Eti Zitto anachukiwa kwa unini wake? Nikumbushe nimesahau.....aah; ulisema ni kwa u-non chaga wake.
naona mhaya upo bize unamtetea mhaya mwenzako. Nashindwa kuelewa kwa nini nyie wahaya mnakuwa wakabila kiasi hiki.
Jamaa kuwa raisi mwezi mmoja tu amewajaza wahaya wenzake hapo tu. Inamaana hamna watanzania wengine wenye sifa za kuwa viongozi tff. Prove me wrong
Yah hii ndio TZ!! Waislam tunalalamikia mfumo wa chi yetu (serkalini) kujazana Wakristo. Wachaga wanalalamikia mfumo wa uongozi wa TFF kujazana Wahaya. Huku Wahaya nawao wakilalamikia Uhamiaji kujazana Wachaga. Hii nihatari nisawa na bomu lililo walipukia wa Sudani kusini madhara yake kilammoja watu anayaona. Lakini tutafika tu yetu.
Hivi haiwezekani kutoa hoja na kueleweka bila kuweka matusi ndani yake? Nyie ndio mnasababisha sie wengine tuiogope JF siku hizi
Mtakufa na roho mbaya zenu.
Nisingemjua kuwa ni mwizi nisingemsema, lakini kwavile namjua yeye na genge lake ndio maana nikatoa tahadhali ambayo mburula kama wewe unafikiria ni wivu!!! Katerelo imekuharibu wewe mbwiga!!!
Muulize mwenyewe, kwani ni mamber humu.suluhisho la uovu siyo uovu bali ni wema, kwa hiyo unaona ni sawa malinzi kujaza ndugu zake TFF tena wasio na sifa?
Nchi hii nizadi tuijuavyo. Tangu nizaliwe mpaka nakua sijawahi kusikia kiongozi ktk sekta yeyete (iwe ya serkalini au binafsi) anaewakilisha kabila langu (wandengereko). Nahoja yakusema hatukusoma kwasasa haina nguvu tena kwakua kila jamii kwasasa ina wasomi. Lakini husikii Mkumba, Rwambo wala Mteta, nchi hii kweli inawenyewe.
Hewezi kujibu hili. Kwani CDM washajibu shutuma ya "chama cha Wachaga?Ina maana Mh Jamal Malinzi hajajibu mpaka mida hii?
Nchi hii nizadi tuijuavyo. Tangu nizaliwe mpaka nakua sijawahi kusikia kiongozi ktk sekta yeyete (iwe ya serkalini au binafsi) anaewakilisha kabila langu (wandengereko). Nahoja yakusema hatukusoma kwasasa haina nguvu tena kwakua kila jamii kwasasa ina wasomi. Lakini husikii Mkumba, Rwambo wala Mteta, nchi hii kweli inawenyewe.
TENGA , mchaga alikaa pale na kuifanya TFF kuwa ya kisasa na kitaifa zaidi sasa imekuwa ya kanyigo
Kwakweli Wahaya wana tabia ya ajabu sana,hawa jamaa hawana aibu ktk kupendelea kabila lao.Huwezi kuweka kabila lako tupu kwenye uongozi kiasi hiki BILA HATA UOGA,HII INALETA CHUKI?Tenga aliona mapema hizi vurugu.
Dah! Umeonyesha dharau kweli, ikiwa Wachaga washaanza kuuchoka Uwaziri (kila serkali lazima mchaga awepo kwenye jopo la Uwaziri) sasa wanahamu na Urais. Wewe unaniambia cheo cha RPC sijui TFF, vyeo hivyo vinamsaada gani kwa Mndengereko?Naona umeamua kumdhalilisha RPC Rwambo. Pamoja na kuwa RPC pia alikuwa kiongozi TFF na ni kutoka kabila lako.
Tunajitahidi sana kuwapeleka Mashuleni, tatizo ni Mfumo. Mfumo unatukandamiza sana Wandengereko.Kwanza tunasoma ktk mazingira magumu, pata picha shule nyingi za mkoa wa pwani walimu ni wachache sana tena niwale wenye ufaulu wa chini ndio wanao tupwa kwetu, huwezi amini zipo baadhi ya shule zina walimu mmoja mmoja, we unafikiri kitazaliwa nini hapo? Wenzetu munapigania shule za mikoa yenu ziwe na maabara wakati kijijini kwangu mtoto mpaka anamaliza la saba hajawahi kalia dawati kilasiku ni kulima shamba la mwalimu tu, je hapa utazalisha wasomi kweli? Kunamengi sana ndani ya nchi hii lakini watu tuko kimya tu. Wasiwasi wangu kuna bomu mbeleyetu linakaribia kulipuka, hivyo tusishangae tukijikuta tumeungana na Sudani kusini ktk kulizima bomu hilo.Jitahidini kuwapeleka vijana shule kuna wakati wenu nao utafika
Muulize mwenyewe, kwani ni mamber humu.
Tunajitahidi sana kuwapeleka Mashuleni, tatizo ni Mfumo. Mfumo unatukandamiza sana Wandengereko.Kwanza tunasoma ktk mazingira magumu, pata picha shule nyingi za mkoa wa pwani walimu ni wachache sana tena niwale wenye ufaulu wa chini ndio wanao tupwa kwetu, huwezi amini zipo baadhi ya shule zina walimu mmoja mmoja, we unafikiri kitazaliwa nini hapo? Wenzetu munapigania shule za mikoa yenu ziwe na maabara wakati kijijini kwangu mtoto mpaka anamaliza la saba hajawahi kalia dawati kilasiku ni kulima shamba la mwalimu tu, je hapa utazalisha wasomi kweli? Kunamengi sana ndani ya nchi hii lakini watu tuko kimya tu. Wasiwasi wangu kuna bomu mbeleyetu linakaribia kulipuka, hivyo tusishangae tukijikuta tumeungana na Sudani kusini ktk kulizima bomu hilo.