Samvulachole
JF-Expert Member
- Oct 22, 2006
- 413
- 118
- Thread starter
- #1,281
hii mada bado ipo tuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii mada bado ipo tuu?
Dar_si_lamu said:...nimeona kule mnataka cdf awe mwislam!
Jamani ndugu zangu,
Hili swali mlisifanyie mzaha hata kidogo ni upofu wa akili kabisa kuanza kutetea Ukabila kwa sababu ya elimu na kadhalika. Hivi huu si ndio Mbowe anauita Ukoloni wa mtu mweusi?..
Wewe hapo ulipo kweli unaweza kuhalalisha kabila fulani kuwa juu ya jingine klwa sababu sawa na zile za mkoloni mzungu alotuita sisi sii binadamu ila tunafanana.
Kun..........
tusihamaki bali tujenge hoja kwa kuvumiliana.
Najua hii topiki haitokuwa poplar na baadhi ya watu humu ndani na hata wenye website lakini potelea mbali
Je ni kweli wizara hizo zimejaa makabila ya Wachagga,Wanyakyusa na wahaya?
mimi nilikuwa siamini mpaka pale NILIPO ambiwa kuwa kuna UKABILA wa hali ya juuu kule Ikulu NA vile vile namba mbili kwa UKABILA ni TRA je kuna ukweli katika haya?
Japo kuna watu wanasema kuwa ni udini lakini sumu ambayo hatuko tayari hata kuijadili ni hii ya ukabila na ndio inayoturudisha nyuma je mnakubaliana nayo?
-JAMBO FORUMS WHERE WE DARE TALK OPENLY
Mwana hii kama ni kweli itakua bonge la soo, mi sina uhakika ila nitafanya uchunguzi ntakupatia jibu baada ya siku tatu.
Ndugu wana JF kuna kaemail kalikua forwarded kwangu ,nilipokasoma nilipatwa na mshtuko lakini inshallah nguvu zangu zimenirudia leo na nachukua fursa hii kukawakilisha kwenu (in my own version) but i hope it will still be enjoyable to read........ enjoy!
Hii ni habari halisi na ya uhakika kutoka ndani ya BOT. Je unawajua walioajiriwa kusimamia uchumi wa nchi yetu na kutuletea mafanikio? Pokea taarifa ya wateule hawa.
Nakutajia kwanza wachache ili wewe na watanzania wenzetu watafakari kama kweli ndege yetu itaweza kupaa kama bwana Lowasa alivyosema, au tutabaki ombaomba kama Balali anavyodai!!!. Ama tunageuzwa kuwa wadanganyika!!!
Ndani ya Mtungi wa BOT walioqualify kuajiriwa kwa sifa na vigezo vinavyotambulika na BOT ni pamoja na hawa wafuatao:-
Pamella Lowassa, Filbert Frederick Sumaye, Zalia Kawawa, Harieth Lumbanga,Salama Ally Mwinyi, Rachael Muganda, Sylvia Omari Mahita, Justina James Mungai, Kenneth John Nchimbi, Blassia Blassius William Mkapa, Violeth Phillemon Luhanjo,Liku Irene Katte Kamba, Thomas Mongella,Jabir Abdallah Kigoda etc. Hii ndio success team, hapa nani atamuwajibisha Dalali alas Balali?
Je KAPUKU MWENDE(a.k.a KAYUMBA) ATAAJIRIWA KWELI HAPO?
Hawa ni wale wenye uhusiano wa moja kwa moja na wazito wa nchi, wapo wengine ambao ni ndugu wa karibu au kabila moja na waheshimiwa. Ni vigumu kuamini kuwa hii ni bahati mbaya(mere coincidence).
Wana JF, ni juu ya watanzania kuamua kuendelea na viongozi wabovu na wenye ubinafsi au kuwaambia ukweli hata kama utawauma na kwa vile wao ndio miungu basi watatoa adhabu za kukufukuza katika bustani ya Eden.
Rhuksa kupayuka utakavyoona inafaa, na kama kuna cha kuongeza na kiko ndani ya uwezo wangu, nitakuongezea.
Vicky Kamata (Afisa uhusiano wa BOT)