Ukabila ni jambo lisilo semwa sana nchini lakini lipo sana kazini/maofisini

Ukabila ni jambo lisilo semwa sana nchini lakini lipo sana kazini/maofisini

Kuna hospital moja kubwa kanda ya kati, kama huna mtu unae mjua kutibiwa na kwa mbinde sana. Upo mlangoni nurse au dakitari ana pita na watu wake kuingia ndani!!
Hii tabia inataka kuenea sana mahospital. Kuna mshikaji wangu aliajiliwa hospital inayotuhudumia sisi nikamtambulisha hadi kwa wife sasa nikienda kupata matibabu anakuita fulani ingia....Aisee niliona aibu sana akarudia zaidi ya mara2 ndo nikaingia halafu nikamwambia jamaa yangu pale kuna wamama wana watoto halafu watoto wanaumwa serious zaidi ya mimi.

Nikija mara nyingine fata procedure akasema wewe utatoka saa11 hapa kuna watu wengi mno hii hospital.
kazi ipo kwa wife akienda lisaa ama mawili huyu hapa karudi.Kwangu huwa naona aibu kubwa mno.
 
Vipi kupendelea mademu wenye nyash kubwa na rangi nyeupe nayo mi ubaguzi?
Maana matangazo ya siku hizi kuona black beauty shughuli kweli kweli
Nadhani ataangalia Nyashi kutoka kwenye kabila lake vilevile mkuu au unawasema wachaga wasiokuwa na nyashi wana ubapa kama konyagi kubwa au sio mkuu?
 
Nchi bado ina udini na ukabila sana,,, makazin huko mpaka mitaani, kuna sehem ukifungua biashara wakijua wewe sio mkabila wao hawaji kununua,,, hasa hii mikoa iliyodumaa kimaendeleo
Hata vyuoni , wakuu wa idara, semior lecturers kama sio Mwaisa basi Mangi

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Kuna kampuni huko Arusha mwaka Fulani ofisi karibia staff wote ni wameru na wachaga ilikuwa kampuni ya Sola Hadi kero kwa wengine tusiokuwa wa huko kaskazini
Inatangazwa internal job watu wanatoka external wanapewa kazi na haijulikani usahili kafanya lini na wapi kisa ni kabila lao anapewa shavu yalitushinda wengi tukaamua kuacha na kwenda kujiajiri mtaani.
Inauma sana.Kuna dada mmoja siku chache tu zilizo pita nilimkuta analia nikamuuliza nini shida rafiki akaniambia kitengo chetu ukabila umezidi asee yaani nabaguliwa hadharani kabisa imagine mpo meeting watu wansema kilugha!

Kilichokuwa kina mlinza aliomba ruhusa kwenda ku draw hela bank akakuta foleni kubwa akachelewa kurudi alipofika tu boss anae alimtukana huku akimwambia kama ameshindwa kazi ache.Wakati huohuo wenzake huwa wanafanya zaidi ya hilo na hawachukuliwi hatua yoyote.
 
Mmeishaambiwa ''no reform no election'' lakini utakuta makamanda wakitangulia unakuta nyuma yao wapo wanawake na watoto wao wa kike,ninyi mmelala nyumbani mnasubiri kuja kulia lia kwenye mitandao.Hamkuwaona vijana wenzenu kenya walivyopinga udhalimu wa bunge kwa vitendo,hadi ile sheria kandamizi ikafutwa?
Nyie mnakalia kwenda kwenye mabanda ya kubeti alafu unataka mabadiliko??
''Asiyefanya kazi asile''
Unahoja.Kwa hili tutaunga mkono kuliko kumuunga mkono mbowe kwa uozo uliokuwepo.
Wewe Nape kashasema mara kazaa kuwa sio lazima kura ipatikane kwenye box bali inatgemea na anaye hesabu kura ......ukimaliza anasema Mungu ni samehe.Halafu nitawezaje kuandamana huku najua kura yangu ni kazi bure?

Mara ya mwisho kupiga kura ilikuwa 2010 na kwa sasa kama hii hali itaendelea kuwa hivi sitapiga kura vilevile hadi tuwe na tume huru&katiba mpya
 
Eee wapo kwa uchache wao mkuu huenda ukichunguza kwa uzuri ni chotara hilo ila ukikutana na manka pure (pure breed) bila kitambi hujaniambia
Wachaga wako na matako tuu Tena wengi sana, shapeless wapo wengi sana!

Mimi mara ya kwanza kusikia mchaga Hana shepu nashangaa maake familia yetu pande zote wako poa, Tena sana, ko kuja kusikia hawana shepu ety ndo hawana matako nilicheka sana😂
 
Mwanangu unayosema ni kweli tupu nafanya kazi sehemu fulani naona kabisa kama wananitenga flani hivi kuna deals sipewi kwa kuwa tu sio mvaa msalaba. Dah

Kazi napangiwa zile mbovu kabisa hadi sometimes huwa nakatwa kwenye ratiba ila kwa wao wanaona kama sijui kumbe najua kila kitu mana kuna mdau humo kwenye ofisi tunafahamiana vyema sana.

Unapewa kazi za hivyo ndio ukazifanye ila kwa kuwa sisi ni watu wa ISTIGHFAR hizo hizo mbovu ndio tunapata maisha humo humo WAVAA MISALABA WANAKUWEKEA KINYONGO WANAONA UNAPATA KULIKO WAO.

nchi ngumu sana hii.!!!!
 
Hata hapa wana wowo sio mchezo. ni utani tu
 
Hali halisi ndo hiyo sio hapo tu
 
Back
Top Bottom