Umkonto umsizwe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2023
- 454
- 949
Unataka kuniponza😂😂Itaje wajijue na kuelewa ukabila sio dili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kuniponza😂😂Itaje wajijue na kuelewa ukabila sio dili
Hamia Burundi tuachie tz yetusawa
Yaani ishu ya ukabila unawatoa wachaga, we kijana una wazimu.Anzia kwenye watu wanaotoka mkoa wa mara.kisha nenda mbeya then bukoba na wasukuma.wachaga ni watu talented sana hata kama wasipoajiriwa au kuteuliwa kwenye nafasi za kisiasa bado wanauwezo wa kujiajiri na kuanziasha biashara zao na makampuni yao.sasa mtu akianzisha kampuni yake ni wazi anaweza kuwa ceo mwenyewe na watoto wake akawapa ajira.Kama wafanyavyo wahindi.
sawaHamia Burundi tuachie tz yetu
Ngoja tulambe asali sisi
Utapiga kelele sanaaa kama kasuku
Anzisha kampuni yako uajiri ndugu zako lasivyo utaendelea kuumia Sanaa
Mama mitano tena
Na bado mwaka huu mtanyookaNg'ombe mama yako niliyemuibia
Hao nimewataja kabisa wakina shirima na shayo hawa ni wakabila sanaYaani ishu ya ukabila unawatoa wachaga, we kijana una wazimu.
Hamna mkuu itajwe tu kama nikweli na unaijuaUnataka kuniponza😂😂
Ruksa mzeeNaijua au niitaje
Fungua kampuni yako uajiri ndugu zako na wewe nyumbu
Wakati natafuta mtaji ulinisaidia?
Naajiri ndugu zangu wenye sifa zinazostahili
Kama umekereka kashitak popote
Nyumbu wewe
Bora wao maana ni sawa na kitu kimetoka kichwan kikadondoka beganAjiri Ndugu zako ili wakija kukuliza ushindwe kuwahukumu.
Kwahio USAID ni majanga kuliko mafuriko? Karma is a bitch whose farther is RealKuna wakati MSD ilikua kama uko Rio De Janeiro. Sijui siku hizi kama haya mambo hayapo. Lakini ukweli ni kwamba kujuana kupo sana tu na hakuzingatii kabila peke yake. Kuna vigezo vingi sana wanavyovitumia watu katika kujuana na ndio maana tuna kitu kinaitwa connection.
Tell me why, kuna PSRS lakini Bunge, BOT, TRA, JSC etc wanajiundia vimfumo vyao amabvyo ni non transparent kwa ajili ya kuajiri wakati ajira kwenye utumishi ni HAKI ya watanzania wote. Tena wanasema pale "only succesful candidates will be contacted". Lengo ni kwamba, it is easy to temper when the system is not transparent. Huko utumishi ilikua ni rahisi kwa competent people ambao hawamjui meneja rasilimali watu waingie kwenye ajira.
Mwisho wa siku yanakua kama yale yale ya USAID. Baada ya kusimamishwa kazi, familia nzima wako jobless 😁 😁 😁
Mtoa mada kasema kidogo tu, upo zaidi ya hapoSizan kama ukabila upo mkubwa kiasi ivho mnachokisema hapa
Hizi ni porojo za kitoto hakina uhalisiaKama utahitaji kupinga hili basi wewe ni mbishi tu tangu kuzaliwa.
Ukabila nchi hii upo nje nje kabisa ni rahisi sana kukuta watu wa kabila moja wako zaidi 96% kuliko makabila mengine ikiwa tu Boss ni wa kabila husika.
Utafiti wangu mfupi nimebaini hili jambo lipo katika kila sehemu halafu sio Tanzania tu hata kwa wenzetu.
Ikitokea Boss akatimliwa basi Boss ataye kuja lazima atakuja na safu yake na ataanza kufukuza watu alio wakuta kwa style fulani fulani au kuwashusha vyeo pamoja na kuwapunguzia mishahala ili mradi tu waichukie kazi na kuacha alete wa kwakwe.
Hapa kuna kitengo cha wakina shomire nimekuja kugundua kati ya wafanyakzi 44 wa kitengo hicho ni 11 tu ndo sio kabila husika na la boss.
Ukienda kwa wakina shirima na shayo usiseme ukigeuka wakina mwamposa na mwandosya wao hata aibu hawana wamepangana kaka mtu na wadogo mtu kitengo kimoja(hapa nazungumzia ingekuwa shuleni basi mkuu wa shule,second na mtaaluma wote wawe wa tumbo moja).
Basi ukija kwangu wakina malendeja na masanja hali ni ile ile na makabila mengine ni vilevile.
Hali hii hadi makanisani hasa haya makanisa ya wajasiria mali njaa. Mambo ni yaleyale.
Vijana wengi wameumizwa sana.
Mwishoni mwa mwaka jana kuna Boss alifukuzwa kazi kwa kuendekeza U simba na yanga.Ilikuwa ukiwa simba basi usijionyeshe hadharani wewe na ushabiki wako na kilichofanya afukuzwe kazi aliwapa ruhusa mashabaki wote wa yanga kwenda kuangalia mpira akabaki na mashabiki wa simba wa siku hiyo hiki kitendo kiliwakera mashabiki wa simba hadi kwenda nae HR Ukiambatanisha na kero na tuhuma za nyuma za mambo hayahaya akafukuzwa kazi.Na ndiko tuendako nawaambieni ipo siku hili litakuwa kubwa pia.
Nadhani mmekwisha kuona kwenye msiba au sherehekuna madaftari ya simba na yanga na mbwembwe zingine za kijinga.(Nimeunganisha hili pia maana linafanana na ubaguzi wa kikabila tu)
Pia kuna hii tabia ya kuangalia usoni na kupeana kazi hii hadi kwenye teuzi huko majuu wizarani hii tabia ishaota matawi na kuzaa watoto hadi vitukuu. Imefikia wakati sasa hadi ualimu wanaajiri kwa kujuana huyu ni mtoto wa mjomba,dada,shangazi ama wa baba mdogo.
Muda sio mrefu tutawafikia kenya na kuwazidi mpo hapa. Sasa hivi hata kama CV yako imeshiba namna gani bila connection wewe kauze mayai mtaani tu hakuna atakaye jari hata kidogo na pengine Cv yako utaikuta jararani huko imetupiliwa mbali.
Hii hali ndo imetufikisha hapa kupata wataalumu wasio na weredi wowote kwani kazi wamepeana kwa kujuana au kwa rushwa.Wengi sana waapo mtaani wenye sifa kuliko waliomo maofisini.
Mfano mdogo tu nenda mahospital kuanzia mapokezi utakavyokuwa unajibiwa kana kwamba huyo anayekupatia huduma kalazamishwa kuisomea hiyo kazi ni very careless.,
Niliwahi kulazwa hospital fln kubwa (VIP) Asubuhi ile kuna mdada mfanya usafi anadeki kwenye chumba changu nami nimelala basi akiwa anaendelea na usafi Dr wangu akaingia na kuchafua pale.Baada ya Dr kutoka yule binti mfanya usafi alimfyonza na kisha kutoa maneno makali.
Ni kamwambia ujue hii kazi yako inategemea watu wachafue ndo ufanye usafi imagine kama pangekuwa pa safi siku zote hapa wewe ungeipata hii ajira? Hujui kwamba huyu Dr pengine anahudumia wagonjwa zaidi ya 100 na hapo ukute ana kipindi anaenda kufundisha?(Dr alikuwa ni profesa maana mara kadhaa alikuwa anakuja na wanafunzi wake kuniuliza maswali)
Nilijikaza kumwelewesha yule binti na mwisho ni kamwambia haya ndiyo madhara ya kupeana kazi kwa kujuana. Siku ukifanikiwa ukawa na kampuni yako usifanye makosa haya .
Tusipokuwa na umoja na kutanguliza maslahi ya Taifa kwanza ipo siku hali itakuwa mbaya sana na tutakuwa tumechelewa mno kuliko sasa.
Upo sana mkuuSizan kama ukabila upo mkubwa kiasi ivho mnachokisema hapa