Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!

Hii habari mbona haipo kwenye sources nyingine zozote ?, kwa u-sensitive wa hii habari nadhani ingeshasikika kila mahali..

Ni kweli kura zinahesabiwa upya, ila ni kwa mitambo kuzidiwa na sio mchezo wa hacker
 
Nimeumia moyo sana na taarifa hii!
Kweli Miafrika ndivyo tulivyo.
Jana nilikaa kwenye computer kama mjinga, nikishangaa difference iko maintained @600K, nikawa najiuliza kunani?

Hakika demokrasia iko mbali sana Afrika.
Dunia nzima iliweka jicho lake Kenya na kuwasifia kuwa wamejitahidi chini ya Tume huru kuboresha uhesabuji, kumbe wapumbavu wachache wamepanga ukora!

Hala hala Tanzania tujipange, mambo haya yaja kwetu si mbali.
Nadhani kwa Afrika Analojia iko Appropriate zaidi kuliko digitali.

Mungu saidia Raila, kama ni haki yake apate, kama hakupasa basi iwe wazi.
 
Kazi ya Kinananananananananan hiyooooooooooooooooo
 
hv uyu katibu wa cccm kaenda kujifunza nn huko kenya kuna kitu hapa ......
 
Nimeumia moyo sana na taarifa hii!
Kweli Miafrika ndivyo tulivyo.
Jana nilikaa kwenye computer kama mjinga, nikishangaa difference iko maintained @600K, nikawa najiuliza kunani?

Hakika demokrasia iko mbali sana Afrika.
Dunia nzima iliweka jicho lake Kenya na kuwasifia kuwa wamejitahidi chini ya Tume huru kuboresha uhesabuji, kumbe wapumbavu wachache wamepanga ukora!

Hala hala Tanzania tujipange, mambo haya yaja kwetu si mbali.
Nadhani kwa Afrika Analojia iko Appropriate zaidi kuliko digitali.

Mungu saidia Raila, kama ni haki yake apate, kama hakupasa basi iwe wazi.

........

Kwa mwendo huu sisi wanyonge CHADEMA 2015 tutamlilia nani sijui, maana watu wana mbinu za hatari sana aisee.
 
Rumors ni kuwa hackers walifanya kazi hii kutoka nje ya nchi (na nje ya Africa)!
Google ndo waliotoa API ya kudesign software ya voting.Safaricom walitoa link from vote station to Bommas.Data center imehostiwa na kampuni binafsi hapo kenya_kwanza nnawasifu wa kenya kwani system yote ni inhouse design! Ila inaonekana some where jamaa waka add fake Polling stations wakaanza chakachua.Safari com wamekataa kujiusisha na haya madudu
CLARIFICATION ON SAFARICOM’S ROLE IN THE MARCH 4TH 2013 GENERAL ELECTIONS

Following numerous queries from the media and in response to public concern, leading integrated communications service provider Safaricom Limited wishes to clarify its specific role with respect to the conduct of the historic March 4th, 2013 General Elections.

1. Safaricom was one of several service providers contracted by the Independent Electoral and Boundaries Commission “IEBC” to provide network connectivity for the electronic transmission of electoral results.

2. In accordance with the terms of our contract with the IEBC , Safaricom’s responsibilities were twofold, the first was to provide the virtual private network (VPN) for the conveyance of the results from polling stations across the country previously identified as having sufficient mobile coverage to the IEBC’s constituency, county and national tallying center infrastructure.

The second was to deliver 17,900 original manufacturer warranted handsets to the IEBC for use by polling staff for purposes of transmitting electronic results. Safaricom was neither involved in the supply of the software to be used on the mobile handsets nor the distribution and storage of the devices.

3. The observed traffic on the VPN provided by Safaricom did not exceed 3.5 Mbps at any time. When put in to context this is a small fraction of the 3,000 Mbps traffic we observe at any time in our network.

4. The total number of mobile devices provisioned to be used by the IEBC polling staff to relay results on the Safaricom VPN were 32,000, this represents only 2% of the 1.5 million devices connected to our data network at any given time.

5. Further, it must be clarified that during the entire election period

a. Safaricom’s role is simply to provide connectivity between the mobile devices and the IEBC tallying centers. Safaricom did not and does not have any role in the technical design, management or specification of the servers, the mobile software application nor the graphic presentation of the results data used by the IEBC.

b. The Safaricom mobile and virtual private network has remained robust with 100% uptime in all areas where coverage was to be provided.

c. Safaricom has provided unrestricted access to representatives of the 8 presidential candidates to assess and monitor its network performance. All of them were and still are confident in our network quality.

As a responsible corporate citizen, Safaricom appreciates and takes seriously its assigned responsibilities and will continue to play its part to support the IEBC in its duties.

Bob Collymore
Chief Executive Officer
 
Hata mimi nimesikia hivyo na wamesema zile kura zote zilizoingia jana kwa electronics nazo zitaingizwa manually kwa kusubiri wale wakuu wavituo vyote wawakilishe hardcopy za results!! Kwishney uhuru!! Yale yale ya vijana wa vodacom kujichimbia Seaview 2010 kuchakachua!! Nafikiri mbinu hii Kenyata kaipata Tanzania!! Limeumbuka!! Na Kenya Independent Election Commission haina mchezo! Hata sisi 2015 kukiwa na tume huru mambo yatakuwa mazuri na hapo hapo ni lazima tuwe na kituo cha friends of Chadema ili wajumlishe fasta.


Hapo kwenye RED mkuu unataka kusema kwamba Vodacom walihusika kuchakachua uchaguzi wetu? hebu nipe jibu kesho nitupe line yao !!!!
 
Kwa hiyo Kenyatta naye si anahusika na hizi hujuma? Hakika uchaguzi ukiisha na akaonekana kushindwa, ana kesi nyingine ya kujibu
 
Mkuu Rev Masanilo hadi hapo kidogo naomba nitofautiane na wewe juu ya madai ya kuzidiwa kwetu ubingwa kwenye IT, laa hasha!!!

Naam, nadiriki kukugomea katika madai yako hayo kwani kwa mujibu wa taarifa za nyuma ya pazia ni wataalam wetu wa hapa hapa nyumbani ndio walioongoza safu juu ya hili nchini Kenya lakini hawakujua kwamba kila kitu kilikua kikinaswa mawinguni na wale MA-BABU ZAO DUNIANI katika michepuo kama haya.

Habari ndio hiyo; wale mabingwa wa kupinga kila kitu karibuni tena kama hamtoona orodha zima mahala katika muda mwafaka.

Ndugu Uwezo Tunao unataka kusemaje hapa? Kwamba Watu wa Mjaluo kule America walihusika kufichua uhuni wa Kikuyu na Uhuruto Mafioso?
 
Last edited by a moderator:
Google ndo waliotoa API ya kudesign software ya voting.Safaricom walitoa link from vote station to Bommas.Data center imehostiwa na kampuni binafsi hapo kenya_kwanza nnawasifu wa kenya kwani system yote ni inhouse design! Ila inaonekana some where jamaa waka add fake Polling stations wakaanza chakachua.Safari com wamekataa kujiusisha na haya madudu
CLARIFICATION ON SAFARICOM'S ROLE IN THE MARCH 4TH 2013 GENERAL ELECTIONS



Bob Collymore
Chief Executive Officer

......

Asante Chipukizi. Safaricom wanaogopa lawama ambazo zinaweza kuwaathiri hata kibiashara na reputation Yao kimataifa wamelazimika kutoa taarifa.

Nimeona pia Mwenyekiti wa IEBC amewatetea. Ninafikiri siyo tatizo la kiufundi Bali ni hackers tu waliofanya haya na inasemekana walifanyia nje ya nchi.
 
Bora imegundulika mapema. Mimi akishinda yoyote si issue iwapo tu ashinde kihalali
 
Tusisahau kwamba katibu mkuu wa ccm yupo Kenya
.

.......

Akili yako ndogo sana au haina akili kabisa!!!!unajaribu kutuaminisha kuwa CCM wanaiongoza Kenya kwa mkono wa nyuma sio?

Huo ndo umaskini wa akili unaoifanya Tz iendelee kuwa maskini daima.
 
Hii nimeikuta BBC...

The US and other Western allies of Kenya have warned of possible "consequences" if Mr Kenyatta wins.
 
This is shocking but glad they have been able to know the problem earlier enough!
 
Hakuna uongo usiokuwa na kikomo
Na niongezee hapo kuwa na chips hazina ukoko kadiri masaa yanavyoenda tutakua tu kila kitu kilochofanyika usiku basi kitanenwa mchana kweupeeee na hapo nadhani magamba yanajifunza kitu
 
[h=5]Two People have been arrested in regard to Hacking of IEBC

Sources indicate that the I.E.B.C realized that their system had been hacked into. The programmer was given instruction to input a permanent difference between UHURU and RAILA with more than 400,000 votes.

It had been realized that it could not be changed under any circumstances (after being programmed), unless they posted the data a fresh. 2 guys have been arrested, while 2 others are on the run.

There is a lot of scrutiny at BOMAS and people are on high alert. Any form of inaccurate tally is put aside and INDIVIDUALS involved personally HELD RESPONSIBLE

Having detected this at around 3pm yesterday, the Commission had no option but to fully go manual. It would have been worse had it not been detected.

The figures are already changing. Poll results the main TVs are showing is old data.[/h]

kenyatta na wafuasi wake wawe waungwana pale kibao kitakavyobadilika.
 
Back
Top Bottom