Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Dah! tumshukuru mungu limegundulika mapema,nadhani hakutakuwa na fujo tena.Eeh mungu wape hekima na busar tume ya uchaguzi kenya,wagombea wote,wanachama wote na wakenya wote katika kipindi hiki kigumu,AMEN
 
Hii kitu yaweza kuwa kweli maana huyu jamaa Kenyan hajafanya update yoyote tangu 01:30pm

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Latest Presidential provisional Results (14,308,221 registered voters):

____________________________

01:30pm:
Uhuru - TNA: 2,840,763 (53.37%)
Raila - ODM: 2,239, 046 (42.06%)
Mudavadi - UDF: 153,157 (2.88%)
____________________________

https://www.jamiiforums.com/kenyan-...-2013-kenyas-historic-poll-kenya-decides.html
 
Yaani wazushi wameanza kutafuta sababu za kujifariji na kutuongezea story za vijiweni. Haya jipeni moyo na mwisho wa siku mtaumbuka.
 
Kama hii habari ina ukweli, hakika ni habari njema kwa wapenda demokrasia wote duniani, ili sauti ya wengi ipate kusimama na kuongoza.
 
yaani maccm hamuoni haya.....ee mungu tusaidie vita istokee
 
Duuuuh ! Hata mi nyuui jinimukieeee kweri fumaaaa ighuoo mira nkati ngoja nthikijeeee !
 
Nilivyoona tu MaCCM yameenda Kenya kumpigia Uhuru upatu nilijua tu mwisho wake ni nini!!Wameishia kuwafundisha mbinu chafu za kuiba kura na kuchakachua matokeo ... shame on u 'magamba'! Ptuuuu
 

Kumbuka mchezo huu umekuwa Engineered na Safaricom ambao ni dugu moja na Vodacom walioweka
kambi seaview" Mzee wa meno ya tembo alifikiri kama walivyofanya kwa watanzania wataweza kwa Kenya.
Chezea KIEC weye"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…