwa anaufikiria Mheshimiwa Kihembu?
Rejea kikao cha Bunge (Majadiliano ya Bunge mkutano wa 16 kikao cha 41 August 2004) Mhe Stephen M Kahumbi alipotoa hoja ya TRA kukataa kumrudisha kazini mfanyakazi kule Mbeya ingawa alifuata taratibu zote kwenye Baraza la usuluhishi la Mkoa Mbeya. TRA hawakuridhika kushindwa na kukata rufaa kwa Waziri.
Lakini na huko walishindwa na kwa ajili ya kuendeleza ukabila waligoma kumrudisha kazini. Hawa wanakiburi hata kupinga amri ya waziri. S.Kahumbi alisema Waziri wa kazi anapoamua anaamua kwa niaba ya Serikali ile ile, lakini huyo Commissioner ambaye naye ameajiriwa na Serikali ameifanya TRA kama kampuni yake binafsi.
MKJJ Je Bunge lilizungumzia Ukabila TRA jibu ni HAPANA! Siyo Mbunge Kahumbi wala Mbunge mwingine aliyezungumzia "Ukabila" TRA kama Dua unavyotaka watu tuamini. Maneno "Ukabila" yanaonekana mara tatu na mara zote hayako peke yake.
Mara ya kwanza:
Sasa huu uamuzi wa chuki binafsi, hii ni chuki au ubaguzi, ukabila, mwanamke. Ni kosa kuwa mwanamke?
Mara ya pili:
Hatuwezi kuvumilia watu wanaonewa kwa sababu ya ubaguzi sijui ukabila au nini haiwezekani.
Mara ya tatu wakati Mramba anajibu hoja
hakuna mtu aliye na nia mbaya wala husuda wala ukabila wala uovyo ovyo tu kufanya kazi bila kutafakari.
Hivyo, ni lazima tukubali kuwa "ukabila TRA" haukuzungumzwa!! Katika hoja ya Kihembu alikuwa anashangaa ni kitu gani kinaweza kusababishwa mtu kutorudishwa kazi na akajaribu kujenga nadharia za kuhisi kuwa yawezekena ni chuki, ubaguzi, ukabila au nini, HAKUWA anathibitisha kuwa kuna ukabila TRA!!
Ulitegemea waziri aseme nini? Yeye kama ni mchaga na anashiriki katika kuendeleza ufisadi pale TRA, mifano mingi tumekupa kuhusu huyu waziri lakini kwa sababu moja au nyingine unalifumbia macho, je ni miradi mingapi amepeleka jimboni kwake? Je kuna bandari Rombo? Rudia hoja zilizotolewa mwanzo na uje na majibu muafaka - huwezi kuleta mazingaombwe yako hapa jaribu mahali pengine.Wakati Mramba anajibu hizo hoja alisema wazi kuwa 'HAKUNA' ubaguzi au ukabila huo!!! Kama Waziri mwingine alitoa amri na sisi tunatakiwa kuyapokea maneno ya waziri huo kama sheria, kwanini tusikubali maneno ya Waziri mwingine kuwa Hakuna ukabila TRA? Of course, jibu lenu liko wazi kwa vile aliyesema ni waziri Mchagga!!!
It happened as mentioned above on your own words three times, Why do you think it was mentioned? To please you and your clan? NOjokaKuu
1.) Kwa hiyo unakubali kwamba swala hili lilizungumziwa bungeni kuhusu ukabila pale TRA. Je unaweza kufuta usemi wako kwangu, Mswahili na wengineo wa maneno yako haya:
wrong never happened!!
Utaendelea kubisha kama vile tulivyokupa tafsiri ya DENY kwani hilo ndio ujualo.Hili swala ambalo limezungumzwa kwa kirefu katika bunge la Tanzania haliwezi kuwa sawa na maneno uliyoandika hapo juu kwa wanabodi. wrong again! never happened.. not kwa kirefu not hata kwa kifupi!
''Sheria ya usalama ya kazini namba 62 ya mwaka 1964 kama ilivyorekebishwa na kitendo namba 1/195 inamruhusu mwajiri kukurudisha kazini au kutokurudisha kazini'' Sheria hii inamruhusu private employer siyo employer wa serikali. Huyu mtumishi hakuwa mtumishi wa Commissioner, alikuwa mtumishi wa serikali Mwajiri binafsi anaruhusiwa kwamba mimi unaniambia huyu mtumishi wangu hana kosa, nakubali hana kosa lakini simtaki. Kwa hiyo nampa mshahara wa miezi mitatu off.. Kukataa kumrudisha kazini maana yake ni nini? Uliona wapi mtu analipwa fidia wakati hakuna aliyekosea. Another mazingaombwe kutoka kwa Mwana kijiji. Bali angekuwa Mchaga ungemtetea mpaka kufa.2.) Je kama TRA hawakuwa na makosa ni kwa nini walilipa 'compensation'? si kwa sababu walikuwa na makosa, ni kwa sababu hawakutaka kumrudisha kazini!!
Kwa mawazo yako ni sahihi kwa sababu uchungu wa kulitumikia taifa ni kwa wachaga kwa hiyo sio ajabu.3.) Je wewe ni kati ya wale wanaofaidi na uendekezaji wa ukabila pale TRA? Hakuna ukabila TRA na wala hakuna uendekezaji wa kitu ambacho hakipo!!
Only in Tanzania maamuzi ya waziri yanaweza kupuuzwa na viongozi wa ngazi ya chini yake, iko siku tutapata wasafishaji wa hii system iliyooza. You got that right. only in Tanzania ambapo maneno ya waziri hayawezi kukosolewa na amri za mawaziri ni sheria!! lakini Mawaziri na wenyewe wanabanwa na sheria hizo hizo!! Kwa vile Waziri kaweka sahihi haina maana lazima ikubaliwe hasa kama ni kuvunja sheria!!
Dua kama kweli unafuatilia haya mambo utaona kuwa mhe. Kihembu alikuwa anazungumzia ubaguzi mwingine kabisa kama anavyosema hapa:
Mkubwa wake wa kazi kwenye kikao hicho akasema yeye hawezi kukubali kushindwa na mwanamke. Sasa huyo mwanamke akawa amepata ushindi wa Baraza la Usuluhishi la Mkoa Mbeya. TRA hawakuridhika kwa kushindwa na mwanamke,
Je unaweza kufikiri ni ubaguzi gani aliokuwa anaufikiria Mheshimiwa Kihembu?
Hoja niliyotoa kutokana na kilichojadiliwa bungeni ni hii hapa:
http://www.jamboforums.com/showthrea...t=1867&page=71
So what is the issue then. Imekamilika kama ilivyo.
Rejea kikao cha Bunge (Majadiliano ya Bunge mkutano wa 16 kikao cha 41 August 2004) Mhe Stephen M Kahumbi alipotoa hoja ya TRA kukataa kumrudisha kazini mfanyakazi kule Mbeya ingawa alifuata taratibu zote kwenye Baraza la usuluhishi la Mkoa Mbeya. TRA hawakuridhika kushindwa na kukata rufaa kwa Waziri.
Lakini na huko walishindwa na kwa ajili ya kuendeleza ukabila waligoma kumrudisha kazini. Hawa wanakiburi hata kupinga amri ya waziri. S.Kahumbi alisema Waziri wa kazi anapoamua anaamua kwa niaba ya Serikali ile ile, lakini huyo Commissioner ambaye naye ameajiriwa na Serikali ameifanya TRA kama kampuni yake binafsi.
It happened as mentioned above on your own words three times, Why do you think it was mentioned? To please you and your clan? NO
This one is personally offensive! if you can't argue without attacking one's person (ad hominem) don't argue at all, it is immature, uncalled for, and indeed unpallatable! Kama unataka kunitukana just go ahead na mtukane mamangu, if that will make your arguments a little bit stronger!
Dua wrote: Kwa hiyo unakubali kwamba swala hili lilizungumziwa bungeni kuhusu ukabila pale TRA. Je unaweza kufuta usemi wako kwangu, Mswahili na wengineo wa maneno yako haya:
Dua wrote: Je kama TRA hawakuwa na makosa ni kwa nini walilipa 'compensation'?
Hakuna kitu kama ukabila TRA. Hata kama ungekuwepo nisingefaidika kwa namna yoyote ile. Pamoja na hayo, Watanzania wote tunafaidika na uchapakazi na ufanisi wa watumishi wa TRA, bila kujali makabila,dini, ua jinsia zao.Dua wrote: Je wewe ni kati ya wale wanaofaidi na uendekezaji wa ukabila pale TRA?
Dua wrote:Only in Tanzania maamuzi ya waziri yanaweza kupuuzwa na viongozi wa ngazi ya chini yake, iko siku tutapata wasafishaji wa hii system iliyooza.
Mwalimu alituasa kuwa tusiendekeze ukabila na mambo ya kujuana makabila yawe na maana sana, labda, kwenye matambiko na utani...
Kulikuwa na mzee mmoja aliyeitwa Mushi ambaye alipata ajali mbaya sana ya gari na kiasi cha kufikishwa chumba cha mahututi akiwa hajitambui. Kwa kudra za Mwenyezi Mungu, baada ya siku kadhaa alizinduka, na baada ya kupata fahamu akawaita wauguzi wamweleze nini kilichomsibu. Mmoja wa wauguzi akaanza kumwelezea jinsi alivyopata ajali.
Mzee Mushi akamaka, Ajali ya gari! Lile Benzi langu la mbei mbaya? Limeharibika eeh?
Muuguzi akamtuliza, Mzee ilikuwa ajali mbaya sana na gari liliharibika vibaya sana nasikitika kukuambia kuwa mkono wako wa kushoto ulivunjika kabisa na tumeshindwa kuuunga.
Mzee Mushi akauliza, Nimepoteza mkono? Na saa yangu ya Rolex aliyoniletea mwanangu Godlove wa Marekani iko wapi?
Muuguzi akajitahidi kumfariji Mzee Mushi akimwambia asijali sana maana Mungu akipenda atapata nyingine. Akamwambia, Tena familia yako iko hapa, wamekuja kukuona."
Basi Mzee Mushi akaagiza wapite ndani. Walipokuwa wameingia ndani ya chumba alichokuwa na wakiwa wamezunguka kitanda chake, akaanza kuwaita majina mmoja mmoja.
"Mama Manka, uko hapa?"
"Ndiyo mume wangu, siwezi kukuacha," mkewe akajibu.
"Manka, na wewe uko hapa?", mzee akauliza.
"Ndiyo baba, na mimi siwezi kukuacha, pole sana", binti akajibu kwa huzuni.
Mzee Mushi akaendelea, "Aikaeli, uko hapa pia?"
Kama wenzie, Aikaeli naye akajibu, "Ndiyo baba, siwei kukuacha."
"Elibariki mwanangu, na wewe uko hapa?" Mzee Mushi akauliza.
Elibariki, mtoto wa kiume wa Mzee Mushi, akajibu kwa kujiamini, "Ndiyo baba, siwezi kukuacha kamwe."
Baada ya kimya cha sekunde kadhaa, Mzee Mushi akasema,"Ninyi wapumbafu sana kama Manka, Aikaeli, Elibariki na wewe mama yao wote mko hapa duka nani yuko dukani?
Mzee Mwanakijiji Nimewawekea ripoti nyingi ya:
a. Autonomy, Incentives, and Patronage - A study of Corruption in the Tanzanian and Ugandan Revenue Authorities.
Katika ripoti hiyo yenye kurasa 102 hakuna mahala hata pamoja ambapo Ukabila unatajwa isipokuwa kuhusu Uganda. Na huu ni uchunguzi huru, kama waliweza kujua kuna ukabila kwenye taasisi kama hiyo Uganda bila ya shaka wangesema hivyo kama wangenusa harufu yake TRA!!