Yombayomba
JF-Expert Member
- Aug 23, 2006
- 818
- 214
KUNA MAMBO TUNATAKIWA KUJIULIZA KWANZA.
je Jamali malinzi ndio muajiri pekee tff?
Utaratibu gani unafatwa katika kuajiri?
Ni wangapi walijitokeza kuomba nafasi na wenye sifa wakanyimwa?
Waliopewa ajira wana sifa au hawana?
Kwa hali ilivyo, wala usijifunjie heshima kumtetea Malinzi, hii ni aibu ya ajabu saana. Sana sana tungejiuliza hamna sheria au kipengele cha ku preach Malinzi. Maana kwa hali hii tuendako ni afadhali enzi ya Ndolanga.