Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!


hii imekaa kitanzania zaidi
 
Hata mimi nimesikia hivyo na wamesema zile kura zote zilizoingia jana kwa electronics nazo zitaingizwa manually kwa kusubiri wale wakuu wavituo vyote wawakilishe hardcopy za results!! Kwishney uhuru!! Yale yale ya vijana wa vodacom kujichimbia Seaview 2010 kuchakachua!! Nafikiri mbinu hii Kenyata kaipata Tanzania!! Limeumbuka!! Na Kenya Independent Election Commission haina mchezo! Hata sisi 2015 kukiwa na tume huru mambo yatakuwa mazuri na hapo hapo ni lazima tuwe na kituo cha friends of Chadema ili wajumlishe fasta.
 
Hahahaahhahahhahhah,siamini.Hawa watakuwa ni wataalamu sana wa IT,maybe hired from It department of the CIA!
 
The difference of 400,000 voters that means whatever could be done there would be difference of 400,000 very similar to the tyres of the truck while in motion they never meet.


Let them face the Consequence, the only message to Kenyans is KEEP PEACE TO KEEP YOU ALIVE.

 
Inawezekana. IT inafanya unavyotaka. with right tools and skills you can do anythng with any system provided nia ipo. sasa hayo yaliyotangazwa vip?
 
Kiukweli hata mimi nilishangazwa sana na tofauti ya kura iliyokuwepo kwa muda mrefu. Kila matokeo yalipokuwa yanatoka kulikuwa na constant difference ya laki tano na themanini na kitu au tisini hivi.

Sure mkuu jana nilikuw nafanya difference tu na ilikuwa inarange 6xxx na 5xxx tu haibadiliki hata iwe vipi!! Ni maajabu gani hayo!! Sasa ngoja wa-input zote manually halafu uone bomu!! Safi sana!1 Na friends of Raila wao wameshakamilisha kuingiza majibu na Odinga anaongoza kwa 62%!!
 
Jamani mwacheni Kinana. Mliosema tuna la kujifunza Kenya, ndilo hili la kuchakachua matokeo? Odinga ni kama Seif Sharrif Hamad! Miaka yote anashinda, lakini haapishwi kuwa Rais wa Zanzibar!
 
Wakikuyu Kenya ni sawa na CCM Tanzania, hawatakubali kuona nchi inatawaliwa na mwingine ambaye hatokani na mfumo wao. Matokeo yake ni kuipeleka nchi kwenye vita.
 
Hahahaahhahahhahhah,siamini.Hawa watakuwa ni wataalamu sana wa IT,maybe hired from It department of the CIA!

Ha ha ha inawezekana mkuu!! 2010 mbona vijana wetu wa kampuni mmarufu ya simu walikaa tu pale seaview upanga wakafanya mambo yao!! Wapo maprogrammer hatari sana vijana wetu.
 
Nahisi vurugu kama zile za uchaguzi uliopita kutokea tena maana uchakachuzi kama umeanza vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…