Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

Mswahili,

Huu ubishi ulikuwepo siku nyingi sana. hauna mantiki hata kidogo wala ukweli zaidi ya watu kutazama hesabu ya watu. Mkoa wa Kilimanjaro unaweza kuwa na shule 10 ukatoa wanafunzi 100 na mkoa wa Mwanza una shule mbili ukatoa wanafunzi 30 bado itahesabika kwao kuwa Kilimanjaro ina... kisha kati ya hao wanafunzi 100 wa Kilimanjaro wazawa wa hapo ni robo ya hesabu kamili.
Isitoshe makabila madogo, mathlan Wakarewe ambao population yao haifiki laki 3 wakisoma 10 ni wengi kuliko wachagga 50 ktk population yao ya millioni 2.
Kwa hiyo tunaposema wachagga wengi wamesoma lazima tukubali pia Wachagga wengi hawakusoma!...wasitupe hesabu za CCM hapa, kutafuta sababu za kujiona watu keki!...

TRA kuna ukabila!!!!!!!

Tena sana...
 
Labda MwanaKjj tu ndiye hauoni ukabila TRA, na hili vipi?
http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/6/4/habari1.php

Ofisa TRA amfanyia unyama mwanafunzi

na Prisca Nsemwa na Dauson Harold

MENEJA wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Horohoro, mkoani Tanga, Gamba Gaya (50), anatuhumiwa kumteka, kumbaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha pili, mwenye umri wa miaka 16 na kisha kumtelekeza.

Ofisa huyo, inadaiwa alifanikisha azma yake hiyo baada ya kumlewesha msichana huyo kwa dawa za kulevya na kumfanya apoteze fahamu.

Akizungumza jana jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari katika ofisi za Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), binti huyo ambaye sasa ana ujauzito wa miezi sita, alidai kuwa alitendewa kitendo hicho kati ya Desemba mwaka jana na Januari 8, mwaka huu.

Akisimulia mkasa huo, alisema kuwa, alikuwa anasoma katika Shule ya Sekondari Mkwakwani iliyopo jijini Tanga, na mwanamume huyo alijitokeza kama mfadhili mwenye nia ya kumpatia msaada wa kulipia huduma za masomo, kwa vile wazazi wake hawakuwa na uwezo mkubwa wa kugharamia masomo yake na kwamba hali yake ilikuwa ni duni.

"Nakumbuka aliniita kwenye baa iliyopo jirani na nyumbani na kutaka kujua undani wa maisha yangu na familia yetu ili anisaidie, akaninunulia soda aina ya Fanta, kumbe alikuwa ameweka dawa za kulevya na baadaye akaniteka," alisema.

Aliongeza kuwa, mara baada ya kunywa soda hiyo, alijisikia kizunguzungu na baadaye kupoteza fahamu na kujikuta yupo sehemu ambayo hakuifahamu.

"Nilishtuka usiku na nikajikuta nipo sehemu ambayo siifahamu na si nyumbani, ila nikaziona nguo za yule baba wakati huo alikuwa ameenda kuoga.

"Aliporudi nikamuuliza tupo wapi, akaniambia nikae kimya atanipeleka nyumbani… ndipo nilipoamka na kwenda chooni, nikawa najisikia maumivu makali, nilipojichunguza, nikakuta nimebakwa," alisema msichana huyo.

Aidha, alisema kuwa baadaye akamwambia kuwa akaoge ili ampeleke nyumbani na alipomaliza kuoga, waliingia katika gari aina ya Mark II na kuanza safari kuelekea sehemu ambako hakuifahamu.

Baada ya saa mbili, walifika katika jengo lililoandikwa VIP, nyumba ya wageni, Horohoro, na akamtambulisha kwa muhudumu wa TRA, aliyemtaja kwa jina la Mwanahamisi.

Alisema alishikiliwa ndani ya nyumba hiyo kwa muda wa mwezi mmoja bila ridhaa yake, huku akipatiwa huduma na Mwanahamisi.

Katika kipindi hicho, anasema, Gaya alikuwa anakuja mara kwa mara na kumlazimisha kufanya naye mapenzi.

"Nilikuwa nikikataa, alikuwa ananipiga makofi… wakati nilipokuwa najisikia homa, hawakuniruhusu kwenda kupata matibabu," alisema.

Kutokana na vitendo alivyofanyiwa, binti huyo, ameiomba sheria kuchukua mkondo wake.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa TAMWA, Ananilea Nkya, katika kipindi hicho cha mwezi mmoja, wakati alipokuwa akibakwa na kupigwa, binti huyo hakuweza kuwasiliana na familia yake.

Hata hivyo, siku moja alifanikiwa kuchukua fedha kutoka kwenye suruali ya mwanamume huyo kabla ya kutoroka kurudi kwa mama yake, wilayani Same.

Baada ya binti huyo kugundulika kuwa ni mjamzito, mama yake alimshauri kuwasiliana na Gaya ambaye hata hivyo alikana na kumtishia maisha iwapo angeendelea kumbughudhi.

Katika kutafuta haki, mama wa binti huyo, Shangwe Eliya Msangi, alipeleka malalamiko yake kwa Mkuu wa Wilaya ya Same, Ibrahim Marwa, ambaye alimwita mtuhumiwa wilayani Same na kuhojiwa na Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya, Narcis Missana.

Kwa mujibu wa Missana, maelezo ya mwanafunzi na mtuhumiwa huyo yalipelekwa Kituo cha Polisi Tanga (eneo la tukio), kwa upelelezi zaidi. TAMWA ilipowasiliana na Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Tanga, Selemani Nyakipande, alikiri kupokea jalada la kesi hiyo na kudai kuwa, hapakuwepo maelezo ya mwanafunzi aliyepewa mimba.

Alieleza kuwa, amemjulisha kwa simu mkuu wa upelelezi Same ili kukamilisha maelezo hayo.

TAMWA ilipowasiliana tena na Mkuu wa Upelelezi Same kuhusu kukosekana kwa maelezo ya mwanafunzi huyo, alishangaa na kusema yeye binafsi aliyaona na kumtuma mpelelezi wake kuyapeleka kwa dispatch na kukabidhi Kituo cha Polisi Tanga.

Hata hivyo, TAMWA iliendelea kufuatilia kesi hiyo kwa kuwasiliana tena na afande Nyakipande ambaye alikiri kwamba hatimaye maelezo ya mwanafunzi huyo yaliyodaiwa kupotea yamepatikana ndani ya jalada hilo hilo.

Kabla ya TAMWA kupiga simu kwa Mkuu wa Upelelezi Tanga, ilidaiwa kuwa Gaya kwa kutumia simu namba 0784-818431, alikuwa akimpigia mama wa mwanafunzi huyo, huku akijitambulisha kama polisi na kumwamuru aende Kituo cha Polisi Chumbageni.

TAMWA ilifanikiwa kuwasiliana na mtuhumiwa, Gaya, ambaye alikana tuhuma zote, lakini akasema kuwa aliwahi kumpa lifti mwanafunzi huyo.

Afande Nyakipande, aliiambia TAMWA kuwa, kesi hiyo itasikilizwa kwenye eneo la tukio, mkoani Tanga, kwa mujibu wa sheria. Kwa hali hiyo, mwanafunzi huyo atalazimika kusafiri kutoka Same hadi Tanga.
 
Hoja alizozitoa mzee mwanakijiji zina uzito wake ,lakini pia mzee Tuipende inchi yetu yeye pia kwa ufafanuzi wake nampa zake,Nnasema hivyo nilikiwa na maana, Mfano mzuri ni kwa zile nchi zetu za ugaibuni watu walio shika nyazfa za juu wengi wao ni wazungu kwa sababu baba zao ndio walio anzisha serikali hizi na pia ndio walio bahatika kwenda shule na ndo maana ukiwaweka na watu wa race nyingine wao ndio wanao kamata nyazfa za juu .
Kwa hiyo ndo maana Wachagua ,Wanyakusa na Wenye haya wamekamata kisu.
 
Msadikika.
Tanzania serikali yake ilianzishwa na Mwalimu Nyerere mtu wa Musoma. mbona haweki wazanaki? au waliopigania uhuru wanajulika na wengi wametengwa kwenye cake ya Taifa.huko ughaibuni weusi hawafiki hata 5% lakini hapa nyumbani kuna makabila mengi na mchanganyiko.sio vizuri kabila moja kuwabagua wenzake. matokeo ya kidato cha sita hayo hapo juu, hatuoni hao kabila ya TRA kufanya vyema. na hizo nchi za ulaya zina kitu equal opportunity policies ambayo ni sheria za nchi husika kuleta uwiano.

Nani hamjui Mramba kwa ubadhilifu na ukabila? nani hajui issue ya ndege ya rais ilivyokwenda? TRA kuna mateso na ubaguzi. fanyeni usawa na haki kama Mzumbe university ambao wana policy nzuri ya kuajiri watu kwa sifa zao na si ukabila au kujuana.
JK pitisheni fagio TRA imekuwa ngome ya wachagga na wapare.
 
Hadi bungeni ? JK toka Kittlya weka Warioba wa Mzumbe ni PhD holder. na hana ukabila wala upendeleo.
 
Sikuiona hii. Mswahili! peleka maombi yako labda utafikiriwa.
http://www.jamboforums.com/showthread.php?p=40238#post40238

Hapo hupati kazi kama si Mushi,Lyimo,Massawe,Temba,Mbatia,Mramba, Mrema, Njau,Lamwai, Mlaki,Shirima,Ndosi, Mbowe, Mtei,Ndesamburo, Keenja,Maro,Kimaro,Msuya,msoffe,Maghembe,Kimei n.k.

Bwana Mtalii hao ndio watakaofikiriwa, wewe usipoteze muda wako kuomba kazi tayari hizo nafasi zina wenyewe. labda nawe uwe na Meno ya dhahabu, unajua mkoa unaotoa watu wenye meno ya dhahabu hao ndio wenye TRA yao.

Dunia nzima inajua kuwa TRA imebinafsishwa kwa watu wa Kilimanjaro, Kittlya au MMANDA hawawezi kuwa na jeuri namna hiyo kama si nguvu za Mramba na mafisisadi wenzake.
 
mhmh,kuna tetesi kuwa hata wizara ya afya na hasa mashirika yake wameyakamata kisawa sawa,zimeshakuwa NGO zao.
ushauri wa bure.
makabila mengine nayo fanyeni hivyo kwani hakuna wa kuwa tetea tena.CCM NDIYO hao.mtakosa keki ya taifa na makwenu kutazidi kuwa hakuna maendeleo na mtaambiwa ni wavivu.
 
Labda tuwategemee Mwanakjj na Chadema.
 
hakuna kitu kibaya kama utumwa wa kiakili!!! mtu akishakuwa mtumwa wa kiakili hulaumu failures zake zote kwa wengine.....hukaa asijishuhulishe akidhani hatapata....hushindwa hata kumsifu mola wake akidhani akiomba hatapata....la angejua hata waliofanikiwa hupiga moyo kondo ..na unyonge wao wa aina yoyote huwa kichocheo cha kujitahidi..wajiondoe kwenye lindi la mnyororo wa unyonge...
historia ya dunia imeonyesha kuwa wanamapinduzi wa mwanzo walitoka kwenye jamii za wanyonge,waliochukulia unyonge kama chachu ya ujasiri wa kuleta mabadiliko...hawakukaa chini wakilia wakisema aah ,hatuwawezi hawa[wazungu]..la hasha walisimama imara...na leo tunafurahia na kuyaishi mafanikio yao.....
dunia ni sehemu ya mapambano ,si sehemu ya kulalama ...je si bora tukalalama kwa kusoma zaidi?...theory ya darwin ..imeichukulia dunia kama sehemu ambayo...kitu chochote kitakachokuwa dhaifu hufutika usoni mwa dunia...hii ni kuanzia mimea hadi wanadamu....juzi nimeona hata zile jamii zilizoitwa dhaifu kama ..aborigenes,wahadzabe,[bushmen]..wamezinduka wanatetea mazingira yao na haki yao ya kuishi kwenye mapori asili...wanaongozwa na vijana wao machachari waliopata elimu sasa wanawasaidia wazee wao kutetea maisha yao hadi mahakamani..na wanaeleweka...sasa kwa hili nani tena atataka kuwa mtu wa kulalama tu...na kusema aah acha wale wapate ..sisi hatuwezi....

dunia ya leo jamii zote ni sawa....tutumie kila nafasi inayokuja mbele yetu ...hakuna aliyeandikiwa kupata tu...kupata huja kwa juhudi...na anayejaribu hupewa nafasi...jaribu basi!!!
 
Mheshimiwa inaonekana umefikiri kimakengeza, ujumbe wako mzuri sana tena umekwenda shule.ilikuwa vyema kama ungewapa Chadema ambao kila kukicha kumuonea gere JK na serikali yake.

akisafiri nje watalalama, akipeleka tiketi kwa wanafunzi wa UKraine wao watalalama. mwenzenu katoa tiketi nyinyi mmetoa nini? Mheshimiwa kuna kijiredio cha uvunguni (KLH NEWS INTERNANTIONAL) CHA Mwanakijiji. kijiredio hiki kazi yake kubwa ni kupika majungu na kulalama kila kukicha

.kimefikia kuwaonea wivu au gere viongozi wetu wa nchi na kutengeneza ibada maalum ya kuwaombea mabaya viongozi wetu. kitendo cha ajabu sana, kwa ujumbe wako mikael ungemwambia mwanakjj kuwa aache wivu na uvivu akazane tu nae atakuwa kiongozi.

mimi nimekuwa nikiitaja kama REDIO MALALAMIKO, huyu bwana hadi sauti inamkauka kwa kulalama. mara bunge limetumia milioni 100 jee mikael huo si ndio wivu unaousema hapa? mara Nchimbi ana phd feki yanini hayo kama sio wivu? kwa kauli yako afanye juhudi afanikiwe kuliko kutumia muda huo kulalamika.

kauli yako inakusuta wewe mwenyewe uliopo humu JF kama njia yako ya kulalama na kuionea gere serikali.

kama unajua kuna Mwenyezi mungu unalalamika nini na kuweka watu wako humu kuichafua serikali?
subiri uchaguzi ujao ukifika jaribu tena bahati yako. sio kulalama na kuitengenezea fitna serikali kupitia mitandao na viredio vya uvunguni.

hizo nyaraka kwa rais na wananchi mnazozitoa kila jumatano jee nao sio wivu? mwenzenu kapata urais muacheni, fanyeni juhudi kwa ajili ya chaguzi zijazo vinginevyo mnatuthibitishia mna wivu na chuki. pia mlivyokosa subira mkaamua kufungua chama kingine baada ya wivu kuwajaa kuona wenzenu wanawaongoza. mngesubiri ndani ya chama husika kufanyike uchaguzi mjaribu bahati zenu,

Mara Mkapa anamiliki hiki, naona ni sehemu ya wivu uliutaja hapo juu mkuu, mara Ridhwani kachukua fomu naye atapata uongozi,ilitakiwa umuelekeze Mwanakjj aache wivu kwa Riz ni bahati ya mwenzie vipi yeye ailalile mlango wazi kwenye kiredio uvunguni?
angejishughulisha na kupata studio ya kufanya interviews,kuliko kuwapigia simu watu mara dola zimekwisha na interview imekufa, redio haina address, n.k angetumia muda huo kuboresha kijiredio na kuwa redio kamili. kuiita international KLH NEWS ambapo radio one au radio tumaini ambazo ni local zina ofisi za kufanyia watu interviews. cha ajabu international redio haina hata ofisi.lakini yuko busy na Ridhwani, msolla ajiuzulu mwenzio bahati yake uwaziri, nawe ujitume kwa ushauri wa michael phillimon (bwana mkubwa).

na hapa JF tuondoke kwa kauli yako mheshimiwa.
 
Mswahili namna ulivyoweka tafsiri ya maneno ya Filemon Michael sijui atasemaje...maana kwa namna nilivyoelewa PM-michael akikaa watu kuhoji ukabila ndani ya TRA,BANK etc, basi nae akatae kuhoji serikali ya JK.
Uoni wangu: JF ipige mawe popote penye harufu mbaya ya Udini, Ukabila, Matumizi mabaya ya serikali na mengineyo.
 
sorry, hivi tzuk web siku hizi kusoma news hadi u-sign IN?...sorry kuiweka sipo..
 
Hapo hupati kazi kama si Mushi,Lyimo,Massawe,Temba,Mbatia,Mramba, Mrema, Njau,Lamwai, Mlaki,Shirima,Ndosi, Mbowe, Mtei,Ndesamburo, Keenja,Maro,Kimaro,Msuya,msoffe,Maghembe,Kimei n.k.

Bwana Mtalii hao ndio watakaofikiriwa, wewe usipoteze muda wako kuomba kazi tayari hizo nafasi zina wenyewe. labda nawe uwe na Meno ya dhahabu, unajua mkoa unaotoa watu wenye meno ya dhahabu hao ndio wenye TRA yao.

Dunia nzima inajua kuwa TRA imebinafsishwa kwa watu wa Kilimanjaro, Kittlya au MMANDA hawawezi kuwa na jeuri namna hiyo kama si nguvu za Mramba na mafisisadi wenzake.

naona unarudisha hoja zileee!za enzi zileee!......huko nyuma tulishang'amua kuwa hamna ukabila,bali kuna makabila yamejaa huko.....yaani kama mkoa wa tanga ulivyojaaliwa madada warembo na wazuri!...si unajua mambo ya tanga!

mengine yanajadilika!
 
Back
Top Bottom