majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 812
Eti tenga mchaga my foot,gt back to ur senses ww crocodilo madona,hv ww huyo tenga wako kafnya nni cha maana timu yako ya taifa? ina nni zaidi ya mavi na uharo..hvi tenga kachagua wahaya tu?ama wivu wenu umewapeleka kuwaona wahaya tu?nyinyi na eddo kumwembe wenu wote wafa maji..watu hawanaa hata siku mbili ofsin mshagaaka..hvi wahaya aturusiwi kua viongozi nchi hii?nenda pale tumaini university uone kama kina staff kabila jingne tofaut na wachagga..wachaga mmelaaniwa ndo maana kijiua hakuishi nyie ni wakaizari ya mungu tuachieni sisi..wahaya ndo sisi wengine mafisi..
...ni kama Kikwete alivyofanya!
Lakini kwake hawezi ona haibu, kunamsemo unasema "WAHAYA HAWANA HAYA"sasa aibu imemjaa hawezi hata kuandika, kufanya kazi kwa ukabila in aibu sana.
Tunajitahidi sana kuwapeleka Mashuleni, tatizo ni Mfumo. Mfumo unatukandamiza sana Wandengereko.Kwanza tunasoma ktk mazingira magumu, pata picha shule nyingi za mkoa wa pwani walimu ni wachache sana tena niwale wenye ufaulu wa chini ndio wanao tupwa kwetu, huwezi amini zipo baadhi ya shule zina walimu mmoja mmoja, we unafikiri kitazaliwa nini hapo? Wenzetu munapigania shule za mikoa yenu ziwe na maabara wakati kijijini kwangu mtoto mpaka anamaliza la saba hajawahi kalia dawati kilasiku ni kulima shamba la mwalimu tu, je hapa utazalisha wasomi kweli? Kunamengi sana ndani ya nchi hii lakini watu tuko kimya tu. Wasiwasi wangu kuna bomu mbeleyetu linakaribia kulipuka, hivyo tusishangae tukijikuta tumeungana na Sudani kusini ktk kulizima bomu hilo.
Lakini kwake hawezi ona haibu, kunamsemo unasema "WAHAYA HAWANA HAYA"
kweli wahaya mna matatizo, kujihami kote huko ni kwanini?
Mkuu mimi niko serious sizingui bange kama wewe unavyo taka ionekane hivyo. Unaweza niambia ni primarily gani (Rufiji) uliyo soma wewe yenye uwezo wa kutoa One uliyo toka nayo wewe? Rufiji hakuna primarily yenye uwezo wa kufaurisha wanafunzi 20 tu kwa mwaka. Labda uniambie KIBITI high school lakini siizaidi ya hapo.mimi nilisoma mojawapo ya shule nzuri sana za mikoa ya pwani, wadengereko tuliokuwa nao wengi walikuwa mabishoo na shule kwao ilikuwa ni ziada , wakaishia kupata zero mimi na wengine wanaojua elimu tukaruka na one zetu kali . kuna tatizo kubwa zaidi ya hili unalotaka kutuaminisha. Hivi wadengereko mngekuwa sawa na wachaga waliobaguliwa kujiunga na shule za kitaifa za serikali ili wafanane na makabila mengine kielimu mngesemaje?
Kiwangwa iko ktk wilaya gani mkoa pwani? Jamani sisi watu wa pwani ndio tulio dhulumika sana tena tangu utawala wa Nyerere. Kutoka mbagala (Dar-esalam) mpaka Bungu (pwani) nauli 4500, lakini huwezi amini lami tumeanza kutumia muhula wa mwisho wa utawala wa Mkapa, umeme ndio kwanza tunaanza kuutumia mwaka Jana. Jamani jamani nchi hii vita ya wenyewe kwa wenyewe haiepukiki. Tukiwepo tutaona, tukifa vishindo tutavisikia duniani.Boss wangu ni wa kiwangwa ni msomi aliyebobea ni muungwana asiyefananishwa. Tena anakiri kusoma shule za Nyerere. Kwa mkoa wa pwani mpo kwenye mikono mizuri sana. Ritz ni shahidi wangu pengine hamjafikiwa tu jaribuni kupaza sauti kidogo tu.
Kiwangwa iko ktk wilaya gani mkoa pwani? Jamani sisi watu wa pwani ndio tulio dhulumika sana tena tangu utawala wa Nyerere. Kutoka mbagala (Dar-esalam) mpaka Bungu (pwani) nauli 4500, lakini huwezi amini lami tumeanza kutumia muhula wa mwisho wa utawala wa Mkapa, umeme ndio kwanza tunaanza kuutumia mwaka Jana. Jamani jamani nchi hii vita ya wenyewe kwa wenyewe haiepukiki. Tukiwepo tutaona, tukifa vishindo tutavisikia duniani.
Malinzi c ubadili na wana michezo wote wawe wahaya ili muongozane na kucheza wahaya Tu????
Mkuu mimi niko serious sizingui bange kama wewe unavyo taka ionekane hivyo. Unaweza niambia ni primarily gani (Rufiji) uliyo soma wewe yenye uwezo wa kutoa One uliyo toka nayo wewe? Rufiji hakuna primarily yenye uwezo wa kufaurisha wanafunzi 20 tu kwa mwaka. Labda uniambie KIBITI high school lakini siizaidi ya hapo.