Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mujumba, kwa hiyo 'CAPITALIZED' kweli stress zinapungua, ulikuwa fasta sana au?
Tusisahau kwamba katibu mkuu wa ccm yupo Kenya
.
Tusisahau kwamba katibu mkuu wa ccm yupo Kenya
.
odinga hawezi kuwa rais hata iweje
kama kawa kama dawa.
Odinga lazima awe rais. marafiki washajumlisha kura na kukuta kashinda
kwa asilimia 62.
watu wanahack mpaka computer za pentagon ndio washindwe ku hack hapo kenya??Nilivyosikia tu Wakenya wanaweza vitu vyote kwenye mfumo wa computer, kitu kimoja kikanijia mawazoni.
"Hackers Delight".
Ni kweli Bush mtoto alifanya mchezo huo lakini alikuwa anashindana na Al goreAfrika wapi? Hata Bush (mtoto) hukumbuki alivyomfanya John Kerry? Wizi wa kura hadi Marekani upo, seuze Kenya?
kama kawa kama dawa. Odinga lazima awe rais. marafiki washajumlisha kura na kukuta kashinda kwa asilimia 62.
Muache huyu msomali akachezee wakenya afikiri yuko Lumumba, watamfanya hamna
Du !!!Two People have been arrested in regard to Hacking of IEBC
Sources indicate that the I.E.B.C realized that their system had been hacked into. The programmer was given instruction to input a permanent difference between UHURU and RAILA with more than 400,000 votes.
It had been realized that it could not be changed under any circumstances (after being programmed), unless they posted the data a fresh. 2 guys have been arrested, while 2 others are on the run.
There is a lot of scrutiny at BOMAS and people are on high alert. Any form of inaccurate tally is put aside and INDIVIDUALS involved personally HELD RESPONSIBLE
Having detected this at around 3pm yesterday, the Commission had no option but to fully go manual. It would have been worse had it not been detected.
The figures are already changing. Poll results the main TVs are showing is old data.
odinga hawezi kuwa rais hata iweje
watu wanahack mpaka computer za pentagon ndio washindwe ku hack hapo kenya??