Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

KUNA MAMBO TUNATAKIWA KUJIULIZA KWANZA.

je Jamali malinzi ndio muajiri pekee tff?

Utaratibu gani unafatwa katika kuajiri?

Ni wangapi walijitokeza kuomba nafasi na wenye sifa wakanyimwa?

Waliopewa ajira wana sifa au hawana?

Kwa hali ilivyo, wala usijifunjie heshima kumtetea Malinzi, hii ni aibu ya ajabu saana. Sana sana tungejiuliza hamna sheria au kipengele cha ku preach Malinzi. Maana kwa hali hii tuendako ni afadhali enzi ya Ndolanga.
 
even if mkuu, lakini sio fair kabisa, alitakiwa kumix tu ili kuondoa dhana za upendeleo

aiseeee alitakiwa kumix?imekuwa pilau hiyo?

Hivi kuna wenye sifa walinyimwa? Hivi jamali ndio anafanya usaili?
 
kwa hali ilivyo, wala usijifunjie heshima kumtetea malinzi, hii ni aibu ya ajabu saana. Sana sana tungejiuliza hamna sheria au kipengele cha ku preach malinzi. Maana kwa hali hii tuendako ni afadhali enzi ya ndolanga.

mkuu kama hutojali jibu maswali yangu, mimi si mtetei kama jambo alikufuata utaratibu.

Nauliza swali lingine. Jamali malinzi anafanyia watu usaili?
 
Nafikiri hapo wakati wa vikao vyao kutakuwa hakuna kuongea kiswahili...watakuwa wanaanza na Wasibhota kufuatiwa na Kihaya fuluuu hadi mwisho.
 
aiseeee alitakiwa kumix?imekuwa pilau hiyo?

Hivi kuna wenye sifa walinyimwa? Hivi jamali ndio anafanya usaili?

Rutta, kwa mfano Katibu mkuu alitakiwa awe na Masters degree ambayo Mwesigwa hana. Kwa hapo tu unasemaje?
 
mkuu kama hutojali jibu maswali yangu, mimi si mtetei kama jambo alikufuata utaratibu.

Nauliza swali lingine. Jamali malinzi anafanyia watu usaili?

Wewe jiulize,hivi kwa akili yako ni Wahaya tuuuu, ndo wana uwezo? na ndio pekee walioomba? Mimi nadhani ungekaa kimia lakini na wewe umemuona ni jabali kwa kuingiza ukabila bila hata aibu.
 
NSSF Jamaa kajaza waislam ndio kigezo cha kwanza na hakuna aliyemkemea , PPF pia interview ni kanyabwoya imekuwaa personal company hakemewi.....!! TFF ndio mmeiona.angalia timu nzima ya wajumbe na vigezo.
 
Cha ajabu, huyu huyu alipofanyiwa mchezo mcha alikuja kulia hapa, leo anayafanya mabaya kuliko hata waliyomfanyia.
 
NSSF Jamaa kajaza waislam ndio kigezo cha kwanza na hakuna aliyemkemea , PPF pia interview ni kanyabwoya imekuwaa personal company hakemewi.....!! TFF ndio mmeiona.angalia timu nzima ya wajumbe na vigezo.
Vigezo uwe mla SENENE finito,
 
Malinzi ana pesa yake hata kabla ya wewe kumjua.

Jamal Malinzi ana pesa???

Hebu acha kudhalilisha fedha wewe. Hata kaka yake mwenye cargo star ambapo Jamal ni mwajiriwa bado huwezi kusema ana pesa.

Mamndenyi unamjua Jamal Malinzi au unasikia stori za vijiweni?
 
Tenga siyo mchagga. ni mngoni.
 
Mamndenyi punguza hasira basi. Najua unaumia sana, ndiyo nchi yetu ilivyo. Usije ukapasuka kabla mwaka haujaisha, nakupenda.

Mie na hasira ni mbali usinipende sitaki wanafiki.
 
Last edited by a moderator:
Jamal Malinzi ana pesa???

Hebu acha kudhalilisha fedha wewe. Hata kaka yake mwenye cargo star ambapo Jamal ni mwajiriwa bado huwezi kusema ana pesa.

Mamndenyi unamjua Jamal Malinzi au unasikia stori za vijiweni?

Pesa unazihesabuje. Usichokijua kitakusumbua. Haaaa Merry xmas.
 
Wewe jiulize,hivi kwa akili yako ni Wahaya tuuuu, ndo wana uwezo? na ndio pekee walioomba? Mimi nadhani ungekaa kimia lakini na wewe umemuona ni jabali kwa kuingiza ukabila bila hata aibu.

Afu jitu lenyewe limeshindwa kuiongoza klabu ya Yanga likatimuliwa, leo eti linapewa kuwa katibu mkuu TFF.

Hii nchi majanga kila sehemu.
 
ingawa sina interest lakini naomba hili la ukabila liangaliwe kwa macho 100
 
Wewe jiulize,hivi kwa akili yako ni Wahaya tuuuu, ndo wana uwezo? na ndio pekee walioomba? Mimi nadhani ungekaa kimia lakini na wewe umemuona ni jabali kwa kuingiza ukabila bila hata aibu.

Utamwambiaje mwanaume kama wewe akae kimya.
 
Kama Malinzi ana hela, basi Tz matajiri tuko wengi hakyamama. Hakuna nisichokijua, trust we you.

Huyu Mdenyi atakuwa wa Arusha, mtu ukimpiga biya kila siku hawakawii kukuita bilionea.
 
Kama wamequalify,hoja ya ukabila inabaki kuwa dhaifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…