Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Naipongeza sana tume huru hiyo!! Keep it up kijana mdogo but mwenye kujua kazi!! Sasa Tanzania kwa kuwa katika katiba mpya tumesema iwe independent basi na iwe ili tupate demokrasia ya kweli. Kenya mambo yamegundukika mapema and are-redoing manully zile ambazo wamesharusha!! Balaa la kufa mtu!! Kwa heri Uhuru. Rudi ICC ukalimalize na kwa mbinu hizi unatakiwa uwe banned kugombea for life!! Kwa nini unabaka demokrasia ya wakenya? Unataka ukimbilie ikilu halafu iweje? Jaluo ataendelea kukuongoza!! Mzee wa meno ya tembo ile mbinu yenu ime-abort tena triplets!!! Ha ha ha!!
 
mmh kazi kweli kumbe cdm na odinga kambi moja?.mshaurini odinga aje kuchukua vijana wa kuandamana Tz maana hyo kazi tunaweza,mradi tu mbowe aseme na yawepo mafuso ya kubeba makamanda
 
Nilivyosikia tu Wakenya wanaweza vitu vyote kwenye mfumo wa computer, kitu kimoja kikanijia mawazoni.

"Hackers Delight".
watu wanahack mpaka computer za pentagon ndio washindwe ku hack hapo kenya??
 
obama mweusi anatawala weupe usa, sembuse odinga.? watu wamebadilika sana hasa hiki kizazi cha dot com.
 
Two People have been arrested in regard to Hacking of IEBC

Sources indicate that the I.E.B.C realized that their system had been hacked into. The programmer was given instruction to input a permanent difference between UHURU and RAILA with more than 400,000 votes.

It had been realized that it could not be changed under any circumstances (after being programmed), unless they posted the data a fresh. 2 guys have been arrested, while 2 others are on the run.

There is a lot of scrutiny at BOMAS and people are on high alert. Any form of inaccurate tally is put aside and INDIVIDUALS involved personally HELD RESPONSIBLE

Having detected this at around 3pm yesterday, the Commission had no option but to fully go manual. It would have been worse had it not been detected.

The figures are already changing. Poll results the main TVs are showing is old data.
Du !!!
Wizi wa kura computerised!
 
watu wanahack mpaka computer za pentagon ndio washindwe ku hack hapo kenya??

Kuna ma security consultant wanaoshauri IT security za systems kama za pentagon, nao washakuwa hacked.

Watu wamei hack big head $100 note wiki mbili tu baada ya kuchapishwa.

What is made by man, can be taken apart.
 
Back
Top Bottom