Jamal Malinzi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 710
- 650
Jamal Malinzi,afadhali umekuja ingawa umechelewa sana kuja kujibu hizi hoja za wadau wa soka hapa JF
Vigezo vya Katibu mkuu wa TFF anapaswa kuwa na masterS degree hata waliopita (Mwakalebela na Osiah) walikuwa na masters degree,imekuwaje mmempa kazi Celestine Mwesigwa ambaye hana hicho kigezo?
Kiuzoefu Henry Tandau Na Mwesigwa nani anafaa? Kigezo CHA Uhaya ndo kimembeba Mwesigwa
Nachelea kuongelea watu ambao walishatumikia shirikisho,kwa uteuzi uliofanywa na kamati ya utendaji,trust me,ulikuwa ni uteuzi sahihi.
Key qualifications and experience
-At least seven years' working experience, with at least three years in managerial post;
Hold a related second degree in Business Administration, Sports Administration and Management, Physical Education or equivalent qualifications
Rutta, kwa mfano Katibu mkuu alitakiwa awe na Masters degree ambayo Mwesigwa hana. Kwa hapo tu unasemaje?
Ukabila upi unauongelea?
Binafsi sipendi kuongelea watu napenda tuongelee issues, issue mbele yetu ni nini tufanyw kulikomboa soka letu na kulipeleka mbele,tusizungumzie watu tuzungumzie mikakati,ukitaka kuni challenge kwwnye haya tutazungumza but not otherwise.
Jamal Malinzi ana pesa???
Hebu acha kudhalilisha fedha wewe. Hata kaka yake mwenye cargo star ambapo Jamal ni mwajiriwa bado huwezi kusema ana pesa.
Mamndenyi unamjua Jamal Malinzi au unasikia stori za vijiweni?
Nipe muda
Hata ufanyeje au usemeje huwezi kukwepa tuhuma ya ukabila. Gia uliyoanza nayo ya ukabila itakutesa sana kipindi chote cha uongozi wako. TFF ni tofauti na taasisi nyingine: siyo ya ccm wala cdm. Wewe ni mhuni tu
Mbona mnamuonea Mh. Malinzi, mchezo wa ukabila, udini, udugu na urafiki umeanzia juu. Kwahiyo yeye amefanya kuiga. Baba ukija nyumbani umelewa chakali ujue kesho mtoto naye atakuja amelewa balaa! Aluta Continua Malinzi, Wahaya hoyeeee!
Asprin MSc haikuwa sifa pekee,i wish ningekuonyesha orodha ya walioomba na sifa zao,ethics haziruhusu.Nikikwambia nafasi ya Technical Director ilikosa mwenye sifa utaamini?
Mkuu naomba umualike huyo so called KUMWEMBE kwenye huu mjadala.
hivi huu ujinga alio uandika ndio una huita uchambuzi?hivi katika hili amechambua nini?
Kusema wote wahaya ndio uchambuzi?
Sikujua huyo Mwembe kama ni mjinga kiasi hiki.
Hilo swala litakuletea shida,nakubaliana na uteuzi wa Mtawala kazi aliyoifanya Simba imeonekana licha ya kuwa na umri mdogo na elimu yake imekidhi vigezo but hapa kwa Mwesigwa kuna shida.Inakuwaje qualification inataka masters then mnampa kazi mtu ambaye hana masters

Sijazungumzia ukabila,nimehoji how mnaweka vigezo kwenye nafasi halafu mtu anayepewa hiyo nafasi hajakidhi vigezo?Belo don't even bother to waste your breath,ajira ya katibu wa TFF si ajenda kwangu,its done and sealed,ukitaka tuzungumze let us talk about football devwlopment,youth programmes,women football,Afcon qualifiers strategy,reclaiming of open spaces for sports use....hapo nitakuelewa,lakini kuongelea makabila,dini,jinsia,ukanda wa wajiriwa TFF forget it kwangu hayo hayanikoseshi usingizi kamwe,its well beneath me.
Belo don't even bother to waste your breath,ajira ya katibu wa TFF si ajenda kwangu,its done and sealed,ukitaka tuzungumze let us talk about football devwlopment,youth programmes,women football,Afcon qualifiers strategy,reclaiming of open spaces for sports use....hapo nitakuelewa,lakini kuongelea makabila,dini,jinsia,ukanda wa wajiriwa TFF forget it kwangu hayo hayanikoseshi usingizi kamwe,its well beneath me.
Sijazungumzia ukabila,nimehoji how mnaweka vigezo kwenye nafasi halafu mtu anayepewa hiyo nafasi hajakidhi vigezo?
Utaongeleaje football development wakati unaweka watendaji ambao hawajakidhi vigezo ambao umeviweka mwenyewe