Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,355
- 1,956
Philemon
maswali yangu vipi?
mbona kimya mzee?
wewe nawe kwa uking'ang'anizi (joke), Ukiona mtu ameuchuna ujue kakwama kiutu uzima!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Philemon
maswali yangu vipi?
mbona kimya mzee?
Quote:
Originally Posted by phillemon mikael
huu mchezo wa bungeni na malima na manji ni mbimu tu,zogo liendelee huku wengine wanaendelea kutumbua pesa za mifuko ya hifadhi walizoiba,.manji amefanya trick kubwa sana akisaidiana na associates wake..yaani kuhamishia attention ya watu kwenye....kufikiri hii kashafa ya nssf imeibuliwa kwa sababu za UDINI ili kuwamaliza yeye na wakurugenzi wa hayo mashirika ya hifadhi ambao ametumia kofia ya udini ili kuvuta hisia za wananchi kwamba wanaonewa.pili hii hoja kupelekwa na kutolewa bungeni ni kati ya malengo ya kubadili akili za watu waamini suala la mabilioni ya manji na nssf,pspf..limezuliwa na mengi kwa kuzingatia chuki na wivu wa mengi dhidi yake kibiashara hasa kwa kuwa wote wameshawahi kushindania kuendesha michezo ya bahati nasibu,..
tatu manji ametumia michezo especially udhamini wake kwa YANGA kama moja ya kampeni zake za PR cleaning....haya mambo yakishasahauliwa YANGA wajue hawana mfadhili...afterall wanaomjua manji wanasema ni SIMBA mzuri tu ila STRATEGISTS wake walimshauri angeingilia simba asingekuja juu mapema kwa sababu kwa wakati huo simba walikuwa na mo na wengine ,ingekuwa ngumu kuwafunika ghafla.
Quote:
kuhusu propaganda nilisema nilihisi kwamba mswahili anapiga sana propaganda dau...kiasi kwamba hamtyendei haki ...ni sawa na kumuharibia ..dau bado ni kijana na nauwezo wa kufanya zaidi sasa kama atahusishwa na mswahili itafanya mbele ya safari akose SIFA ZA KITAIFA...kama anafanya kazi watu wanaona ,hakuna haja ya kumpigia mayowe,wakurugenzi wa mashirika ya umma wapo wengi wanaofanya vizuri...
wakurugenzi waliotangulia wa NSSF kama sikosei mkullo mustapha ,ndie aliyejenga investments nyingi...zikiwemo hosteli za chuo ...sasa kama ujenzi ulipoisha alishastaaafu ..hilo sijui...ni kama uwanja wa taifa mpya utakapoisha mwezi wa saba ,..je tutasema umejengwa na kikwete au mkapa..kwa kifupi maendeleo ya taasisis yoyote ni TEAM WORK na sio ONE MAN SHOW...anaepokea kijiti anakuwa muendelezaji ....
Quote:
kuhusu NSSF naona hakuna tofauti kati ya dau na mkullo au mattaka...tena sanasana DAU bado hajafanya vivid investment kulinganisha na enzi ya kina mkullo au mattaka [hata mkimsema ..jamaa ni kichwa ]....ila aendelee kujitahidi ..na nafikiri ni mtu anayetumia sana propaganda chini chini..natambua ni PAN AFRICA mzuri na mtoto wa mjini ,,,but we want more results...
...Matatizo yako ya huko NYUMA.......
Ni sawa na mbunge mmoja kwenye kampeni aliuliza: Wanawake hapa mbele mtanipaaaaa? wanaume huko nyuma mtanipaaaa... Watu ndiyooooooo!!!
Just thinking aloud!
FD
Don't use wealth to trample on others-Mengi
2006-05-30 10:49:23
By Hannah Mwandoloma
IPP Ltd Executive chairman of Reginald Mengi has called upon rich and affluent people in the country to desist from using their wealth to trample on the rights of others.
Mengi made the remarks when he told journalists yesterday in Dar es Salaam that he had been compelled to react to allegations by businessman Yusuf Manji that had painted him negatively.
Mengi said that Sheikh Basaleh of Idrisa Mosque made slanderous remarks against him after last Friday's prayers, which portrayed him (Mengi) as being anti-Islam.
He said that Sheikh Basaleh had backed up his allegations by claiming that he (Mengi) had a bone to pick with the Minister for Defence and National Services, Prof Juma Kapuya and the Director-General of National Social Security Fund (NSSF) Ramadhan Dau because of their religious affiliations.
The IPP boss said that Sheikh Basaleh maintains that he (Mengi) had waged a campaign against Dr Abdallah Kigoda and the former governor of Bank of Tanzania, Idris Rashid, for the same reasons.
''I wrote a letter to Sheikh Basaleh on May 22 this year requiring him to apologise to me for making such comments against me or to let me know whether the people he mentioned in his remarks had asked him to make such slanderous remarks against me on their behalf,'' said Mengi.
Mengi said he had copied the letter to Prof Kapuya, Dr Kigoda, Dau and Manji, requesting each of them to refute the allegations or confirm that they had asked the sheikh to utter the remarks on their behalf.
However, Mengi said that the letter also alleged that he had used a mercenary, Rev Mtikila, on the private candidate issue and as if that was not enough Manji threatened to sue him if he did not apologise to him in writing for tarnishing his name.
Most of people I have mentioned to anything about Manji react with revulsion for unknown reasons.
I'm of the view that Manji has the support of a network of people in the past or present government who have in one way or another benefited from him financially,'' said Mengi.
He said further that those who accept to be misused betray the poor Tanzanians for personal greed.
Mengi said it is time all citizens said no to shameless abuse, adding that Tanzanians must unite in fighting for justice and against evil.
He cited former President of South African Nelson Mandela, who during the struggle for independence once said: ''There are causes worth dying for.''
Mengi expressed fear, saying it would not be surprising if he died of poisoning or a road accident.
He was also worried that narcotics could be planted on him to tarnish his name.
He said that the battle against evil would continue irrespective of what happens to him.
He expressed gratitude that President Jakaya Kikwete is leading the war against all forms of social vices whether committed by Christians or Muslims.
''I thank my Muslim brothers for standing by me and for their support in this matter.
I give my special thanks to the Inspector of General Police and the Kilimanjaro Regional Police Commander for ensuring my security,'' said he.
He concluded by insisting that it was not his intention to write or say anything about Manji because of the suit pending in court, but he had to do it after receiving Manji's letter, contents of which had been published in the a section of the print media on May 27.
Inawezekana unataka kulitupa hili suala under the carpet lakini kwa taarifa yako kuna ishu muhimu sana ya kudiscuss na haswa hizo tuhuma ulizozitoa kuwa kuna ubadhiribu wa pesa za umma,udini,poor perfomance ya director wao,hakuna investments za maana zilizofanyika since enzi za MKULLO and so on. Naamini kutokana na position yako katika jamii unaweza kuweka sawa au kutoa evidence ya kusupport arguments zako
sasa TAFADHALI nakuomba usiwe kama JJ MNYIKA ambaye ukimuuliza swali hakujibu na nisingeenda MWANASIASA aje kukujibia haya maswali kwani Mwanasiasa ninamheshimu sana na sometimes its embrassing kuwa yeye ndiye huwa anamjibia maswali bwana JJ. MANGI WANGU, NATAKA ULINDE CREDIBILITY YAKO NA HIYO ITAWEZEKANA KWA KUTOA USHAHIDI WA TUHUMA ULIZOZITOA.
HIVYO NARUDIA TENA NAOMBA UNIJIBU MASWALI YAFUATAYO:
Je,Dr DAU aliingia NSSF lini?
Alikuta makusanyo pale NSSF chini ya MKULO yalikuwa kiasi gani?
Sasa hivi yako kiasi gani?
Je Kulikuwa na investments za kiasi gani?
Sasa hivi investments zimefikia kiasi gani?
Na ni Propaganda zipi anazitumia kuendesha shirika kubwa la wanachi la NSSF?
Na imekuwaje ameweza kusurvive pale muda wote huo tangu MKAPA amuweke pale?
Kuna udini gani kule NSSF? naomba at least ushahidi wa weblink au news link
Mzee PM take 5!
Haya mambo ya kuburuzana sasa, yaani sijapata kuona maswali ya kipumbavu kama hayo.
Well Dau is doing OK so wat? si ndio anacholipwa kwacho? liquidity ya shirika ni nzuri fine sio ndio maana akawekwa pale. Mwacheni afanye kazi yake haya mashinikizo ya nini? hafai kuwa Governor not because hajasoma au what, hafai kwa sababu ni mtu wa marketing, Governor lazima awe mchumi period!
Kampeni za kijinga kabisa, nadhani mnamharibia zaidi kuliko kumjenga. Huko NSSF wanampenda basi mwacheni akae hukohuko acheni ubwege tumechoka na kampeni uchwara.
Mzee Kanda2,
Heshima mbele mkuu, hivi unajua kuwa Dakitari wa mifupa aliweza kuwa waziri wa ulinzi Tanzania?
kabla ya kuwa RC?
Ensuring Equity in Vocational Education and training TOP SDL helps to ensure that disadvantaged regions and individuals or groups have the opportunity also to participate in training. Enterprises invest in regions where they can get profits. As a result training institutions are concentrated in Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, Tanga, Dodoma and Moshi. Regions like Lindi, Mtwara, Rukwa, Ruvuma, Singida, and Kigoma are not attractive to investors. It is for this reason that VETA has constructed big and modern training centres in Mtwara and Kigoma through SDL.
Mtwara project with a total cost of Tshs 3 billion was started in February 1997 and the buildings were handed over to the Authority in May 1999. The project involved construction of an administration block, workshops, classrooms, laboratory, library, dormitories for males and females, dinning hall, and staff houses. The centre was inaugurated by His Excellency Benjamin William Mkapa, the then President of the United Republic of Tanzania in April 2002. Equipment and tools for the centre with a total cost of Tshs 2.5 billion were provided as a grant by the Government of Japan.
In implementing its policy of establishing a model centre for each region, the Authority has completed construction of Kigoma RVTSC using SDL. The project with a total cost of Tshs 3.33 billion was handed over to the Authority in May 2005. Arrangements are being finalized to start training programs at the centre. The centre will provide vocational training in tailoring, welding, refrigeration and air conditioning, painting, panel beating, plumbing, boat engine mechanics, automobile electricity, motor vehicle mechanics, computer skills, electrical installation, carpentry and joinery, masonry. It is envisaged that the centre will provide training for 400 and 780 trainees each year in long courses and short courses respectively.