mavuno nyamanoro
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 587
- 155
Wewe tatzo lako ni wahaya au unataka kuona soka la Tz likiwa juu. sasa km hao wahaya wanaweza kulipaisha soka le2 siwaache tu! We na Eddo nyote ni mapu.........!
Hii habari imewekwa pia na Eddo Kumwembe ktk ukurasa wake wa Fb...sasa hii habari ya kutazamana kwa makabil inazidi kushamiri sana
Mleta mada ni mpuuzi kwa sababu unaeneza chuki nahisi uelewa wako ni mfupi sana Soma majina ueleze umma wahaya ni wangapi!Rais -muhaya
Katibu -mkuu muhaya
Mkurugenzi wa sheria na utawala-muhaya
Mshauri maswala ya ufundi-muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili -muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili- muhaya
Nafasi nyingine hazijapatiwa watu sabb walioomba hawajakidhi vigezo na walioomba hawatakiwi kuomba tena
Kaenda bukoba kula xmass akirudi nafasi hizo kujazwa na wahaya
Rais -muhaya
Katibu -mkuu muhaya
Mkurugenzi wa sheria na utawala-muhaya
Mshauri maswala ya ufundi-muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili -muhaya
Mwenyekiti kamati ya maadili- muhaya
Nafasi nyingine hazijapatiwa watu sabb walioomba hawajakidhi vigezo na walioomba hawatakiwi kuomba tena
Kaenda bukoba kula xmass akirudi nafasi hizo kujazwa na wahaya
Wewe unaongelewa au ni wewe unayeongea??Wahaya ni wakabila sanaaaa.ndo mana haitakaa itokee tupate rais mhaya coz ikuly itajaa nshomile wazari nshomile wabunge nshomile mwisho wahamishie ikulu kwao kaishozi
Mkuu mleta mada mpuuzi nimeweka report ya vyombo vya habari muhaya ni katibu!Mwesigwa Mtawala ni muhaya?mwenyekiti wa uchaguzi ni msukuma mwambie aliyeleta mada aweke majina bahati nzuri ni meweka copy!even if Mkuu, lakini sio fair kabisa, alitakiwa kumix tu ili kuondoa dhana za upendeleo
Anaweza akaipotezea kwani awajibiki JF yeye kama Rais kuna information officer wa TFF anaweza kuja kukanusha!Uzuri na yeye ni member wa JF atajibu tu hizi tuhuma.
Mimi nadhani watu kabla ya kujibu wawe na mashiko kwani kila kitu kimetolewa kwenye magazeti!Swali: nafasi hizi anafanya uteuzi nani....rais wa TFF au kamati tendaji?
Kama ni rais na amejaza watu wa kutoka sehemu moja basi hayuko makini na hilo ni tatizo. Kama ni kamati tendaji sioni tatizo lolote ingawa questions will linger over the wisdom of the kamati tendaji.
Controversy!
Someni press releaseMleta mada ni mpuuzi kwa sababu unaeneza chuki nahisi uelewa wako ni mfupi sana Soma majina ueleze umma wahaya ni wangapi!
View attachment 128704View attachment 128705View attachment 128706
Ficha upumbavu wako!
Nikweli sana siyo ukabila tu hata udini mfano NSSF,TRA,Haya ni baadhi tu!Nimekuwa na mashaka makubwa sana na mwenendo wa Taifa letu hasa suala la ukabila linaanza kushika mizizi kwenye sekta zote ni hatari sana, pia busara zitumike na hekima itafika mahali makabila madogo tena yasiyo na wasomi yakapoteza uhalali na umiliki wa taasisi mbalimbali.tujichunguze sana
Well done Jamal Malinzi...Katibu
mpya wa TFF ni Mhaya, Mkurugenzi
wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni
Mhaya, Mwenyekiti mpya wa kamati
ya maadili ni Mhaya, Mwenyekiti
mpya wa kamati ya Uchaguzi ni
Mhaya..na wewe Big Boss wetu ni
Mhaya...Asante sana. World cup here
we go..2018.
Source: facebook page ya.Edo Kumwembe
Kumbe Bishanga ndio Jamal Malinzi?
Kumbe Bishanga ndio Jamal Malinzi?
Kumbe Bishanga ndio Jamal Malinzi?