Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Eti tenga mchaga my foot,gt back to ur senses ww crocodilo madona,hv ww huyo tenga wako kafnya nni cha maana timu yako ya taifa? ina nni zaidi ya mavi na uharo..hvi tenga kachagua wahaya tu?ama wivu wenu umewapeleka kuwaona wahaya tu?nyinyi na eddo kumwembe wenu wote wafa maji..watu hawanaa hata siku mbili ofsin mshagaaka..hvi wahaya aturusiwi kua viongozi nchi hii?nenda pale tumaini university uone kama kina staff kabila jingne tofaut na wachagga..wachaga mmelaaniwa ndo maana kijiua hakuishi nyie ni wakaizari ya mungu tuachieni sisi..wahaya ndo sisi wengine mafisi..

kweli wahaya mna matatizo, kujihami kote huko ni kwanini?
 
Jamani msije mkatoana macho na makabila yenu, sisi wafugaji tumeridhika na shughuli zetu za kuhama hama lakini tunaomba tu msije mkaweka kauzibe kwenye maeneo yenye marisho mazuri kule tutakakoona inafaa kuhamia la sivyo silaha zetu za jadi na magobore yatafanya kazi yake.
 
Tunajitahidi sana kuwapeleka Mashuleni, tatizo ni Mfumo. Mfumo unatukandamiza sana Wandengereko.Kwanza tunasoma ktk mazingira magumu, pata picha shule nyingi za mkoa wa pwani walimu ni wachache sana tena niwale wenye ufaulu wa chini ndio wanao tupwa kwetu, huwezi amini zipo baadhi ya shule zina walimu mmoja mmoja, we unafikiri kitazaliwa nini hapo? Wenzetu munapigania shule za mikoa yenu ziwe na maabara wakati kijijini kwangu mtoto mpaka anamaliza la saba hajawahi kalia dawati kilasiku ni kulima shamba la mwalimu tu, je hapa utazalisha wasomi kweli? Kunamengi sana ndani ya nchi hii lakini watu tuko kimya tu. Wasiwasi wangu kuna bomu mbeleyetu linakaribia kulipuka, hivyo tusishangae tukijikuta tumeungana na Sudani kusini ktk kulizima bomu hilo.

Boss wangu ni wa kiwangwa ni msomi aliyebobea ni muungwana asiyefananishwa. Tena anakiri kusoma shule za Nyerere. Kwa mkoa wa pwani mpo kwenye mikono mizuri sana. Ritz ni shahidi wangu pengine hamjafikiwa tu jaribuni kupaza sauti kidogo tu.
 
Last edited by a moderator:
kweli wahaya mna matatizo, kujihami kote huko ni kwanini?

Kauli ya Jaslaws hasa sentensi ya mwisho inakera sana. Nina demu wangu Mhaya huwa nampiga e teknologia ikika'katerero, kwa sababu hii namsamehe bure bila masharti.
 
Last edited by a moderator:
mimi nilisoma mojawapo ya shule nzuri sana za mikoa ya pwani, wadengereko tuliokuwa nao wengi walikuwa mabishoo na shule kwao ilikuwa ni ziada , wakaishia kupata zero mimi na wengine wanaojua elimu tukaruka na one zetu kali . kuna tatizo kubwa zaidi ya hili unalotaka kutuaminisha. Hivi wadengereko mngekuwa sawa na wachaga waliobaguliwa kujiunga na shule za kitaifa za serikali ili wafanane na makabila mengine kielimu mngesemaje?
Mkuu mimi niko serious sizingui bange kama wewe unavyo taka ionekane hivyo. Unaweza niambia ni primarily gani (Rufiji) uliyo soma wewe yenye uwezo wa kutoa One uliyo toka nayo wewe? Rufiji hakuna primarily yenye uwezo wa kufaurisha wanafunzi 20 tu kwa mwaka. Labda uniambie KIBITI high school lakini siizaidi ya hapo.
 
Boss wangu ni wa kiwangwa ni msomi aliyebobea ni muungwana asiyefananishwa. Tena anakiri kusoma shule za Nyerere. Kwa mkoa wa pwani mpo kwenye mikono mizuri sana. Ritz ni shahidi wangu pengine hamjafikiwa tu jaribuni kupaza sauti kidogo tu.
Kiwangwa iko ktk wilaya gani mkoa pwani? Jamani sisi watu wa pwani ndio tulio dhulumika sana tena tangu utawala wa Nyerere. Kutoka mbagala (Dar-esalam) mpaka Bungu (pwani) nauli 4500, lakini huwezi amini lami tumeanza kutumia muhula wa mwisho wa utawala wa Mkapa, umeme ndio kwanza tunaanza kuutumia mwaka Jana. Jamani jamani nchi hii vita ya wenyewe kwa wenyewe haiepukiki. Tukiwepo tutaona, tukifa vishindo tutavisikia duniani.
 
Last edited by a moderator:
Malinzi c ubadili na wana michezo wote wawe wahaya ili muongozane na kucheza wahaya Tu????
 
Bagamoyo. Usilie sana mi nina maeneo kule viziwaziwa maendeleo yanaanza tayari wanaweka maji na umeme tumeahidiwa. Semeni mtasikiwa. Achana na hawa wanaojitoa akili wakilia na ukabila.
 
Nchi hii wanaoila ni Wachaga na Wahaya, kidoogo Wanyakyusa, sisi wengine tunaukimbiza mwenge tu. Roho inaniuma, harakati za kuikomboa nchi Kutoka kwa mabeberu zilianzia Pwani, lakini ndio mkoa ambo usio na wasomi wengi. Wilaya yangu ya Rufiji haijawahi kutoa hata Waziri, kilasiku wabunge tunaletewa tu sio chaguo letu.
 
Malinzi c ubadili na wana michezo wote wawe wahaya ili muongozane na kucheza wahaya Tu????

Kaone timu yake ya miaka yote kule kwetu. Anatengeneza vijana ili wawe wachezaji wakubwa. Msiomfahamu ndo mnapagawa hapa.
 
Mkuu mimi niko serious sizingui bange kama wewe unavyo taka ionekane hivyo. Unaweza niambia ni primarily gani (Rufiji) uliyo soma wewe yenye uwezo wa kutoa One uliyo toka nayo wewe? Rufiji hakuna primarily yenye uwezo wa kufaurisha wanafunzi 20 tu kwa mwaka. Labda uniambie KIBITI high school lakini siizaidi ya hapo.

serikali yoyote duniani inaweka huduma za jamii pale penye uhitaji, pwani na rufiji unakozungumzia mmeweka ngoma mbele, ndoa za utotoni, na uvuvi, kuloga na kuwachukia waalimu, kutowekeza katika ujenzi wa shule pamoja na nyumba za waalimu! usitarajie mkazi wa dar au moshi, mwanza na arusha aliyezoea nyumba nzuri aje akalale rufiji kwenye mbavu za mbwa aache kwenda kwenye maeneo yenye huduma muhimu za msingi. Mimi kijiji nilichotoka kina shule nne za msingi mbili zilijengwa na kanisa na kutaifishwa na serikali mwanzoni mwa miaka ya sitini, mbili zimejengwa kwa nguvu za wananchi nikiwemo mimi nilibeba sana mawe na mchangaa mtoni, mwanzoni tulikuwa hatuna waalimu kutokana na tatizo la nyumba, uongozi wa kijiji ukaowaunganisha wanakijiji kuchangia nguvu na pesa na kufanikiwa kujenga nyuma kama nne za kisasa za waalimu mpaka sasa. Wanakiji wa kijiji changu wanapenda kujenga nyumba nzuri nyumbani lakini hata hawaishi huko, wengi ni wafanya biashara mikoani hivyo nyumba zao huwapangisha waalimu kwa gharama yaa kutunza shamba lake tu! Waalimu kutoka maeneo mbalimbali ya nchi hii wanatamani sana kufanya kazi kijijini kwangu kwani pamoja na mambo mengine niliyowaeleza mwalimu na padre wa kanisa katoliki wnaheshimika na kupendwa kama miungu watu, kwa mantiki hiyo waalimu pamoja na kukasirishwa na serikali bado wanafundisha kwa bidii. Shule za kata kijiji changu zipo mbili hazina waalimu wa kutosha ila mbunge wangu hupita vyuo vikuu na vya diploma mbalimbali kuwahimiza wakirudi likizo wakaokoe jahazi nyumbani zero zinaongezeka. KWENU MNATEGEMEA SERIKALI KILA KITU NA NYIE MNABAKIKUCHEZA NGOMA TU, POLE SANA NDUGU YANGU INGAWAJE NAJUA UKWELI UNAUMA!
 
Back
Top Bottom