Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeumia moyo sana na taarifa hii!
Kweli Miafrika ndivyo tulivyo.
Jana nilikaa kwenye computer kama mjinga, nikishangaa difference iko maintained @600K, nikawa najiuliza kunani?
Hakika demokrasia iko mbali sana Afrika.
Dunia nzima iliweka jicho lake Kenya na kuwasifia kuwa wamejitahidi chini ya Tume huru kuboresha uhesabuji, kumbe wapumbavu wachache wamepanga ukora!
Hala hala Tanzania tujipange, mambo haya yaja kwetu si mbali.
Nadhani kwa Afrika Analojia iko Appropriate zaidi kuliko digitali.
Mungu saidia Raila, kama ni haki yake apate, kama hakupasa basi iwe wazi.
........
Google ndo waliotoa API ya kudesign software ya voting.Safaricom walitoa link from vote station to Bommas.Data center imehostiwa na kampuni binafsi hapo kenya_kwanza nnawasifu wa kenya kwani system yote ni inhouse design! Ila inaonekana some where jamaa waka add fake Polling stations wakaanza chakachua.Safari com wamekataa kujiusisha na haya maduduRumors ni kuwa hackers walifanya kazi hii kutoka nje ya nchi (na nje ya Africa)!
Hata mimi nimesikia hivyo na wamesema zile kura zote zilizoingia jana kwa electronics nazo zitaingizwa manually kwa kusubiri wale wakuu wavituo vyote wawakilishe hardcopy za results!! Kwishney uhuru!! Yale yale ya vijana wa vodacom kujichimbia Seaview 2010 kuchakachua!! Nafikiri mbinu hii Kenyata kaipata Tanzania!! Limeumbuka!! Na Kenya Independent Election Commission haina mchezo! Hata sisi 2015 kukiwa na tume huru mambo yatakuwa mazuri na hapo hapo ni lazima tuwe na kituo cha friends of Chadema ili wajumlishe fasta.
Ndugu Uwezo Tunao unataka kusemaje hapa? Kwamba Watu wa Mjaluo kule America walihusika kufichua uhuni wa Kikuyu na Uhuruto Mafioso?Mkuu Rev Masanilo hadi hapo kidogo naomba nitofautiane na wewe juu ya madai ya kuzidiwa kwetu ubingwa kwenye IT, laa hasha!!!
Naam, nadiriki kukugomea katika madai yako hayo kwani kwa mujibu wa taarifa za nyuma ya pazia ni wataalam wetu wa hapa hapa nyumbani ndio walioongoza safu juu ya hili nchini Kenya lakini hawakujua kwamba kila kitu kilikua kikinaswa mawinguni na wale MA-BABU ZAO DUNIANI katika michepuo kama haya.
Habari ndio hiyo; wale mabingwa wa kupinga kila kitu karibuni tena kama hamtoona orodha zima mahala katika muda mwafaka.
Google ndo waliotoa API ya kudesign software ya voting.Safaricom walitoa link from vote station to Bommas.Data center imehostiwa na kampuni binafsi hapo kenya_kwanza nnawasifu wa kenya kwani system yote ni inhouse design! Ila inaonekana some where jamaa waka add fake Polling stations wakaanza chakachua.Safari com wamekataa kujiusisha na haya madudu
CLARIFICATION ON SAFARICOM'S ROLE IN THE MARCH 4TH 2013 GENERAL ELECTIONS
Bob Collymore
Chief Executive Officer
......
Tusisahau kwamba katibu mkuu wa ccm yupo Kenya
.
.......
Ohh my God..Mungu awasaidie hawa watu..
Wataanzia wapi?Raila hana ubavu wa kuingiza watu kitaa.Ile ya mwaka 2008 ni Ruto ndie alibariki shughuli nzima.
Na niongezee hapo kuwa na chips hazina ukoko kadiri masaa yanavyoenda tutakua tu kila kitu kilochofanyika usiku basi kitanenwa mchana kweupeeee na hapo nadhani magamba yanajifunza kituHakuna uongo usiokuwa na kikomo
[h=5]Two People have been arrested in regard to Hacking of IEBC
Sources indicate that the I.E.B.C realized that their system had been hacked into. The programmer was given instruction to input a permanent difference between UHURU and RAILA with more than 400,000 votes.
It had been realized that it could not be changed under any circumstances (after being programmed), unless they posted the data a fresh. 2 guys have been arrested, while 2 others are on the run.
There is a lot of scrutiny at BOMAS and people are on high alert. Any form of inaccurate tally is put aside and INDIVIDUALS involved personally HELD RESPONSIBLE
Having detected this at around 3pm yesterday, the Commission had no option but to fully go manual. It would have been worse had it not been detected.
The figures are already changing. Poll results the main TVs are showing is old data.[/h]
Afrika wapi? Hata Bush (mtoto) hukumbuki alivyomfanya John Kerry? Wizi wa kura hadi Marekani upo, seuze Kenya?